Hakuna Beef kati ya Ali Kiba na Diamond ila kuna Beef kati ya Ali na Sallam

mafanikio siyake mi yananiusu nini? mafanikio yako isiwe kikwazo cha wengine wasifikie mafanikio ney alitaka kufanya colabo na kiba watu wakafanya figisu za hali ya juu hela ikatumika nyingi tu ili mradi tu colabo isifanyike ifanyike na msanii wao
wewe ndo umesema kwamba team ya diamond inaumiza sana kichwa kuhusu alikiba, sijui anafanya mambo kimya kimyakwahiyo wanaumiza kichwa, ndo nimekuuliza management ya diamond iumize kichwa kuhusu alikiba kwa kipi? kwasababu msanii wao anamafanikio kuliko msanii yoyote hapa bongo, na kuhusu ni mafanikio gani, diamond yuko vzr kifedha, mali na tuzo za kutosha,huyo alikiba alianza mzki toka diamond hata hajajua kama iko siku atatoka kimziki lakini hajafikia hata nusu ya alipo diamond leo, sana sana ilifika hatua akasinzia kina diamond wakatoka wamefanya juhudi wamefika sehemu nzuri akapatikana wa kumfufua huyo kiba wenu sasahivi mmebaki kusafiria nyota yake ili atleast huyo kiba aendelee kuwepo, wakati diamond kila mwaka si chini ya mara mbili anapost tour zake tena za kimataifa sijui huyo "king" wenu anakuwa anafanya nini, mgt yake badala ya kufanya kazi mmekalia ooh mara sijui diamond ananunua tuzo, leo hii eti alifanya figisu akashindwa kufanya kolabo na neyo, shame on u na mtabakia na majungu hivyo hivyo wakati mwenzenu anapiga hatua ya kimziki na kimaisha nyinyi mnabaki majungu
 
huyo mzaramo alikuwepo? ana ushahidi upi?
 
Lini umesikia au kusoma Ali akimponda au kusema vibaya Diamond?!
Weka ushahidi
Ushahid upi? Km ni mfatiliaji wa habari tafuta interviews zake youtube tusichoshane
 
Mkiandika mambo kuhusu kuandikwa mitandaoni, ni vizuri hata kuweka screenshots ili hoja ikae vizuri.
 
Umeongea ukweli Dada angu....chukua soda kwa mangi apo nakuja kulipa
 
Kaangalie sporah show zen ukaangalie na kwa Millard ayo zen uje apa
Mimi nimetafuta hoja zangu nimeleta na wewe nenda tafuta hoja zako ulete...sio uniambie niende kutafuta mwenyewe mkuu hatugombani hapa
 
Nilichokielewa mpaka sasa ni kwamba Alli analazimisha beef na Diamond huku mwenzake akiendelea mambo yake kwa mafanikio makubwa!!
Umeelewa tofauti ukweli ni kuwa Diamond anamtumia Sallam kwenye ugomvi wake na Ali...ila amevumilia akashindwa sasa hivi anampiga vijembe kwenye nyimbo zake kabisa...Wao waki-post tembo sisi tuna-post show
 
Mahaba niueee uniponde ponde kama nyanya mpaka nikose la kufanyaaa... Ngoja na wa upande wa pili waje
 
MWAKA JANA-2015 ALI KB.ALITUAMBIA TUNANUNUA TUZO.
MWAKA HUU_2016 TUMEMZIMIA MAIKI.
HAYA MBONA HUYASEMI KWA SALOME?
 
Wewe ni Joketi a.k.a kidoti nimekustukia
 
MWAKA JANA-2015 ALI KB.ALITUAMBIA TUNANUNUA TUZO.
MWAKA HUU_2016 TUMEMZIMIA MAIKI.
HAYA MBONA HUYASEMI KWA SALOME?
Salome yupi?!kama yule Salome wa Abdul Sykes alijiuaga miaka mingi tu iliyopita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…