Hakuna Beef kati ya Ali Kiba na Diamond ila kuna Beef kati ya Ali na Sallam

We Mzaramo where do u get ol this time. If ur in his pay roll then ts ok.
Mkuu sijakuelewa hata kidogo...unaweza kuiweka kwa kimatumbi tafadhali
 
Mkuu hapa hakuna anaemchukia Diamond wala hakuna anaetaka mmoja ashuke na mwingine abaki ni Watanzania wenzetu na tunahitaji waitangaze nchi yetu ila figisu figisu anazofanya Sallam kama alichukuliwa mkewe ndio sisi hatutaki
 
Asante Mkuu kwa kutufumbua macho.
 
Mafuriko hayazuiliwi kwa viganja vya mkono
 
Ali Kiba hana tofauti na kocha wa Arsenal kazi yake ni kuwaumiza mashabiki wake na watu wamesha mshtukia

Ali kiba ni kubwa jinga kwanzia leo nimeamua kuacha kumshabikia na album yake nazipiga moto mchana huu!
una album ngapi za alikiba?
 
Yaani wewe ni kama umenisemea mimi, zamani nilikuwa shabiki mkubwa wa Kiba, hata Album yake ya Cinderella nilinunua, Diamond sikuwa namkubali. Ila tangu nilipoiona ile interview yake na Sporah nikajikuta naanza kumtema polepole na kuhamishia mapenzi kwa Diamond, yaani alinichefua sana alipoanza kusema kizuri kisipokuwepo hata kibovu kitaonekana kizuri, hapo niliona jamaa anadharau, kwa maana hapo dharau zake hazikuwa kwa Diamond tu bali wasanii wote kwake anawaona hawajui, yeye tu ndio anajua. Jamaa mziki anauweza ila ana vitabia fulani siyo, pia hayuko siriaz kwenye kazi yake kama Diamond, anachukulia mambo kirahisi rahisi!
 

hehehehehe...haya ndo tunayoyaita mahaba niue sasa....unatumia fikra zako binafsi na mawazo yako ili kuaminisha watu...badilika mkuuu...hayo mahaba niue yako ndiyo yanayompoteza Alikiba.
 
Mkuu hapa hakuna anaemchukia Diamond wala hakuna anaetaka mmoja ashuke na mwingine abaki ni Watanzania wenzetu na tunahitaji waitangaze nchi yetu ila figisu figisu anazofanya Sallam kama alichukuliwa mkewe ndio sisi hatutaki
Kwahiyo wewe ndo unajua ambacho kilitokea kuliko management ya Kiba mwenyewe?! Achakujitoa ufahamu wewe!!!! Hivi unazima mic mbele za watu pangekosekana japo mtu mmoja ambae ni shabiki wa Kiba akatoa ushuhuda kwamba ni Sallam ndie kazima mic? Yaani media zoooooooooooooooote za Kenya hamna hata moja ambayo ipo upande wa Kiba hata wasiseme ukweli? Ukitoa Kiba mwenyewe; ni nani mwingine ambae amesema suala la Sallam kuzima mic? Au huko backstage hakukuwa na mtu mwingine?! Unatia aibu halafu unajifanya unajua mambo ya muziki... unajua mambo ya muziki au unajua mambo ya husuda!
 
Hivi huyo Kiba amewahi kufanya collabo kubwa na nani hadi ionekane kuna watu waliziba collabo yake na Ne-Yo?!
 
Kumbe watu wenyewe si lolote si chochote; sasa povu lote la nini jombaa? Inakuaje tena mtu ambae si lolote si chochote ameweza kumfanyia figisu Kiba kwa Ne-Yo?
 
MI NASEMAJE, tengua kauli yako ya kusema eti kwenye ile show ya tigo concert kiba alimfunika Diamond. Huo ni Uongo usipotoshe uma. Pili kama ndo mziki wa Live anajigambia live yake mbaya wapiga vyombo wanaharibu kabisa zile beats zake zinakuwa kama bolingo bwana. Alafu ukubali ukatae kiba anaroho mbaya tu sema kuna visifa team yake wanalazimisha awe navyo wakati hana
 
Wewe bado sijajua jinsia yako..Yaani inawezekana vipi utake Mwanaume mwenzio awe na tabia zenye kukufurahisha kwani mumeo huyo?!
wewe kama unapenda basi penda mziki wake na sio tabia zake binafsi kila mtu ana mapungufu yake..

Wewe Unaona sawa kwa kuwa kaumbwa na dharahu basi ndio afanyie figisu figisu na Sallam kwani Sallam ndio mwenye mziki wake?

na huwezi kuaminika popote nishajua unatabia ya kubadili badili mawazo siku yoyote unaweza kuhama kwa Diamond ukaenda kwa Ben Pol kisa tabia za Diamond kupenda penda wanawake zinakukera
 
Acha kukurupa mkuu na punguza Jazba wapi niliposema kuwa Sallam alizima Mic?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…