Hakuna Beef kati ya Ali Kiba na Diamond ila kuna Beef kati ya Ali na Sallam

mzaramo

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2006
Posts
6,371
Reaction score
5,186
Hii kitu sio mara ya Kwanza kutokea malumbano kati ya Ali na Sallam.

1.Show ya Tigo Dar es salaam
mwaka jana kwenye show ya Tigo ambayo wasanii A List wa bongo flava wote walikuwemo ila baada ya ile show ambayo Ali kama kawaida yake alikimbiza Sallam kesho yake alishinda huko Twitter akimkashifu na kumtukana Ali kuwa ni mchawi na muoga akitoa madai kuwa Ali na timu yake waliruka ukuta kuingia back stage na Ali akumsalimia msanii yoyote kule back stage japo walikuwepo wakina A.Y,Mwana da,Barnaba boy,Ben Pol,Ommy Dimpozi,Diamond na wasanii wengine Kibao.

Hapo ndio utashikwa na mshangao mambo ya Ali kuruka ukuta na kutomsalimia msanii yoyote ikiwa kweli au ni uongo yeye Sallam inamuhusu nini?!
Na mbona wasanii wengine au mameneja wao hawakuzungumzia ile kitu kwanini yeye imuume namna ile na kuropoka kwenye social network kwa kiasi kule??

2.Show ya ODM-Mombasa

Kukawa na Show nyingine Mombasa..Show ambayo haikuwa ya diamond lilikuwa ni Tamasha la Chama cha Siasa ODM cha bwana Raila Odinga na wasanii Kibao wa Mombasa walikuwepo na Diamond alienda pale kama msanii mualikwa.

Kumbuka kuwa Tamasha sio la Diamond ni la Chama cha ODM wenye tamasha Lao wakaamua kumualika na Ali kwa sababu Ali ndio msanii anaekubalika zaidi Kutoka afrika pale Mombasa.

Baada ya lile tamasha Sallam akulala alilalama usiku kucha kwanini hawakuambiwa kuwa Ali angekuwemo kwenye hilo tamasha..basi kama kawaida yake akamtukana Ali kumwita muoga mwenye kusafiria nyota ya Diamond na kusahau kabisa lile tamasha alikuwa la kwao wao bali ni Chama cha Siasa ODM na wote walikuwa waalikwa tu.

3.Coke Studio,Nairobi

Mwaka jana Ali alikuwa Coke studio na kina Neyo kule Kenya na Neyo alikuwa yupo tayari kufanya Solo project na Ali nje ya coke studio..Sallam akulala alifunga safari usiku usiku mpaka Nairobi akaenda kumtia maneno maneno Neyo na kuvuruga mipango yote ya Ali na Neyo...mwisho wa siku Neyo akafanya Solo project na Diamond badala na Ali Kiba kama Neyo mwenyewe alivyotaka.

4.Show ya Chriss Brown,Monbasa
Juzi tena show sio yake haimuhusu ila alishinda Back stage kutoa figisu figisu...Ali alitakiwa afanye live show..na kufunga vifaa vya live show ingechukua zaidi ya Dakika 30 pale jukwaani alafu Ali ndio apande na hilo alikuwa tatizo la Ali bali ni la waandaaji wa show na fundi mitambo walichelewa kufunga mitambo yao.

Wizkid afanyi live show Anafanya semi live show ambayo Inawekwa CD yenye beat tupu na yeye anaimba juu yake.
Ali akamshauri kwa kuwa kufunga mitambo itachukua muda mrefu basi ni bora Wizkid apande afanye semi live show kwa maana mpaka Wizkid akimaliza show yake wale mafundi watakuwa washamaliza kazi yao na Ali atapanda kupiga Live show sasa kilichotokea Sallam akamwambia Meneja wa Wizkid Mr.Sande kuwa asikubali hapo ndio ulipotokea mzozo kati ya Ali na Team ya wizkid wakiongozwa na mfitini Sallam.

Mwisho wa siku walipoteza zaidi ya Dakika 40 yote kutaka kumkomoa Ali kwa kitu ambacho kipo wazi kabisa.

Mpaka Ali alipopanda muda ulikuwa ushapita na kupelekea kuzimiwa Mic na team ya Chris Brown kwa sababu ndege ulikuwa inawasubiri Airport kuwarudisha marekani.

Mwisho wa siku hakuna Bifu kati ya Ali na Naseeb ni washkaji ila kuna Beef kati ya Ali na Sallam.
 
Yaani thread imekaa kimahaba tupu kwa Alikiba. Yaani Neyo aache kufanya collabo na Alikiba kisa Sallam? Yaani waandaaji wa show waliomlipa Alikiba pesa nyingi wakubali kuzima mic kisa Sallam? Kwani huyo Sallam ni nani hadi awe na power kiasi hicho? Hii thread ni nonsense!
 
Jana nimemsikia jamaa anaitwa Aidan kwenye kipindi cha Millard Ayo ambapo alitambulishwa kama Meneja wa King, mnafanana mitazamo, labda wewe ni yeye au amekutuma.
 
Na kama Alikiba anakubalika zaidi Mombasa kwanini lisitumike jina lake kuwavuta watu kwenda kwenye mkutano wa chama badala yake litumike la diamond? Kama Alikiba ni msanii mkubwa kuliko Wizkid kwanini alikubali kulipwa nusu ya pesa aliyolipwa Wizkid?
Nadhani aliyeweka thread ni Seven Mosha
 
Wewe ni nani wa kutuaminisha hili..!?
Ni mtanzania wa kawaida tu na sipo hapa kumuaminisha yoyote...Nipo hapa kuweka wazi mtazamo wangu kuhusu chuki ya wazi ya bwana meneja Sallam juu ya Ali.
 
Na kama Alikiba anakubalika zaidi Mombasa kwanini lisitumike jina lake kuwavuta watu kwenda kwenye mkutano wa chama badala yake litumike la diamond? Kama Alikiba ni msanii mkubwa kuliko Wizkid kwanini alikubali kulipwa nusu ya pesa aliyolipwa Wizkid?
Nadhani aliyeweka thread ni Seven Mosha
swali zuri....Diamond hakutumika kuita mtu yoyote kwenye ile show...siku ile kulikuwa na wasanii zaidi ya 50 ambao walifanya show na Diamond alikuwa mualikwa tu na ukumbukue haikuwa show ya mtu mmoja ndio maana hakukuwa n msanii mmoja
 
Huo ndio ukweli japo watu wengii wanashabikia upande mmoja ally ni mtu ninaye mfahamu vizuri sana huyuu jamaa hanaga makuu na mtu ataishuzake anafanya kimya kimya hii inawaumiza sana kichwa hawa jamaa wa upande wapili
 
Ni mtanzania wa kawaida tu na sipo hapa kumuaminisha yoyote...Nipo hapa kuweka wazi mtazamo wangu kuhusu chuki ya wazi ya bwana meneja Sallam juu ya Ali.
Basi tuambie na chuki za alikiba kwa domo maana naona umeandika barua ndefu iliyojaa nonsense tupu......

Kiba ku organize watu wamtupie domo mikojo kuandaa watu wamzomee domo kwny show wanpokutana ili aonekane kafunika

domo kununua tunzo mara nyimbo anafanya nyuma ya stage Mara anakuja kufuta vumbi kuna maneno kibao aliyasema mwenye sporah show ya shombo balaa na kama domo angekuwa mtu ambae hana hekima ili hifu lingekuw mkubwa sana coz neno alilisema mpk mm mwenye we hadi leo cjalisahau kuwa kizur kikikosekana hata kibaya kinaonekana kizur na maneno kibao alilopoka na ndo maana sasa sallam kaamua kuingilia kati ndo maana mnamuona mswahili wanasema jeuri dawa yake kiburi na ukitaka kujua kiba ana chuki kwa domo uwe unaangalia interview zake
 
Jana nimemsikia jamaa anaitwa Aidan kwenye kipindi cha Millard Ayo ambapo alitambulishwa kama Meneja wa King, mnafanana mitazamo, labda wewe ni yeye au amekutuma.
Hapana sio mimi na wala hajanituma
 
Yaani thread imekaa kimahaba tupu kwa Alikiba. Yaani Neyo aache kufanya collabo na Alikiba kisa Sallam? Yaani waandaaji wa show waliomlipa Alikiba pesa nyingi wakubali kuzima kisa Sallam? Kwani huyo Sallam ni nani hadi awe na power kiasi hicho? Hii thread ni nonsense!
wapi niliposema Ali alizimiwa mziki kwa sababu Sallam alisema?!
 
Hii kitu sio mara ya Kwanza kutokea malumbano kati ya Ali na Sallam.

1.Show ya Tigo Dar es salaam

mwaka jana kwenye show ya Tigo ambayo wasanii A List wa bongo flava wote walikuwemo ila baada ya ile show ambayo Ali kama kawaida yake alikimbiza Sallam kesho yake alishinda huko Twitter akimkashifu na kumtukana Ali kuwa ni mchawi na muoga akitoa madai kuwa Ali na timu yake waliruka ukuta kuingia back stage na Ali akumsalimia msanii yoyote kule back stage japo walikuwepo wakina A.Y,Mwana da,Barnaba boy,Ben Pol,Ommy Dimpozi,Diamond na wasanii wengine Kibao.

Hapo ndio utashikwa na mshangao mambo ya Ali kuruka ukuta na kutomsalimia msanii yoyote ikiwa kweli au ni uongo yeye Sallam inamuhusu nini?!
Na mbona wasanii wengine au mameneja wao hawakuzungumzia ile kitu kwanini yeye imuume namna ile na kuropoka kwenye social network kwa kiasi kule??

2.Show ya ODM-Mombasa

Kukawa na Show nyingine Mombasa..Show ambayo haikuwa ya diamond lilikuwa ni Tamasha la Chama cha Siasa ODM cha bwana Raila Odinga na wasanii Kibao wa Mombasa walikuwepo na Diamond alienda pale kama msanii mualikwa.
Kumbuka kuwa Tamasha sio la Diamond ni la Chama cha ODM wenye tamasha Lao wakaamua kumualika na Ali kwa sababu Ali ndio msanii anaekubalika zaidi Kutoka afrika pale Mombasa.

Baada ya lile tamasha Sallam akulala alilalama usiku kucha kwanini hawakuambiwa kuwa Ali angekuwemo kwenye hilo tamasha..basi kama kawaida yake akamtukana Ali kumwita muoga mwenye kusafiria nyota ya Diamond na kusahau kabisa lile tamasha alikuwa la kwao wao bali ni Chama cha Siasa ODM na wote walikuwa waalikwa tu.

3.Coke Studio,Nairobi

Mwaka jana Ali alikuwa Coke studio na kina Neyo kule Kenya na Neyo alikuwa yupo tayari kufanya Solo project na Ali nje ya coke studio..Sallam akulala alifunga safari usiku usiku mpaka Nairobi akaenda kumtia maneno maneno Neyo na kuvuruga mipango yote ya Ali na Neyo...mwisho wa siku Neyo akafanya Solo project na Diamond badala na Ali Kiba kama Neyo mwenyewe alivyotaka.

4.Show ya Chriss Brown,Monbasa

Juzi tena show sio yake haimuhusu ila alishinda Back stage kutoa figisu figisu...Ali alitakiwa afanye live show..na kufunga vifaa vya live show ingechukua zaidi ya Dakika 30 pale jukwaani alafu Ali ndio apande na hilo alikuwa tatizo la Ali bali ni la waandaaji wa show na fundi mitambo walichelewa kufunga mitambo yao.

Wizkid afanyi live show Anafanya semi live show ambayo Inawekwa CD yenye beat tupu na yeye anaimba juu yake.
Ali akamshauri kwa kuwa kufunga mitambo itachukua muda mrefu basi ni bora Wizkid apande afanye semi live show kwa maana mpaka Wizkid akimaliza show yake wale mafundi watakuwa washamaliza kazi yao na Ali atapanda kupiga Live show sasa kilichotokea Sallam akamwambia Meneja wa Wizkid Mr.Sande kuwa asikubali hapo ndio ulipotokea mzozo kati ya Ali na Team ya wizkid wakiongozwa na mfitini Sallam.

Mwisho wa siku walipoteza zaidi ya Dakika 40 yote kutaka kumkomoa Ali kwa kitu ambacho kipo wazi kabisa.

Mpaka Ali alipopanda muda ulikuwa ushapita na kupelekea kuzimiwa Mic na team ya Chris Brown kwa sababu ndege ulikuwa inawasubiri Airport kuwarudisha marekani.

Mwisho wa siku hakuna Bifu kati ya Ali na Naseeb ni washkaji ila kuna Beef kati ya Ali na Sallam.
Huna facts
 
Basi tuambie na chuki za alikiba kwa domo maana naona umeandika barua ndefu iliyojaa nonsense tupu......

Kiba ku organize watu wamtupie domo mikojo kuandaa watu wamzomee domo kwny show wanpokutana ili aonekane kafunika

domo kununua tunzo mara nyimbo unafanya nyuma ya stage Mara unakuja kufuta vumbi...na ukitaka kujua kiba ana chuki kwa domo uwe unaangalia interview zake
Mkuu sihitaji kuangalia Interview zake ili nijue hilo...Namjua Ali Namjua Diamond wakiwa nje ya Interview nazungumzia kwenye maisha yao ya kawaida kabisa huku mitaani.....Diamond kamuimba Ali kwenye free style zake juu ya beat ya All the way up umesikia Ali akijibu au kumaindi kuhusu iko kitu?!
Mkuu fungua upeo Ali ana nguvu kiasi gani kulipa watu pesa wamzomee Diamond?!Tatizo ni Sallam na sio Diamond elewa hapa mkuu
 
Back
Top Bottom