Hakuna cha maana anachokipigania Polepole, hana muelekeo, apuuzwe tu na wapenda mabadiliko halisi

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Ukimsikiliza Polepole utagundua hakuna cha maana sana anachokipigania, malalamiko yake mengi ni kama yanatokana na kuwekwa mbali na meza kuu au kutomkubali tu Mwenyekiti wa chama chake. Hayo malalamiko ya ubatili wa utaratibu wa kumpata mgombea ndani ya chama chake ni kivuli cha kujificha na porojo tu.

Amejikanganya mno katika mahojiano yake na Jenerali Ulimwengu, majibu na ufafanuzi wake kwa masuala muhimu yamejaa hadaa sana. Mfano anasema mwenyekiti wa chama chao ana nguvu kuliko rais! Jenerali Ulimwengu amejaribu kumuelewesha kwamba dola ndio ina nguvu kuliko CCM na tatizo linaloipata CCM analolilamikia na ambalo limekuwa tatizo kwa muda wote ni rais wa nchi ambaye ni mkuu wa dola kuwa mwenyekiti wa CCM pia lakini yeye Polepole anabisha na vihoja vya kitoto ilihali kila mtu anajua hivyo ndivyo ilivyo.

Kitu kingine Polepole analalamikia watu kutekwa kunapotokana na uongozi dhaifu na wahuni! Ama kweli Nyani haoni...

Polepole anaamini kwamba chama chake CCM kimekuwa kinafanya vizuri sana wakati wote eti ndio maana kimekuwa "kinapata ridhaa" ya raia kutawala na kumfanya rais wa nchi kuwa mwenyekiti wa chama chao wakati wote na anaomba iendelee kuwa hivyo!

Jenerali Ulimwengu amemuuliza mambo gani hayaendi vizuri yanayomfanya kusema uongozi wa sasa hauko vizuri wakati barabara, madaraja, mabwawa ya umeme, treni, vituo vya afya n.k vinajengwa, Polepole anasema hayo ni mambo yanayoweza kufanyika hata nchi ikiwa katika "autopilot", kwamba kinachokosekana sasa ni uongozi wa kiutumishi unaojali watu! Mimi namuunga mkono katika hili lakini hivi ni kweli Polepole leo ndio amelifahamu hili wakati awamu iliyopita alikuwa akijuvuna na ujenzi wa flyovers na mavietee wapinzani walipokuwa wanaukosoa utawala?!
 
Ukimsikiliza Polepole utagundua hakuna cha maana sana anachokipigania, malalamiko yake mengi ni kama yanatokana na kuekwa mbali na meza kuu au kutomkubali tu Mwenyekiti wa chama chake. Hayo malalamiko ya ubatili wa utaratibu wa kumpata mgombea ndani ya chama chake ni kivuli cha kujificha na porojo tu.

Amejikanganya mno katika mahojiano yake na Jenerali Ulimwengu, majibu na ufafanuzi wake kwa masuala muhimu yamejaa hadaa sana. Mfano anasema mwenyekiti wa chama chao ana nguvu kuliko rais! Jenerali Ulimwengu amejaribu kumuelewesha kwamba dola ndio ina nguvu kuliko CCM na tatizo linaloipata CCM analolilamikia na ambalo limekuwa tatizo kwa muda wote ni rais wa nchi ambaye ni mkuu wa dola kuwa mwenyekiti wa CCM pia lakini yeye Polepole anabisha na vihoja vya kitoto ilihali kila mtu anajua hivyo ndivyo ilivyo.

Kitu kingine Polepole analalamikia watu kutekwa kunapotokana na uongozi dhaifu na wahuni! Ama kweli Nyani haoni...

Polepole anaamini kwamba chama chake CCM kimekuwa kinafanya vizuri sana wakati wote eti ndio maana kimekuwa "kinapata ridhaa" ya raia kutawala na kumfanya rais wa nchi kuwa mwenyekiti wa chama chao wakati wote na anaomba iendelee kuwa hivyo!

Jenerali Ulimwengu amemuuliza mambo gani hayaendi vizuri yanayomfanya kusema uongozi wa sasa hauko vizuri wakati barabara, madaraja, mabwawa ya umeme, treni, vituo vya afya n.k za vinajengwa, Polepole anasema hayo ni mambo yanayoweza kufanyika hata nchi ikiwa katika "autopilot" kwamba kinachokosekana sasa ni uongozi wa kiutumishi unaojali watu! Mimi namuunga mkono katika hili lakini hivi ni kweli Polepole leo ndio amelifahamu hili wakati awamu iliyopita alikuwa akijuvuna na ujenzi wa flyovers na mavietee wapinzani walipokuwa wanaukosa utawala?!
Muda utaongea. Lakini ni wazi kuwa hoja zinazotolewa na Polepole zina mashiko kwa namna moja au nyingine. Anaendeleza msisitizo wake kuhusu umuhimu wa Chama chake, CCM, kuzingatia taratibu na utamaduni wake wa kupata mgombea halali wa kukiwakilisha katika uchaguzi. Katika hili, yupo sahihi, kwani ni kweli kwamba utaratibu wa kumpata mgombea kwa mujibu wa Katiba ya CCM ulivunjwa. Hii ni hoja ya msingi kwa mustakabali wa demokrasia ya ndani ya vyama.
Hata hivyo, tusitarajie Polepole kuwaunga mkono CHADEMA katika mchakato wao wa kudai mageuzi, si sehemu ya harakati hizo, na hilo amelieleza bayana. Kuna wakati ni muhimu kukubaliana kutofautiana kimtazamo na kiitikadi, ikiwa kweli tunalenga mabadiliko ya maana. Ukweli ni kwamba wananchi wanaweza kuwa tayari kuwapa CCM awamu nyingine ya kuongoza, iwapo mgombea atakayesimama hatakuwa Samia, kuliko kuikabidhi CHADEMA, endapo mageuzi ya kweli yatafanyika ndani ya CCM yenyewe.
Huu ni mtazamo tu lkn !
 
Ukimsikiliza Polepole utagundua hakuna cha maana sana anachokipigania, malalamiko yake mengi ni kama yanatokana na kuekwa mbali na meza kuu au kutomkubali tu Mwenyekiti wa chama chake. Hayo malalamiko ya ubatili wa utaratibu wa kumpata mgombea ndani ya chama chake ni kivuli cha kujificha na porojo tu.

Amejikanganya mno katika mahojiano yake na Jenerali Ulimwengu, majibu na ufafanuzi wake kwa masuala muhimu yamejaa hadaa sana. Mfano anasema mwenyekiti wa chama chao ana nguvu kuliko rais! Jenerali Ulimwengu amejaribu kumuelewesha kwamba dola ndio ina nguvu kuliko CCM na tatizo linaloipata CCM analolilamikia na ambalo limekuwa tatizo kwa muda wote ni rais wa nchi ambaye ni mkuu wa dola kuwa mwenyekiti wa CCM pia lakini yeye Polepole anabisha na vihoja vya kitoto ilihali kila mtu anajua hivyo ndivyo ilivyo.

Kitu kingine Polepole analalamikia watu kutekwa kunapotokana na uongozi dhaifu na wahuni! Ama kweli Nyani haoni...

Polepole anaamini kwamba chama chake CCM kimekuwa kinafanya vizuri sana wakati wote eti ndio maana kimekuwa "kinapata ridhaa" ya raia kutawala na kumfanya rais wa nchi kuwa mwenyekiti wa chama chao wakati wote na anaomba iendelee kuwa hivyo!

Jenerali Ulimwengu amemuuliza mambo gani hayaendi vizuri yanayomfanya kusema uongozi wa sasa hauko vizuri wakati barabara, madaraja, mabwawa ya umeme, treni, vituo vya afya n.k vinajengwa, Polepole anasema hayo ni mambo yanayoweza kufanyika hata nchi ikiwa katika "autopilot" kwamba kinachokosekana sasa ni uongozi wa kiutumishi unaojali watu! Mimi namuunga mkono katika hili lakini hivi ni kweli Polepole leo ndio amelifahamu hili wakati awamu iliyopita alikuwa akijuvuna na ujenzi wa flyovers na mavietee wapinzani walipokuwa wanaukosa utawala?!

View: https://youtu.be/qeGhGDagxYg?si=C8Y5WA-hT_ggNvJW
Hakipo cha kupuuzwa. Kila neno ni LAZIMA lifanyiwe kazi, else kaeni mkao wa kugawana mbao...

Na this time around, wallah, mtauana...
 
Ukimsikiliza Polepole utagundua hakuna cha maana sana anachokipigania, malalamiko yake mengi ni kama yanatokana na kuekwa mbali na meza kuu au kutomkubali tu Mwenyekiti wa chama chake. Hayo malalamiko ya ubatili wa utaratibu wa kumpata mgombea ndani ya chama chake ni kivuli cha kujificha na porojo tu.

Amejikanganya mno katika mahojiano yake na Jenerali Ulimwengu, majibu na ufafanuzi wake kwa masuala muhimu yamejaa hadaa sana. Mfano anasema mwenyekiti wa chama chao ana nguvu kuliko rais! Jenerali Ulimwengu amejaribu kumuelewesha kwamba dola ndio ina nguvu kuliko CCM na tatizo linaloipata CCM analolilamikia na ambalo limekuwa tatizo kwa muda wote ni rais wa nchi ambaye ni mkuu wa dola kuwa mwenyekiti wa CCM pia lakini yeye Polepole anabisha na vihoja vya kitoto ilihali kila mtu anajua hivyo ndivyo ilivyo.

Kitu kingine Polepole analalamikia watu kutekwa kunapotokana na uongozi dhaifu na wahuni! Ama kweli Nyani haoni...

Polepole anaamini kwamba chama chake CCM kimekuwa kinafanya vizuri sana wakati wote eti ndio maana kimekuwa "kinapata ridhaa" ya raia kutawala na kumfanya rais wa nchi kuwa mwenyekiti wa chama chao wakati wote na anaomba iendelee kuwa hivyo!

Jenerali Ulimwengu amemuuliza mambo gani hayaendi vizuri yanayomfanya kusema uongozi wa sasa hauko vizuri wakati barabara, madaraja, mabwawa ya umeme, treni, vituo vya afya n.k vinajengwa, Polepole anasema hayo ni mambo yanayoweza kufanyika hata nchi ikiwa katika "autopilot" kwamba kinachokosekana sasa ni uongozi wa kiutumishi unaojali watu! Mimi namuunga mkono katika hili lakini hivi ni kweli Polepole leo ndio amelifahamu hili wakati awamu iliyopita alikuwa akijuvuna na ujenzi wa flyovers na mavietee wapinzani walipokuwa wanaukosa utawala?!
Jamaa anajitahidi aonekane anaongea kama Nyerere 🤣🤣 !
Na hapo ndipo anapojigonga gonga na vigugumizi vya kupretend pretend 🤣🤣 !
Hatari sana ! Wanasihasa ni shida sana !
Mwenyekiti wa Ccm ndiye Mkuu wa Dola na ndiye Mkuu wa majeshi yote Nchini !
Ni nani anaweza kuwa na Ubavu wa kumtingisha Mwenyekiti huko Chamani kwao ???!!
Halafu huyu kiumbe anasema hilo sio tatizo !
Sasa Subiri uone kama yupo wa kumtingisha 🤣😂 !
 
Ukimsikiliza Polepole utagundua hakuna cha maana sana anachokipigania, malalamiko yake mengi ni kama yanatokana na kuekwa mbali na meza kuu au kutomkubali tu Mwenyekiti wa chama chake. Hayo malalamiko ya ubatili wa utaratibu wa kumpata mgombea ndani ya chama chake ni kivuli cha kujificha na porojo tu.

Amejikanganya mno katika mahojiano yake na Jenerali Ulimwengu, majibu na ufafanuzi wake kwa masuala muhimu yamejaa hadaa sana. Mfano anasema mwenyekiti wa chama chao ana nguvu kuliko rais! Jenerali Ulimwengu amejaribu kumuelewesha kwamba dola ndio ina nguvu kuliko CCM na tatizo linaloipata CCM analolilamikia na ambalo limekuwa tatizo kwa muda wote ni rais wa nchi ambaye ni mkuu wa dola kuwa mwenyekiti wa CCM pia lakini yeye Polepole anabisha na vihoja vya kitoto ilihali kila mtu anajua hivyo ndivyo ilivyo.

Kitu kingine Polepole analalamikia watu kutekwa kunapotokana na uongozi dhaifu na wahuni! Ama kweli Nyani haoni...

Polepole anaamini kwamba chama chake CCM kimekuwa kinafanya vizuri sana wakati wote eti ndio maana kimekuwa "kinapata ridhaa" ya raia kutawala na kumfanya rais wa nchi kuwa mwenyekiti wa chama chao wakati wote na anaomba iendelee kuwa hivyo!

Jenerali Ulimwengu amemuuliza mambo gani hayaendi vizuri yanayomfanya kusema uongozi wa sasa hauko vizuri wakati barabara, madaraja, mabwawa ya umeme, treni, vituo vya afya n.k vinajengwa, Polepole anasema hayo ni mambo yanayoweza kufanyika hata nchi ikiwa katika "autopilot" kwamba kinachokosekana sasa ni uongozi wa kiutumishi unaojali watu! Mimi namuunga mkono katika hili lakini hivi ni kweli Polepole leo ndio amelifahamu hili wakati awamu iliyopita alikuwa akijuvuna na ujenzi wa flyovers na mavietee wapinzani walipokuwa wanaukosa utawala?!
Huyu alisha ahidi kuwa timua wahuni waliojificha mapangoni, na kujitolea kuwapeni darasa bure la siasa,sasa mnarukaruka nini acheni dawa iwaingieni,tena mtulie kama mnanyolewa,msije nyolewa hadi masikio yenu.
 
Muda utaongea. Lakini ni wazi kuwa hoja zinazotolewa na Polepole zina mashiko kwa namna moja au nyingine. Anaendeleza msisitizo wake kuhusu umuhimu wa Chama chake, CCM, kuzingatia taratibu na utamaduni wake wa kupata mgombea halali wa kukiwakilisha katika uchaguzi. Katika hili, yupo sahihi, kwani ni kweli kwamba utaratibu wa kumpata mgombea kwa mujibu wa Katiba ya CCM ulivunjwa. Hii ni hoja ya msingi kwa mustakabali wa demokrasia ya ndani ya vyama.
Hata hivyo, tusitarajie Polepole kuwaunga mkono CHADEMA katika mchakato wao wa kudai mageuzi, si sehemu ya harakati hizo, na hilo amelieleza bayana. Kuna wakati ni muhimu kukubaliana kutofautiana kimtazamo na kiitikadi, ikiwa kweli tunalenga mabadiliko ya maana. Ukweli ni kwamba wananchi wanaweza kuwa tayari kuwapa CCM awamu nyingine ya kuongoza, iwapo mgombea atakayesimama hatakuwa Samia, kuliko kuikabidhi CHADEMA, endapo mageuzi ya kweli yatafanyika ndani ya CCM yenyewe.
Huu ni mtazamo tu lkn !
Hakuna mtu anayetaka CHADEMA wapewe chochote zaidi ya uchaguzi huru wenye usawa na katiba bora,
Kabla ya kusema wananchi wako tayari kuipa CCM awamu nyingine je awamu iliyopita walipewa na wananchi??
 
Huyu alisha ahidi kuwa timua wahuni waliojificha mapangoni, na kujitolea kuwapeni darasa bure la siasa,sasa mnarukaruka nini acheni dawa iwaingieni,tena mtulie kama mnanyolewa,msije nyolewa hadi masikio yenu.
Atawapa darasa vilaza wenzake
 
Hakuna mtu anayetaka CHADEMA wapewe chochote zaidi ya uchaguzi huru wenye usawa na katiba bora,
Kabla ya kusema wananchi wako tayari kuipa CCM awamu nyingine je awamu iliyopita walipewa na wananchi??
Polepole akuje pande hii na jibu muzuri !
Hili ni swali mujarab kwa Polepole !
 
Ukimsikiliza Polepole utagundua hakuna cha maana sana anachokipigania, malalamiko yake mengi ni kama yanatokana na kuekwa mbali na meza kuu au kutomkubali tu Mwenyekiti wa chama chake. Hayo malalamiko ya ubatili wa utaratibu wa kumpata mgombea ndani ya chama chake ni kivuli cha kujificha na porojo tu.

Amejikanganya mno katika mahojiano yake na Jenerali Ulimwengu, majibu na ufafanuzi wake kwa masuala muhimu yamejaa hadaa sana. Mfano anasema mwenyekiti wa chama chao ana nguvu kuliko rais! Jenerali Ulimwengu amejaribu kumuelewesha kwamba dola ndio ina nguvu kuliko CCM na tatizo linaloipata CCM analolilamikia na ambalo limekuwa tatizo kwa muda wote ni rais wa nchi ambaye ni mkuu wa dola kuwa mwenyekiti wa CCM pia lakini yeye Polepole anabisha na vihoja vya kitoto ilihali kila mtu anajua hivyo ndivyo ilivyo.

Kitu kingine Polepole analalamikia watu kutekwa kunapotokana na uongozi dhaifu na wahuni! Ama kweli Nyani haoni...

Polepole anaamini kwamba chama chake CCM kimekuwa kinafanya vizuri sana wakati wote eti ndio maana kimekuwa "kinapata ridhaa" ya raia kutawala na kumfanya rais wa nchi kuwa mwenyekiti wa chama chao wakati wote na anaomba iendelee kuwa hivyo!

Jenerali Ulimwengu amemuuliza mambo gani hayaendi vizuri yanayomfanya kusema uongozi wa sasa hauko vizuri wakati barabara, madaraja, mabwawa ya umeme, treni, vituo vya afya n.k vinajengwa, Polepole anasema hayo ni mambo yanayoweza kufanyika hata nchi ikiwa katika "autopilot" kwamba kinachokosekana sasa ni uongozi wa kiutumishi unaojali watu! Mimi namuunga mkono katika hili lakini hivi ni kweli Polepole leo ndio amelifahamu hili wakati awamu iliyopita alikuwa akijuvuna na ujenzi wa flyovers na mavietee wapinzani walipokuwa wanaukosa utawala?!

Polepole kapeleka mtu zenj kisimkasi huko. Ila unamwona zoba. Kwani wewe umefanya nini wapi chenye kukupa uhalali wa kumpiga dongo huyu?

GwjMEE4WkAAqKMc.jpeg

Adui wa adui yetu sisi wenye kuelewa maana ni mwenzetu. Ninyi endeleeni na CHAUMMA yenu huko!

Ninyi si ndiyo wale wa pombe na nyama za bure? Au nimekufananisha?
 
Back
Top Bottom