Hakuna cha maana anachokipigania Polepole, hana muelekeo, apuuzwe tu na wapenda mabadiliko halisi

Hakuna cha maana anachokipigania Polepole, hana muelekeo, apuuzwe tu na wapenda mabadiliko halisi

Polepole wa V8,kajichimbia kaburi.
Apumzike afanye shughuli nyingine.Yaani kapewa Latino yote ikiwemo Caribbean kaacha investment potential zote.Mungu akupe nini karibu nyumbani,ukiendelea na kelele njaa watakupokonya wadhifa wa kuitwa Ambassador.
Mtoto kalilia wembe wacha umkate sawaswa
 
Ukimsikiliza Polepole utagundua hakuna cha maana sana anachokipigania, malalamiko yake mengi ni kama yanatokana na kuwekwa mbali na meza kuu au kutomkubali tu Mwenyekiti wa chama chake. Hayo malalamiko ya ubatili wa utaratibu wa kumpata mgombea ndani ya chama chake ni kivuli cha kujificha na porojo tu.

Amejikanganya mno katika mahojiano yake na Jenerali Ulimwengu, majibu na ufafanuzi wake kwa masuala muhimu yamejaa hadaa sana. Mfano anasema mwenyekiti wa chama chao ana nguvu kuliko rais! Jenerali Ulimwengu amejaribu kumuelewesha kwamba dola ndio ina nguvu kuliko CCM na tatizo linaloipata CCM analolilamikia na ambalo limekuwa tatizo kwa muda wote ni rais wa nchi ambaye ni mkuu wa dola kuwa mwenyekiti wa CCM pia lakini yeye Polepole anabisha na vihoja vya kitoto ilihali kila mtu anajua hivyo ndivyo ilivyo.

Kitu kingine Polepole analalamikia watu kutekwa kunapotokana na uongozi dhaifu na wahuni! Ama kweli Nyani haoni...

Polepole anaamini kwamba chama chake CCM kimekuwa kinafanya vizuri sana wakati wote eti ndio maana kimekuwa "kinapata ridhaa" ya raia kutawala na kumfanya rais wa nchi kuwa mwenyekiti wa chama chao wakati wote na anaomba iendelee kuwa hivyo!

Jenerali Ulimwengu amemuuliza mambo gani hayaendi vizuri yanayomfanya kusema uongozi wa sasa hauko vizuri wakati barabara, madaraja, mabwawa ya umeme, treni, vituo vya afya n.k vinajengwa, Polepole anasema hayo ni mambo yanayoweza kufanyika hata nchi ikiwa katika "autopilot", kwamba kinachokosekana sasa ni uongozi wa kiutumishi unaojali watu! Mimi namuunga mkono katika hili lakini hivi ni kweli Polepole leo ndio amelifahamu hili wakati awamu iliyopita alikuwa akijuvuna na ujenzi wa flyovers na mavietee wapinzani walipokuwa wanaukosoa utawala?!
WEWE PIA NI MUHUNI TU KAMA WAHUNI WENGINE MNAJIPITISHAPITISHAAAA KWA LENG LA KUPINDISHA UKWELII ,POLOPLE YUKO SAHIHII NDIO MAANA MNAWEWESEKAAA NA MAREKEBISHO YA KATIBA


BANDIKO LAKO LIMEKAA KIHUNI,KICHAWI,KIGANGA NA KICHAWA ,KIKUNGUNII ,HUNA ISHU WEWE



UTARATIBU UFWATWEEE HATA MAMA YENU AKIGOMBEA HATUNA SHIDA ILA NI MAMA SIO MGOMBEA HALALI NI HUNI TUU UMEFANYIKAAA KWA SABABU YA DOLA AS PER BASHIRU KM MTAAFU
 
Ukimsikiliza Polepole utagundua hakuna cha maana sana anachokipigania, malalamiko yake mengi ni kama yanatokana na kuwekwa mbali na meza kuu au kutomkubali tu Mwenyekiti wa chama chake. Hayo malalamiko ya ubatili wa utaratibu wa kumpata mgombea ndani ya chama chake ni kivuli cha kujificha na porojo tu.

Amejikanganya mno katika mahojiano yake na Jenerali Ulimwengu, majibu na ufafanuzi wake kwa masuala muhimu yamejaa hadaa sana. Mfano anasema mwenyekiti wa chama chao ana nguvu kuliko rais! Jenerali Ulimwengu amejaribu kumuelewesha kwamba dola ndio ina nguvu kuliko CCM na tatizo linaloipata CCM analolilamikia na ambalo limekuwa tatizo kwa muda wote ni rais wa nchi ambaye ni mkuu wa dola kuwa mwenyekiti wa CCM pia lakini yeye Polepole anabisha na vihoja vya kitoto ilihali kila mtu anajua hivyo ndivyo ilivyo.

Kitu kingine Polepole analalamikia watu kutekwa kunapotokana na uongozi dhaifu na wahuni! Ama kweli Nyani haoni...

Polepole anaamini kwamba chama chake CCM kimekuwa kinafanya vizuri sana wakati wote eti ndio maana kimekuwa "kinapata ridhaa" ya raia kutawala na kumfanya rais wa nchi kuwa mwenyekiti wa chama chao wakati wote na anaomba iendelee kuwa hivyo!

Jenerali Ulimwengu amemuuliza mambo gani hayaendi vizuri yanayomfanya kusema uongozi wa sasa hauko vizuri wakati barabara, madaraja, mabwawa ya umeme, treni, vituo vya afya n.k vinajengwa, Polepole anasema hayo ni mambo yanayoweza kufanyika hata nchi ikiwa katika "autopilot", kwamba kinachokosekana sasa ni uongozi wa kiutumishi unaojali watu! Mimi namuunga mkono katika hili lakini hivi ni kweli Polepole leo ndio amelifahamu hili wakati awamu iliyopita alikuwa akijuvuna na ujenzi wa flyovers na mavietee wapinzani walipokuwa wanaukosoa utawala?!
Kwanini wewe usipuuzwe kwa huu ugolo umeandka hapa na ni kweli wewe unaamini amepuuzwa!
Maana ameongea lakini kilichofuata ni kuahirisha mkuta mkuuu na leo unaona tangazo la mkutano maalumu umeitishwa kkwa njia ya mtandao kufanya mabadiliko madogo, hujiulizi kuwa nini alichonacho mtu huyo kama kupuuzwa ndio huku.
Polepole anaweza asifanikiwe anachokitamani kitokee huko ccm lakini amejaribu kusema kile mie na wewe hatuwzi kausema na pia wanaccm wengi wamesema ingawa nai chinichini.
Inawza kuwa nachokisema polepole hata wao walikifanya wakti wa utawla wa mwendazake lkn ni ukwel kuwa two wrongs wont make one to be right.
Hapa tujukitekujasili anachokisema polepole na sio tumjadili yeye, utaona hoja nyimgi alichosema ni ukwel kw akiasi kikubwa
 
Tatizo kubwa zaidi la Polepole ni muumini wa ukuu wa chama/"party supremacy", Polepole kwake chama kinatangulia kabla ya taifa na serikali. Gwajima na makandokando yake yote lakini anaamini zaidi katika maslahi ya taifa kwanza na chama baadaye.
Unazungumziaje watu wanaowalaumu CHADEMA kumpokea Lowassa na kumfanya mgombea wa UKAWA mwaka 2015?
Gwajima na Polepole wote matapeli wa kisiasa tu.

Ukitaka kuangalia watu na makandokando yao wote wana makandokando.

Hili kinaweza kuonesha kuwa inawezekana unamkubali Gwajima zaidi kwa sababu aliweza kufanikisha mambo fulani ya chama chako oendwa CHADEMA.
 
Nadhani anachokipigia no matter ni nini (ni haki yake) na being politician ambao wengi wao ni wanafiki na wana-ulterior motive; nadhani itakuwa ni kupoteza rasilimali muda kuanza kuwachunguza internally.... Kwahio inabidi tuangalia anachokiongelea (ISSUE) je kina mashiko ?

Even a Broken Clock is Right Twice a Day...., and There are no Angels just Humans (wenye mapungufu ya kibinadamu)
 
Samia hana uungwaji mkono wa kutosha wala ndani ya Chama chake wala miongoni mwa sehemu kubwa ya umma. Sasa sijui ni Samia yupi unayemzungumzia?
Ndio mnavodanganywa na tundu lisu ?
Sema ww humuungi mkono wengine tuko pamoja nae
 
sio tu nataka.

Nakwambia hivi Samia tunamzika mwaka huu,
Kachagua kulukutabu.

Na Tuaenda Kupata kiongozi Mwanaume anayemjua Mungu wa Kweli.

Screenshot hii Kiranga Mwisho wa Mwaka majibu utayapata.
vipi hali huko mkuu?
 
Back
Top Bottom