Hakuna cha maana anachokipigania Polepole, hana muelekeo, apuuzwe tu na wapenda mabadiliko halisi

Hakuna mtu anayetaka CHADEMA wapewe chochote zaidi ya uchaguzi huru wenye usawa na katiba bora,
Kabla ya kusema wananchi wako tayari kuipa CCM awamu nyingine je awamu iliyopita walipewa na wananchi??
Hata kama uchaguzi huru utapatikana, kuna uwezekano CHADEMA wakashindwa endapo CCM itamsimamisha mgombea mwingine tofauti na Rais Samia.
 
We

Well !
Ngoja Tusubiri tuone hii movie 🎥

Hayi ndiyo maneno kama ubavu wa kufanyiza kutokea front nyingine huna badala ya kujikita kuwapiga madongo wanaojaribu kupambana, kama ilivyo kwa mtoa mada.
 
WW nae kma hmnazo Asa huyo samia asipigiwe kura kisa nn? Tutampa samia mpk 2035 ikibid
Samia hana uungwaji mkono wa kutosha wala ndani ya Chama chake wala miongoni mwa sehemu kubwa ya umma. Sasa sijui ni Samia yupi unayemzungumzia?
 
Ukimsikiliza Polepole utagundua hakuna cha maana sana anachokipigania, malalamiko yake mengi ni kama yanatokana na kuekwa mbali na meza kuu au kutomkubali tu Mwenyekiti wa chama chake. Hayo malalamiko ya ubatili wa utaratibu wa kumpata mgombea ndani ya chama chake ni kivuli cha kujificha na porojo tu.

Amejikanganya mno katika mahojiano yake na Jenerali Ulimwengu, majibu na ufafanuzi wake kwa masuala muhimu yamejaa hadaa sana. Mfano anasema mwenyekiti wa chama chao ana nguvu kuliko rais! Jenerali Ulimwengu amejaribu kumuelewesha kwamba dola ndio ina nguvu kuliko CCM na tatizo linaloipata CCM analolilamikia na ambalo limekuwa tatizo kwa muda wote ni rais wa nchi ambaye ni mkuu wa dola kuwa mwenyekiti wa CCM pia lakini yeye Polepole anabisha na vihoja vya kitoto ilihali kila mtu anajua hivyo ndivyo ilivyo.

Kitu kingine Polepole analalamikia watu kutekwa kunapotokana na uongozi dhaifu na wahuni! Ama kweli Nyani haoni...

Polepole anaamini kwamba chama chake CCM kimekuwa kinafanya vizuri sana wakati wote eti ndio maana kimekuwa "kinapata ridhaa" ya raia kutawala na kumfanya rais wa nchi kuwa mwenyekiti wa chama chao wakati wote na anaomba iendelee kuwa hivyo!

Jenerali Ulimwengu amemuuliza mambo gani hayaendi vizuri yanayomfanya kusema uongozi wa sasa hauko vizuri wakati barabara, madaraja, mabwawa ya umeme, treni, vituo vya afya n.k vinajengwa, Polepole anasema hayo ni mambo yanayoweza kufanyika hata nchi ikiwa katika "autopilot" kwamba kinachokosekana sasa ni uongozi wa kiutumishi unaojali watu! Mimi namuunga mkono katika hili lakini hivi ni kweli Polepole leo ndio amelifahamu hili wakati awamu iliyopita alikuwa akijuvuna na ujenzi wa flyovers na mavietee wapinzani walipokuwa wanaukosa utawala?!
Yoda,

Nitaanza kwa kurejea mahojiano ya Nyerere.

Kuna mahojiano fulani aliyafanya Mwalimu Nyerere na muandishi mmoja wa India anaitwa Saeed Naqvi. Katika mahojiano hayo, kuna swali Saeed Naqvi alimuuliza Nyerere kuhusu uhusiano wake na Nehru (kiongozi wa India), na mambo ambayo Nyerere alipata kujifunza kwa Nehru. I am paraphrasing (link ipo chini kabisa).

Nyerere alisema kuwa, hakupata kujuana sana na Nehru, lakini walikutana wakaongea wakati Nyerere anadai uhuru. Akasema kitu kimoja Nehru alichomuusia Nyerere ni kumwambia "take what you can". Yani Nehru alimwambia Nyerere Wakoloni waki ku offer kitu, hata kama si kikubwa sana, hata kama si kile ulichokitaka, hata kama huwapendi, hata kama kina mapungufu, ilimradi hicho kitu kina advance cause yako, kichukue.

Kwa nini nimerejea ushauri huu wa Nehru kwa Nyerere?

Wapinzani, wanaharakati na wapenda mabadiliko Tanzania wana wakati mgumu sasa. Wanadai uhuru kama alivyodai Nyerere. Angalau wanasema hivyo.

Kwa upande mmoja, hawaupendi uongozi wa Samia na mapungufu yake, wanataka katiba mpya, wanataka mabadiliko. Lakini, kwa upande wa pili, kuna watu wanatokea ndani ya CCM na kuupinga uongozi huu, watu hawa wana makandokando mengi. Kina Gwajima na Polepole hao. Inakuwa vigumu kuwaunga mkono. Wapinzani wanaona kama wakikubali hoja zao fulani, watawapa credit wakati kiukweli hawastahili credit, hawa ni matapeli wa kisiasa tu.

Nimeona Godbkess Lema anamshambulia sana Polepole.

Mimi narejea ushauri wa Nehru kwa Nyerere. Take what you can.

Kuna namna ya kukubaliana na baadhi ya hoja za Polepole na Gwajima, katika hoja fulani, bila ya kumfanya Polepole au Gwajima kuwa hero, kuwa mtume, kuwa shujaa.

Tatizo letu tuna "all or nothing" mindset. Yani tunataka ukimkubali mtu umkubali kwa kila kitu. Halafu hatujui kutenganisha mtu na hoja. Inawezekana nikakubaliana na Polepole kwenye hoja kwamba uteuzi wa Samia una dosari, lakini nisikubaliane naye kwenye hoja kwamba mtu akishakuwa PM, VP na Speaker hafai kuwa rais.

Kuna namna ya kukubaliana na Polepole kwenye hoja kwamba Samia kapitishwa kuwa mgombea kwa ambush na namna ya aibu, bila kujidanganya kwamba Polepole hana ulterior motives zilizo nje ya siasa za principle tu. Angekuwa na siasa za principle angekaa kimya wakati swahiba wake Magufuli anavunja katiba na kuteka watu?

Many a time we focus on the personalities instead of the points.

Let's focus on the points. Kuna points za Polepole zinaweza kusaidia movement ya kudai mabadiliko Tanzania. Take what you can.

Waingereza wanasema even a broken clock can be right twice a day.

Polepole is a charlatan, a Machiavellian politician jockeying for position in the name of principle.

But that does not mean he is useless. That does not mean some of what he says cannot be true and is not useful in furthering activism against the current regime.

Let's argue the points, not the personalities.

Interview ya Nyerere na Saeed Naqvi naiweka hapa kwa marejeo.

View: https://youtu.be/PVdxiBidCoU?si=NKbKbOfTrjJ_D_0V
 
Kama ningekuwa ni Mimi kisha nikachafukwa kwanza kabisa Tundu Lissu anafutiwa mashtaka kisha zinafanywa reforms chap chap Chadema inaruhusiwa kuingia kwenye Uchaguzi Then tuone nini kitakuwa ni nini !!! 😂😂🤣🤣 !

Ohooo kumbe naota 😳 !
 
Yeyote anayempinga Samia ni mwenzetu na Tutampa maua yake
 
Yoda,

Nitaanza kwa kurejea mahojiano ya Nyerere.

Kuna mahojiano fulani aliyafanya Mwalimu Nyerere na muandishi mmoja wa India anaitwa Saeed Naqvi. Katika mahojiano hayo, kuna swali Saeed Naqvi alimuuliza Nyerere kuhusu uhusiano wake na Nehru (kiongozi wa India), na mambo ambayo Nyerete alipata kujifunza kwa Nehru. I am paraphrasing (link ipo chini kabisa).

Nyerere alisema kuwa, hakupata kujuana sana na Nehru, lakini walikutana wakaongea wakati Nyerere anadai uhuru. Akasema kitu kimoja Nehru alichomuusia Nyerere ni kumwambia "take what you can". Yani Nehru alimwambia Nyerere Wakoloni waki ku offer kitu, hata kama si kikubwa sana, hata kama si kile ukichokitaka, hata kama huwapendi, hata kama kina mapungufu, ilimradi hicho kitu kina advance cause yako, kichukue.

Kwa nini nimerejea ushauri huu wa Nehru kwa Nyerere?

Wapinzani, wanaharakati na wapenda mabadiliko Tanzania wana wakati mgumu sasa. Wanadai uhuru kama alivyodai Nyerere. Angalau wanasema hivyo.

Kwa upande mmoja, hawaupendi uongozi wa Samia na mapungufu yake, wanataka katiba mpya, wanataka mabadiliko. Lakini, kwa upande wa pili, kuna watu wanatokea ndani ya CCM na kuupinga uongozi huu, watu hawa wana makandokando mengi. Kina Gwajima na Polepole hao. Inakuwa vigumu kuwaunga mkono. Wapinzani wanaona kama wakikubali hoja zao fulani, watawapa credit wakati kiukweli hawastahili credit, hawa ni matapeli wa kisiasa tu.

Nineona Godbkess Lema anamshambukia sana Polepole.

Mimi narejea ushauri wa Nehru kwa Nyerere. Take what you can.

Kuna namna ya kukubaliana na baadhi ya hoja za Polepole na Gwajima, katika hoja fulani, bila ya kumfanya Polepole au Gwajima kuwa hero, kuwa ntume, kuwa shujaa.

Tatizo letu tuna "all or nothing" mindset. Yani tunataka ukimkubali mtu umkubali kwa kila kitu. Halafu hatujui kutenganisha mtu na hoja. Inawezekana nikakubaliana na Polepole kwenye hoja kwamba uteuzi wa Samia una dosari, lakini nisikubaliane naye kwenye hoja kwamba mtu akishakuwa PM, VP na Speaker hafai kuwa rais.

Kuna namna ya kukubaliana na Polepole kwenye hoja kwamba Samia kapitishwa kuwa mgombea kwa ambush na namna ya aibu, bila kujidanganya kwamba Polepole hana ulterior motives zilizo nje ya siasa za principle tu. Angekuwa na siasa za principle angekaa kimya wakati swahiba wake Magufuli anavunja katiba na kuteka watu?

Many a time we focus on the personalities instead of the points.

Let's focus on tge points. Kuna points za Polepole zinaweza kusaidia movement ya kudai mabadiliko Tanzania. Take what you can.

Waingereza wanasema even a broken clock can be right twice a day.

Polepole is a charlatan, a Machiavellian politocian jockeying for position in the name of principle.

But that does not mean he is useless. That does not mean some of what he says cannot be true and is not useful in furthering activism against the current regime.

Let's argue the points, not the personalities.

Interview ya Nyerere na Saeed Naqvi naiweka hapa kwa marejeo.

View: https://youtu.be/PVdxiBidCoU?si=NKbKbOfTrjJ_D_0V

Good analysis 👍
 
kuwaunga mkono kwa internal politics it's a trap, mi binafsi kwenye "take what you can" nataka nimuone SSH madarakani
 
mwambie polepole azungumzie uchaguzi wa 2020 na wa 2024 kwanza, kama akitetea chama chake basi ujue hakuna cha shujaa wala mzalendo hapo
Iwapo Polepole ni shujaa au mzalendo hilo linaweza kuwa jambo la kujadiliwa, lakini jambo lisilo na shaka ni kwamba hoja zake ni za msingi, zenye uzito na mtazamo wa kiuadilifu. Kama kuna anayepinga aliyoyasema, basi na ayakanushe hadharani kwa hoja makini, si kwa mihemko. Ni muhimu kusikiliza kwa umakini speech ya Polepole, amezungumzia masuala yanayohusu Chama chake, CCM, na Serikali inayoundwa na Chama hicho. Jaribuni kubaki katika muktadha wa mjadala wake. Mengine mnayojaribu kuyahusisha ni sawa na kutafuta machungwa chini ya mwembe, hayapo.
 
Yeyote anayempinga Samia ni mwenzetu na Tutampa maua yake

Kwanza nakubaliana nawe kuwa inawezekana kujenga coalition na watu wanaoonesha mapungufu ya CCM, bila hata ya kuwafanya wao wawe mitume wa mageuzi, kama huo ndio msingi wa hoja yako.

Lakini pia, najiuliza.

Hivi kwa nini Watanzania wanapenda sana ku personalize mambo?

Unaelewa kuwa inawezekana Samia akakubali kutogombea urais, halafu akaja hayawani mwingine mbaya zaidi ya Samia?

Kwa nini unajikita kumpinga Samia kama mtu, badala ya kuupinga mfumo uliomuweka Samia ambao unaweza kuhakikisha hata Samia akiondoka atakuja mtu mwingine pengine mbaya kuliko Samia?

Si tumeona watu waliomsema sana Magufuli, akafariki, sasa Samia anaendeleza udhalimu ule ule tu na hata zaidi?

Sasa Samia akiondolewa akaja Nchimbi akawapiga kindakindaki utakuwa umepata nini?
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Kwanza nakubaliana nawe kuwa inawezekana kujenga coalition na watu wanaoonesha mapungufu ya CCM, bika hata ya juwafanya wao wawe mitume wa mageuzi, kama huo ndio msingi wa hoja yako.

Lakini oia, najiuliza.

Hivi kwa nini Watanzania wanaoenda sana ku personalize mambo?

Unaelewa kuwa inawezekana Samia akakubali kutogombea urais, halafu akaja hayawani mwingine mbaya zaidi ya Samia?

Kwa nini unajikita kumpinga Samia kama mtu, badala ya kuupinga mfumo uliomuweka Samia ambao unaweza kuhakikisha hata Samia akiondoka atakuja mtu mwingine pengibe mbaya kuliko Samia?

Si tumeona watu waliomsema sana Magufuli, akafariki, sasa Samia anaendeleza udhalimu ule ule tu na hata zaidi?

Sasa Samia akiondolewa akaja Nchimbi akawapiga kindakindaki utakuwa umepata nini?
Viongozi waaminifu kufata katiba ya nchi wapo,
na pia Sio tu tunataka kiongozi mwingine, tunataka kiongozi wa kuja kuboresha mifumo ya utawala kwenye nchi yetu.

kamsikilize Ask Gwajiboi Vizuri

Sio huyo kahaba tuliowekewa ikulu bila kumchagua kazi ni uwongo na tamaa za madaraka hataki kukosolewa, hajiamini, kajipanga kupola uchaguzi.
 
Tatizo la kwanza unataka "kiongozi wa kuja kuboresha mifumo ya utawala kwenye nchi yetu".

Hili ni tatizo.

Tatizo la pili una assume sijamsikiliza Gwajima.
 
sio tu nataka.

Nakwambia hivi Samia tunamzika mwaka huu,
Kachagua kulukutabu.

Na Tuaenda Kupata kiongozi Mwanaume anayemjua Mungu wa Kweli.

Screenshot hii Kiranga Mwisho wa Mwaka majibu utayapata.
 
Lengo la Polepole ni kuiteka ajenda ya NRNE ambayo imewashika pabaya ili ionekane kwa watu kuwa ni ya CCM na wana nia ya kufanya reforms ndani ya CCM kwanza.
Swali zuri la Jenerali Ulimwengu aliliomuuliza kama anakubaliana na Reforms zinazodaiwa na CHADEMA alilikwepa tena wazi wazi.
Polepole hana jipya ni spin Doctor aliyetumwa kuja kuokoa jahazi lakini ni wale wale tu. CHADEMA waendelee kukaza kabari, Hapohapo #NoreformsNoelection!.
 
sio tu nataka.

Nakwambia hivi Samia tunamzika mwaka huu,
Kachagua kulukutabu.

Na Tuaenda Kupata kiongozi Mwanaume anayemjua Mungu wa Kweli.

Screenshot hii Kiranga Mwisho wa Mwaka majibu utayapata.
Huyo Mungu huwezi kuthibitisha yupo.

Kama hata unajua kuthibitisha ni nini.
 
Ukimsikiliza Polepole utagundua hakuna cha maana sana anachokipigania, malalamiko yake mengi ni kama yanatokana na kuwekwa mbali na meza kuu au kutomkubali tu Mwenyekiti wa chama chake. Hayo malalamiko ya ubatili wa utaratibu wa kumpata mgombea ndani ya chama chake ni kivuli cha kujificha na porojo tu.

Amejikanganya mno katika mahojiano yake na Jenerali Ulimwengu, majibu na ufafanuzi wake kwa masuala muhimu yamejaa hadaa sana. Mfano anasema mwenyekiti wa chama chao ana nguvu kuliko rais! Jenerali Ulimwengu amejaribu kumuelewesha kwamba dola ndio ina nguvu kuliko CCM na tatizo linaloipata CCM analolilamikia na ambalo limekuwa tatizo kwa muda wote ni rais wa nchi ambaye ni mkuu wa dola kuwa mwenyekiti wa CCM pia lakini yeye Polepole anabisha na vihoja vya kitoto ilihali kila mtu anajua hivyo ndivyo ilivyo.

Kitu kingine Polepole analalamikia watu kutekwa kunapotokana na uongozi dhaifu na wahuni! Ama kweli Nyani haoni...

Polepole anaamini kwamba chama chake CCM kimekuwa kinafanya vizuri sana wakati wote eti ndio maana kimekuwa "kinapata ridhaa" ya raia kutawala na kumfanya rais wa nchi kuwa mwenyekiti wa chama chao wakati wote na anaomba iendelee kuwa hivyo!

Jenerali Ulimwengu amemuuliza mambo gani hayaendi vizuri yanayomfanya kusema uongozi wa sasa hauko vizuri wakati barabara, madaraja, mabwawa ya umeme, treni, vituo vya afya n.k vinajengwa, Polepole anasema hayo ni mambo yanayoweza kufanyika hata nchi ikiwa katika "autopilot" kwamba kinachokosekana sasa ni uongozi wa kiutumishi unaojali watu! Mimi namuunga mkono katika hili lakini hivi ni kweli Polepole leo ndio amelifahamu hili wakati awamu iliyopita alikuwa akijuvuna na ujenzi wa flyovers na mavietee wapinzani walipokuwa wanaukosa utawala?!
Ng'ombe nyingine hii!!
 
Huyo Mungu huwezi kuthibitisha yupo.

Kama hata unajua kuthibitisha ni nini.
sipo hapa kumshawishi tahira aamini kuwa anayo nafsi isio onekana, na Mungu ni nafsi/roho isio onekana.
 
Back
Top Bottom