MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Mpenda mabadiliko hawezi kukubali Samia awe Rais wake
Hukuwa na haja ya kunitukana! Nadhani nipo upande wako! Sielewi nini kimetokea lakini nilikuwa sikujibu wewe! Sorry!Hebu rejea kusoma nilichoandika kumjibu aliyekuwa akimpiga dongo Polepole ambaye hatimaye kukubaliana nami kuwa Polepole yuko vizuri?
Kwani umekurupushwa kutokea chooni ndugu?
ndolelejiUduhe hebu angalia hii ng'ombe Nyerere akisema: "kama huyu, ameokotwa wapi?"
Kwamba umerukia ghafla trenu Kwa mbele hujiui inatoka au inakwenda wapi?
Kiherehere chako na mimba yako kulikoni kutuletea sisi tusiohusika nayo?
Kagombane na mumeo tafadhali wengine hatuhusiki!
Looh!
Bure kabisa!
Hukuwa na haja ya kunitukana! Nadhani nipo upande wako! Sielewi nini kimetokea lakini nilikuwa sikujibu wewe! Sorry!
Polepole ni mwanachama wa CCM, si CHADEMA wala chama chochote cha upinzani. Hoja yake kuu ni kuona kuwa CCM inaendelea kushika dola kwa kusimamisha mgombea anayekubalika na wananchi, anayezingatia misingi ya utawala bora kwa masilahi ya umma na taifa, kupitia mchakato unaozingatia kanuni, taratibu, tamaduni na Katiba ya CCM . Hoja ya kudai uchaguzi huru wa kitaifa unaoshirikisha vyama vyote si hoja ya msingi kwa Polepole, kwa sababu yeye amejikita mahsusi katika mustakabali wa chama chake, si katika muundo wa kisiasa wa vyama vingi kwa ujumla.mwenendo wa serikali na chama chake ndo wanakiuka utaratibu nma kuharibu chaguzi za nchi - sasa kama wamefika mahala wanaharibu hadi chaguzi zao za ndani , wanatakiwa kujivunia sana jambo hilo
yeye mwenyewe kwenye anayoyalalamikia mwisho anasema "muheshimiwa SSH amefanya kazi nzuri na inaishia hapa 2025" --- kwanini anasema amefanya kazi nzuri?
yeye mwenyewe polepole hoja zake ni za muhemko na kitapeli, na kama awamu miaka hii minne imeyumba - lawama inabidi iende kwenye chama chao kwa ujumla kwa kugoma kuchapa kazi na raisi mpya aliyeapishwa 2021 - maukwaani walikua wanapongeza lakini wakitoka hapo kazi wanalipua makusudi
kama umelikuabali hilo --- ndo maana sisi wajanja tunamuona polepole ni tapeli tu , na tunahimiza waendelee kutwangana huko kwenye chama chao.Polepole ni mwanachama wa CCM, si CHADEMA wala chama chochote cha upinzani. Hoja yake kuu ni kuona kuwa CCM inaendelea kushika dola kwa kusimamisha mgombea anayekubalika na wananchi, anayezingatia misingi ya utawala bora kwa masilahi ya umma na taifa, kupitia mchakato unaozingatia kanuni, taratibu, tamaduni na Katiba ya CCM . Hoja ya kudai uchaguzi huru wa kitaifa unaoshirikisha vyama vyote si hoja ya msingi kwa Polepole, kwa sababu yeye amejikita mahsusi katika mustakabali wa chama chake, si katika muundo wa kisiasa wa vyama vingi kwa ujumla.
anajamba jamba muda huu mama akoSSH ni raisi ajaye mkuu 😁 --- urais na mambo ya kumjua Mungu wa kweli wapi na wapi mkuu
Ushujaa wa kweli hauonyeshwi kwa kupayukia kila jambo kwa wakati mmoja, bali kwa kushughulikia chanzo halisi cha matatizo kwa hatua madhubuti kuelekea taifa lenye mageuzi ya kweli. Mageuzi hayaishii kwa kutamka tu 'NRNE' na kisha kusubiri huruma ya umma (ambayo, kwa hakika, haitowezekana kwa Watanzania wengi ambao bado hawajajitambua kisiasa) wala kutegemea msukumo kutoka kwa jumuiya ya kimataifa. Kama dhamira ni kuwa na mageuzi ya kweli na ya haraka, basi haiwezekani kubeza hoja za watu kama Polepole, Gwajima au Mpina. Kufanya hivyo ni kujidanganya na kuishia katika makelele yasiyo na msingi wowote wa kimageuzi.kama umelikuabali hilo --- ndo maana sisi wajanja tunamuona polepole ni tapeli tu , na tunahimiza waendelee kutwangana huko kwenye chama chao.
kitu ambacho hatuwezi ruhusu ni watu kumdeclare polepole kama shujaa na mzalendo wa nchi -- wakisema mzalendo na shujaa wa chama sawa
kila la kheri
kama kuna kosa unalolifanya ni kuhisi mimi ni chadema mkuu --- tatizo halisi la nchi hii ni ccm mkuu.Ushujaa wa kweli hauonyeshwi kwa kupayukia kila jambo kwa wakati mmoja, bali kwa kushughulikia chanzo halisi cha matatizo kwa hatua madhubuti kuelekea taifa lenye mageuzi ya kweli. Mageuzi hayaishii kwa kutamka tu 'NRNE' na kisha kusubiri huruma ya umma (ambayo, kwa hakika, haitowezekana kwa Watanzania wengi ambao bado hawajajitambua kisiasa) wala kutegemea msukumo kutoka kwa jumuiya ya kimataifa. Kama dhamira ni kuwa na mageuzi ya kweli na ya haraka, basi haiwezekani kubeza hoja za watu kama Polepole, Gwajima au Mpina. Kufanya hivyo ni kujidanganya na kuishia katika makelele yasiyo na msingi wowote wa kimageuzi.
Lakini muda ndio utakaoamua. Siasa ni sayansi.
Ukiona mtu anamchukia RAIS SAMIA SULULUUkiona mtu anamtetea Samia jua huyo mtu eiza ni chawa au hana akili
Yoda,
Nitaanza kwa kurejea mahojiano ya Nyerere.
Kuna mahojiano fulani aliyafanya Mwalimu Nyerere na muandishi mmoja wa India anaitwa Saeed Naqvi. Katika mahojiano hayo, kuna swali Saeed Naqvi alimuuliza Nyerere kuhusu uhusiano wake na Nehru (kiongozi wa India), na mambo ambayo Nyerere alipata kujifunza kwa Nehru. I am paraphrasing (link ipo chini kabisa).
Nyerere alisema kuwa, hakupata kujuana sana na Nehru, lakini walikutana wakaongea wakati Nyerere anadai uhuru. Akasema kitu kimoja Nehru alichomuusia Nyerere ni kumwambia "take what you can". Yani Nehru alimwambia Nyerere Wakoloni waki ku offer kitu, hata kama si kikubwa sana, hata kama si kile ulichokitaka, hata kama huwapendi, hata kama kina mapungufu, ilimradi hicho kitu kina advance cause yako, kichukue.
Kwa nini nimerejea ushauri huu wa Nehru kwa Nyerere?
Wapinzani, wanaharakati na wapenda mabadiliko Tanzania wana wakati mgumu sasa. Wanadai uhuru kama alivyodai Nyerere. Angalau wanasema hivyo.
Kwa upande mmoja, hawaupendi uongozi wa Samia na mapungufu yake, wanataka katiba mpya, wanataka mabadiliko. Lakini, kwa upande wa pili, kuna watu wanatokea ndani ya CCM na kuupinga uongozi huu, watu hawa wana makandokando mengi. Kina Gwajima na Polepole hao. Inakuwa vigumu kuwaunga mkono. Wapinzani wanaona kama wakikubali hoja zao fulani, watawapa credit wakati kiukweli hawastahili credit, hawa ni matapeli wa kisiasa tu.
Nimeona Godbkess Lema anamshambulia sana Polepole.
Mimi narejea ushauri wa Nehru kwa Nyerere. Take what you can.
Kuna namna ya kukubaliana na baadhi ya hoja za Polepole na Gwajima, katika hoja fulani, bila ya kumfanya Polepole au Gwajima kuwa hero, kuwa mtume, kuwa shujaa.
Tatizo letu tuna "all or nothing" mindset. Yani tunataka ukimkubali mtu umkubali kwa kila kitu. Halafu hatujui kutenganisha mtu na hoja. Inawezekana nikakubaliana na Polepole kwenye hoja kwamba uteuzi wa Samia una dosari, lakini nisikubaliane naye kwenye hoja kwamba mtu akishakuwa PM, VP na Speaker hafai kuwa rais.
Kuna namna ya kukubaliana na Polepole kwenye hoja kwamba Samia kapitishwa kuwa mgombea kwa ambush na namna ya aibu, bila kujidanganya kwamba Polepole hana ulterior motives zilizo nje ya siasa za principle tu. Angekuwa na siasa za principle angekaa kimya wakati swahiba wake Magufuli anavunja katiba na kuteka watu?
Many a time we focus on the personalities instead of the points.
Let's focus on the points. Kuna points za Polepole zinaweza kusaidia movement ya kudai mabadiliko Tanzania. Take what you can.
Waingereza wanasema even a broken clock can be right twice a day.
Polepole is a charlatan, a Machiavellian politician jockeying for position in the name of principle.
But that does not mean he is useless. That does not mean some of what he says cannot be true and is not useful in furthering activism against the current regime.
Let's argue the points, not the personalities.
Interview ya Nyerere na Saeed Naqvi naiweka hapa kwa marejeo.
View: https://youtu.be/PVdxiBidCoU?si=NKbKbOfTrjJ_D_0V
Siasa za matukio haziwezi kuwa ma mashiko kwa masilahi mapana ya nchi, siasa za matukio ni sawa na udaku wa kisiasa tu.Hakuna shida kupenda siasa za matukio ila hayo matukio yawe na mashiko kwa maslahi mapana ya nchi.
Sasa suala la Lissu kuwa gerezani linahusiana vp na hoja ya siasa za matukio? Kwamba Lissu kuwa gerezani ndio kunaonyesha wapinzani huwa hawashabikii siasa za matukio?Lissu yuko magereza kwa sababu ya siasa za matukio au masuala?
Hili la utaratibu mnapuyanga tu kwa kuwa kuna watu walijipanga kutaka urais. Kwanza mjue haijawahi kutokea Rais kufia madarakani nchi hii, na sidhani km kuna utaratibu ndani ya CCM kushughulika na jambo km hili. Mimi nafikiri tungewapongeza wazee wetu hasa JK na hatimaye mkutano mkuu kwa busara zao na wameshamaliza jambo la mgombea wa CCM salama kabisa wanaolalamika wanataka kulazimisha maslahi yao binafsi tuwapuuze. Ukweli ni kuwa CCM kupitia viongozi wake wa juu walishamtangaza kabla kabisa kuwa mgombea wao mwaka huu ni Samia Suluhu Hassan na ni kwa kuwa Samia amefanya mambo makubwa sana zaidi kuliko mwanaume yeyote ndani ya muda mfupi akiwa Rais wa nchi yetu hatuhitaji mtu mwingine yeyote. Mkutano mkuu wa CCM umejaa watu makini na wasomi wameshamaliza kazi yao tena iliyotukuka, ambaye hajaridhika atafute mahala pengine kitimiza haja zake km anafikiri kweli watanzania wanamhitaji siyo kupitia CCM tena.Muda utaongea. Lakini ni wazi kuwa hoja zinazotolewa na Polepole zina mashiko kwa namna moja au nyingine. Anaendeleza msisitizo wake kuhusu umuhimu wa Chama chake, CCM, kuzingatia taratibu na utamaduni wake wa kupata mgombea halali wa kukiwakilisha katika uchaguzi. Katika hili, yupo sahihi, kwani ni kweli kwamba utaratibu wa kumpata mgombea kwa mujibu wa Katiba ya CCM ulivunjwa. Hii ni hoja ya msingi kwa mustakabali wa demokrasia ya ndani ya vyama.
Hata hivyo, tusitarajie Polepole kuwaunga mkono CHADEMA katika mchakato wao wa kudai mageuzi, si sehemu ya harakati hizo, na hilo amelieleza bayana. Kuna wakati ni muhimu kukubaliana kutofautiana kimtazamo na kiitikadi, ikiwa kweli tunalenga mabadiliko ya maana. Ukweli ni kwamba wananchi wanaweza kuwa tayari kuwapa CCM awamu nyingine ya kuongoza, iwapo mgombea atakayesimama hatakuwa Samia, kuliko kuikabidhi CHADEMA, endapo mageuzi ya kweli yatafanyika ndani ya CCM yenyewe.
Huu ni mtazamo tu lkn !
Hicho kibwengo hakijielewi ataishi maisha ya shida za kujitakia. Ni lofa lisilo na adabuJamaa anajitahidi aonekane anaongea kama Nyerere 🤣🤣 !
Na hapo ndipo anapojigonga gonga na vigugumizi vya kupretend pretend 🤣🤣 !
Hatari sana ! Wanasihasa ni shida sana !
Mwenyekiti wa Ccm ndiye Mkuu wa Dola na ndiye Mkuu wa majeshi yote Nchini !
Ni nani anaweza kuwa na Ubavu wa kumtingisha Mwenyekiti huko Chamani kwao ???!!
Halafu huyu kiumbe anasema hilo sio tatizo !
Sasa Subiri uone kama yupo wa kumtingisha 🤣😂 !
Polepole wa V8,kajichimbia kaburi.Ukimsikiliza Polepole utagundua hakuna cha maana sana anachokipigania, malalamiko yake mengi ni kama yanatokana na kuwekwa mbali na meza kuu au kutomkubali tu Mwenyekiti wa chama chake. Hayo malalamiko ya ubatili wa utaratibu wa kumpata mgombea ndani ya chama chake ni kivuli cha kujificha na porojo tu.
Amejikanganya mno katika mahojiano yake na Jenerali Ulimwengu, majibu na ufafanuzi wake kwa masuala muhimu yamejaa hadaa sana. Mfano anasema mwenyekiti wa chama chao ana nguvu kuliko rais! Jenerali Ulimwengu amejaribu kumuelewesha kwamba dola ndio ina nguvu kuliko CCM na tatizo linaloipata CCM analolilamikia na ambalo limekuwa tatizo kwa muda wote ni rais wa nchi ambaye ni mkuu wa dola kuwa mwenyekiti wa CCM pia lakini yeye Polepole anabisha na vihoja vya kitoto ilihali kila mtu anajua hivyo ndivyo ilivyo.
Kitu kingine Polepole analalamikia watu kutekwa kunapotokana na uongozi dhaifu na wahuni! Ama kweli Nyani haoni...
Polepole anaamini kwamba chama chake CCM kimekuwa kinafanya vizuri sana wakati wote eti ndio maana kimekuwa "kinapata ridhaa" ya raia kutawala na kumfanya rais wa nchi kuwa mwenyekiti wa chama chao wakati wote na anaomba iendelee kuwa hivyo!
Jenerali Ulimwengu amemuuliza mambo gani hayaendi vizuri yanayomfanya kusema uongozi wa sasa hauko vizuri wakati barabara, madaraja, mabwawa ya umeme, treni, vituo vya afya n.k vinajengwa, Polepole anasema hayo ni mambo yanayoweza kufanyika hata nchi ikiwa katika "autopilot", kwamba kinachokosekana sasa ni uongozi wa kiutumishi unaojali watu! Mimi namuunga mkono katika hili lakini hivi ni kweli Polepole leo ndio amelifahamu hili wakati awamu iliyopita alikuwa akijuvuna na ujenzi wa flyovers na mavietee wapinzani walipokuwa wanaukosoa utawala?!
Ili mumteke!Pole pole ame-commit political suicide, hata Mzee Butiku kamtema kimtindo, hana mtetezi, tunaomba aachiwe Baraba tupewe Polepole
Vipi kuhusu sera zake zinalingana na mtangulizi wake Magufuri Rais wa wanyonge,jibu lako ndiyo litakuwa kipimo cha akili yakoUkiona mtu anamchukia RAIS SAMIA SULULU
ujue kwenye nafsi yake kumepandwa chuki nani kampanda niyeye mpandwaji chuki ndio anajua nani kamjaza chuki !!!
mbaya zaid mtu mwenye kumjaza chuki mwengine ni ukimuona ni utashangaa mjinga mjinga kimejichokea kwa Uzinzi!!
lkn kanaweza kushika Akili ya mwengine na kumwaminishwa ujinga. !!!
RAIS SAMIA NDIO KIONGOZi Shiriki kwenye kuweka historia ya kumchagua Rais wa kwanza mwanamke Tanzania mwenye maono mwenye nguvu mwenye kuwatumikia Watu kwa upendo kuwajali watu . !!!
Hii pekeyake itasaidia kujiamini na kujikomboa kwa Dadazetu sio Tanzania tu hadi KENYA UGANGA BURUNDU RWANDA siku za Usoni !!
tutakuwa na wanasiasa wenye nguvu nakujiamini kukubwa zaid kwenye nyanja tofaut tofaut ikiwemo Siasa za majukwaani Kwanini wewe usiwe sehemu ya Historia iyo kubwa kwetu Usishiriki wako nijambo muimu.??? ,