Hakuna chama cha siasa makini cha upinzani nchini kinaweza kuthubu kukubali wito kuungana na chama tapeli na kibaka wa demokrasia

Hakuna chama cha siasa makini cha upinzani nchini kinaweza kuthubu kukubali wito kuungana na chama tapeli na kibaka wa demokrasia

Kwasababu chama makini ni chadema tu.

Utapata wapi chama makini Tanzania zaidi ya chadema?
 
Kwasababu chama makini ni chadema tu.

Utapata wapi chama makini Tanzania zaidi ya chadema?
True,
chadema ni makini mno kuombaomba kuchangiwa pesa za matumizi,

na ndio maana hawana mpango mkakati wowote wa kujitegemea, na hivi kiongozi wake ni kibaraka na kibaka wa kisiasa sijui itakuaje aise dah :pedroP:
 
hakipo chama cha siasa cha upinzani nchini,

kitathubutu kuacha mipango na malengo yake kuungana na kibaka wa kisiasa na tapeli wa siasa za Tanzania chadema :BASED:
Tumeambiwa hata CCM ni chama Cha upinzani kikiongozwa na Dola(serikali)..hakuna demokrasia ndani yake!
 
Sikuwa nimeangalia jina la mleta mada, nikajiuliza ni nani anaweza kuandika upuuzi wa namna hii!!

Kumbe ni lilelile punguani la siku zote. Ukikosa akili na ukakosa mbinu za maisha, ndiyo unaishia kuwa kama tlaatlah.
 
Back
Top Bottom