S Samiaagain2025 JF-Expert Member Joined Dec 2, 2020 Posts 3,626 Reaction score 3,869 Feb 13, 2025 #21 CCM iko tayari kuungana na CHADEMA.
N Nanye Go JF-Expert Member Joined Oct 29, 2018 Posts 10,856 Reaction score 14,607 Feb 13, 2025 #22 Kwasababu chama makini ni chadema tu. Utapata wapi chama makini Tanzania zaidi ya chadema?
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 24,665 Reaction score 25,388 Feb 13, 2025 Thread starter #23 Nanye Go said: Kwasababu chama makini ni chadema tu. Utapata wapi chama makini Tanzania zaidi ya chadema? Click to expand... True, chadema ni makini mno kuombaomba kuchangiwa pesa za matumizi, na ndio maana hawana mpango mkakati wowote wa kujitegemea, na hivi kiongozi wake ni kibaraka na kibaka wa kisiasa sijui itakuaje aise dah
Nanye Go said: Kwasababu chama makini ni chadema tu. Utapata wapi chama makini Tanzania zaidi ya chadema? Click to expand... True, chadema ni makini mno kuombaomba kuchangiwa pesa za matumizi, na ndio maana hawana mpango mkakati wowote wa kujitegemea, na hivi kiongozi wake ni kibaraka na kibaka wa kisiasa sijui itakuaje aise dah
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 24,665 Reaction score 25,388 Feb 13, 2025 Thread starter #24 Samiaagain2025 said: CCM iko tayari kuungana na CHADEMA. Click to expand... tapeli wa kisiasa ataungana na mabwenyenye yanayomfadhili hivi karibuni huko ng'ambo, satay tuned
Samiaagain2025 said: CCM iko tayari kuungana na CHADEMA. Click to expand... tapeli wa kisiasa ataungana na mabwenyenye yanayomfadhili hivi karibuni huko ng'ambo, satay tuned
D Diop Member Joined Sep 9, 2024 Posts 95 Reaction score 132 Feb 13, 2025 #25 Tlaatlaah said: hakipo chama cha siasa cha upinzani nchini, kitathubutu kuacha mipango na malengo yake kuungana na kibaka wa kisiasa na tapeli wa siasa za Tanzania chadema Click to expand... Tumeambiwa hata CCM ni chama Cha upinzani kikiongozwa na Dola(serikali)..hakuna demokrasia ndani yake!
Tlaatlaah said: hakipo chama cha siasa cha upinzani nchini, kitathubutu kuacha mipango na malengo yake kuungana na kibaka wa kisiasa na tapeli wa siasa za Tanzania chadema Click to expand... Tumeambiwa hata CCM ni chama Cha upinzani kikiongozwa na Dola(serikali)..hakuna demokrasia ndani yake!
Bams JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 19,362 Reaction score 48,879 Feb 13, 2025 #26 Sikuwa nimeangalia jina la mleta mada, nikajiuliza ni nani anaweza kuandika upuuzi wa namna hii!! Kumbe ni lilelile punguani la siku zote. Ukikosa akili na ukakosa mbinu za maisha, ndiyo unaishia kuwa kama tlaatlah.
Sikuwa nimeangalia jina la mleta mada, nikajiuliza ni nani anaweza kuandika upuuzi wa namna hii!! Kumbe ni lilelile punguani la siku zote. Ukikosa akili na ukakosa mbinu za maisha, ndiyo unaishia kuwa kama tlaatlah.