Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafikiri nilicho andika sikifahamu ?Mentality yako inaamini hayo ndiyo anayoyapata aliyeenda english medium kakini amini kwamba kuna zaidi ya hivyo.
Mkuu kama haupo pamoja na ma ccm kitengo cha juu kabsa bado una hali mbaya tu labda unakanafuu upo wodini na sio ICU kama kundi kubwa.We jamaa leo umeamkia elimu yetu ya private.
Usiiseme vibaya maana sisi ndo imetufanya tuko hapa tulipo na sijui tungekuwa wapi kama tungepita swahili medium.
Unaweza ukawa sahihi kwa mtazamo wako ila kwa mtazamo wangu nakuona hauko sahihi.Unafikiri nilicho andika sikifahamu ?
English gani unayoizungumzia wewe ? Unazungumzia ule uchafu wanaoimbishwa hiyo ndio English ya kueleweka ?Baada ya kuona amejua kuziandika one -twenty (kwa maneno) kwa usahihi nikamwambia aandike kwa kiswahili (moja-ishirini) haikumchukua dakika 20 aliunga herufi akapata zote. Mwambie huyo wa mchepuo wa kiswahili kama atakupa English na Kiswahili.
Huyu mkuu mleta uzi anadhani english medium zote ni private hajui kuna shule za serikali ambazo ni english medium pia.Ni vema kueshimu mawazo ya mtu ata km hujui anamaanisha nn au kusudio lake ni nn
Lakin pia weka sababu tujue nn ttzo
Lakin pia kuna utofauti kati ya private school na english medium jifunze kutofautisha
Sio kla private school ni English medium
Hiyo ndio kazi ya elimu bora ?Najaribu kufikiria tu mtoto wangu wa miaka 7 namna atakavyoweza kwenda shuleni mwenyewe akivuka barabara na kupishana na bodaboda za hapa jijini. Nawaza jinsi wazazi tulivyo bize na mishe zetu na hakuna muda wa kuwapeleka shule. English medium na mabasi ya njano yanatusaidia sana sisj tulio busy na harakati
Bado najaribu kuwaza mleta mada anaenga nini lakini simuelewi badoPrivate hata ile mbovu kabisa hukuti mwanafunzi anayehitimu elimu yake bila kujua kusoma na kuandika.
![]()
Wanafunzi 5,000 waliofaulu hawajui kusoma, kuandik
Monday, 09 April 2012 20:42 0 digg Fredy Azzah IMEBAINIKA kwamba wanafunzi 5,200 waliofaulu na kuchaguliwa kujiunga na kidato cha ...hakielimu.blogspot.com
Ni wapi nimedhani hivyo ?Huyu mkuu mleta uzi anadhani english medium zote ni private hajui kuna shule za serikali ambazo ni english medium pia.
Unafikiri kila mtu ni masikini kama familia yenuTatizo ni umasikini wa kwenu
Kwa hiyo private ni kujua kusoma na kuandika basi ?Private hata ile mbovu kabisa hukuti mwanafunzi anayehitimu elimu yake bila kujua kusoma na kuandika.
![]()
Wanafunzi 5,000 waliofaulu hawajui kusoma, kuandik
Monday, 09 April 2012 20:42 0 digg Fredy Azzah IMEBAINIKA kwamba wanafunzi 5,200 waliofaulu na kuchaguliwa kujiunga na kidato cha ...hakielimu.blogspot.com
Huyu anakula pumba kwa kiswahili kwa uhuru huku huyu akila pumba kwa kingereza kwa kujibanaMitaala ya Cambridge pesa yake mlima.
Acha watu wapambane na wanapoweza kufikia, elimu ni uwekezaji. Mtaala wetu kama una mada za Chief Mangungo wa Msowero, Kinjekitile Ngwale. Mtoto wa kayumba atasoma kwa kiswahili na English medium kwa English. Mwisho wa siku tofauti itakuwepo aliyepata elimu kwenye sehemu rafiki kujifunza na kawaida
Ila private nyoronyoro wakutosha na machoko ?Utofauti upo kwenye malezi na ufuatiliwaji wa wanafunzi, huko changamkeni kundi kubwa la watoto hupotea kimaadili mapema sana kuliko huku kwingine.
Wewe ulivyosoma uzi umeelewa nini ?Ni vema kueshimu mawazo ya mtu ata km hujui anamaanisha nn au kusudio lake ni nn
Lakin pia weka sababu tujue nn ttzo
Lakin pia kuna utofauti kati ya private school na english medium jifunze kutofautisha
Sio kla private school ni English medium
Hii tendency ya kugeneralize huwa haina maana, unaposema Private nyoronyoro ni lazima uje na uthibitisho unaoonyesha kuwa nyoronyoro wote ni waliopita private. Hoja yangu ilijikita kwenye swala la ufuatiliwaji (wa kimasomo, kiusalama, na malezi)Ila private nyoronyoro wakutosha na machoko ?
Tuizungumzie elimu bora malezi hiyo kazi ya mzazi
Uliposema huko Changamkeni kundi kubwa la watoto hupotea kimaadili ulikuwa umechanganyikiwa ?Hii tendency ya kugeneralize huwa haina maana, unaposema Private nyoronyoro ni lazima uje na uthibitisho unaoonyesha kuwa nyoronyoro wote ni waliopita private. Hoja yangu ilijikita kwenye swala la ufuatiliwaji (wa kimasomo, kiusalama, na malezi)
Ni sawa na mtu aseme kuwa , waliosoma changamkeni ndio majizi, majambazi, machangudoa wanaotusumbua huku mtaani.
Kitu kingine cha ajabu ni kuamini kwamba anakoshinda mtoto wako kwa muda wa masaa 8- 10 kwa siku, eti hakuna impact yoyote ya kitabia juu yake. Kusema " Malezi ni kazi ya mzazi" ni sawa lakini ni lazima ujue kuwa muda anaokuwa sehemu usiyokuwepo wewe ni mwingi na una impact ya moja kwa moja kwenye maisha yake.