Mwananchi B
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 1,885
- 4,131
Ha ha ha Mkuu unatafuta ugomvi na watu humu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema nn January pa motoo......Ili kupunguza msongo wa mawazo inabidi tuendane na ushauri wake
siyo kweli kwamba wazazi wanawapeleka watoto english medium kwamba ni kuiga au hakuna utofauti kati ya english medium na shule zetu za kayumba. Utofauti ni mkubwa sana ukiachilia mbali maswala ya ada tuangalie faidaKuna huu mkumbo tulionao watu weusi wa kuigana igana mambo hata yasiyo na maana.
Hapa nitazungumzia huu mtindo walionao wazazi wengi kupeleka watoto wao English medium kwa minajiri kwamba wakapate elimu bora.
Inshort hakuna faida yoyote ya kumpeleka mtoto English medium kwa elimu ya bongo anayesoma English medium na anaesoma Changamkeni wote wanakula makapi na uchafu wa mfumo wa elimu ya hapa Tz.
Utofauti mdogo pekee uliopo wa anaesoma English medium na Changamkeni ni kukajua kakiingereza ka hovyo ka kuombea maji na kuita dad na mum basi.
Ila viwango vya ujinga na upumbavu vilivyo athiriwa na mfumo takataka wa elimu ya Tanzania wote vipo sawa baina ya anaesoma English medium na anaesoma Changamkeni.
Kama una majukumu mazito hpo mbeleni, kipindi hiki weka anasa chini, kama ni wa pombe/totoz jaribu kuokoka kwa muda 😀Sema nn January pa motoo......
Ukute ndo Kodi inaisha December hii
Una manyokaa apo om
Bdo bills za maji na umeme
Msosi
Sema nn sis wanaume kupambn kiume tu[emoji109]
Ndo uhalisia wenyewe huo, masikini hapaswi sikilizwa wala kuombwa ushauriWewe umuelewa km mimi nilivyo muelewa.
Mara nyingi mwenye uwezo mdogo wa kipato ama akili huwa ana tamani wanaomzidi waporomoke ili walingane ama wawe chini yake.
Majukumu machanga Kaka......Kama una majukumu mazito hpo mbeleni, kipindi hiki weka anasa chini, kama ni wa pombe/totoz jaribu kuokoka kwa muda 😀
Private hata ile mbovu kabisa hukuti mwanafunzi anayehitimu elimu yake bila kujua kusoma na kuandika.
![]()
Wanafunzi 5,000 waliofaulu hawajui kusoma, kuandik
Monday, 09 April 2012 20:42 0 digg Fredy Azzah IMEBAINIKA kwamba wanafunzi 5,200 waliofaulu na kuchaguliwa kujiunga na kidato cha ...hakielimu.blogspot.com
Utayari kwa maana kwamba Dunia ya Sasa mtu anatakiwa awe anajua kusoma na kuandika,kuwa na uwezo angarau wa kuuma ulimi hata dkk 3 mzungu au mgeni akija ktk biashara yake,haya yote yanatokea hapo shule ya kata,labda kama mtoto hakujua kilichompeleka.Sasa hizo shule ambazo sio ‘English medium’ zenye kutoa utayari wa maisha kwa mtoto ndio hizi za huku mtaani kwetu zenye kuitwa Shule za kata?
Shule zenye walimu 10 na wanafunzi 1500?
Maybe kwanza tuzungumze utayari wa aina gani na kwenye maisha yapi.
Hakuna kilichobadilika toka wakati huo hali ndiyo inaendelea kuwa tete.Leo ni mwaka 2012 ?
Mbona unaleta post za zamani kutetea hoja ya mwaka 2023
Yanasaidia sanaaNajaribu kufikiria tu mtoto wangu wa miaka 7 namna atakavyoweza kwenda shuleni mwenyewe akivuka barabara na kupishana na bodaboda za hapa jijini. Nawaza jinsi wazazi tulivyo bize na mishe zetu na hakuna muda wa kuwapeleka shule. English medium na mabasi ya njano yanatusaidia sana sisj tulio busy na harakati
Nini chuo kazini je? Wewe umesoma government hujakutana na watu waliosoma private?Hahah unampeleka mtoto English medium akienda o level pia unampeleka private, advance private halafu anaenda chuo kimoja na coarse Moja na mtoto aliyesomea government akiisikia private tu