Hakuna faida ya kumpeleka mtoto English Medium (mabasi ya njano)

Final destinations ni ajira kwa wote. Ndio elimu yetu
 
Kupata elimu gani ?
Mi watoto wangu wanasoma na wengine wamesoma huko mmoja yupo Winperg Canada na mwingine kaingia chuo uingereza mwaka huu. Mi nafikiri kila mtu ana namna anavyoiona dunia yake so usiishi Life ya mtu mzee. Kila mtu ashinde vita vyake.
 
Exposure ya huko walipo nchi za mbali hivo walipata wapi? Kwako au?
 
Nimekuuliza elimu gani uniambia Canada kwani nimeuliza nchi hapa ? Haya ndiyo madhara ya elimu takataka ya bongo
 
Kupata elimu gani au makapi kwa kingereza ?
Sihtaji kukuambia chief. Inawezekana kwako makapi lakin mi nikimuangalia niona future. Hiz privet Kenya walianza nazo mapema wakawekeza kwenye elimu mapema leo hii mkenya kaajirika popote dunian. So mi kama mzazi amekuwa na ufahamu wa kulipa hela ziada kwaajili ya mwanae. Huyo nampongeza sana ni hatua. Najua miaka 15 ijayo wajinga tutapungua mtaan.
 
Wajinga wanazidi kuongezeka kila siku Tanzania
 
Exposure ya huko walipo nchi za mbali hivo walipata wapi? Kwako au?
Bro mi kwa biashara nazofanya najikuta nasafiri sana so mi wanangu tangu wakiwa primary ile miez ya sita na wa 12 nikiwa naenda kufunga kaz nasafiri nao. Lazima wajue biashara ninakonunua na namna na bargain. Lakin nikirud mapema nilikuwa nawalipia chuo cha mtaan ufundi wowote. Kuanzia ufundi bomba umeme nk. ila watoto inatakiwa uwe mkuda flan kweli kweli. Sasa huyu bwana yeye inawezekana kakutana na mmoja mtoto alipinda anawachukulia ni wote. Mzee ukiweza mtoto lipa ada yoyote mzee. Ukisafir hii dunia utagundua kilichowaendeleza mataifa makubwa ni kuwekeza kwenye elimu. So kwa ajili ya generations we peleka mwanao hata hiz anazodharau huyu mtu. Ni mwanzo mzuri.
 
Mtoto kupata msingi mzuri wa elimu ni jambo zuri huko sekondari aende kayumba tu.
Sekondari kayumba inabidi upate mtoto anaejitambua haswa ndio atatoboa. Private kidogo mazingira yanambeba mtoto hata kama mzito anaweza akapata chochote. Mtaani huku watoto wa fom one wanakula ganja mda wa vipindi. Sometime wanatak kupigana na walimu kabisa tena barabarani. Ni ngumu huyu mwanafunzi kupata ufaulu mzuri
 
Kwanza ukijua kiingereza itakusaidia sana. Vitabu vingi vyenye maarifa mengi vimeandikwa kwa kiingereza.
 
Kingereza bora kinapatikana International schools sio huo uchafu wa the, the,the nyingi dad na mum wa English medium
 
Bro mi kwa biashara nazofanya najikuta nasafiri sana so mi wanangu tangu wakiwa primary ile miez ya sita na wa 12 nikiwa naenda kufunga kaz nasafiri nao. Lazima wajue biashara ninakonunua na namna na bargain. Lakin nikirud mapema nilikuwa nawalipia chuo cha mtaan ufundi wowote. Kuanzia ufundi bomba umeme nk. ila watoto inatakiwa uwe mkuda flan kweli kweli. Sasa huyu bwana yeye inawezekana kakutana na mmoja mtoto alipinda anawachukulia ni wote. Mzee ukiweza mtoto lipa ada yoyote mzee. Ukisafir hii dunia utagundua kilichowaendeleza mataifa makubwa ni kuwekeza kwenye elimu. So kwa ajili ya generations we peleka mwanao hata hiz anazodharau huyu mtu. Ni mwanzo mzuri.
Ufundi stadi ni muhimu sana. Hii mitizamo mnayo wazee wachache sana ndio mana wazee wengi wakifa na biashara zao hufa kisa elimu haikuwekewa mkazo sana
 
Sekondari kayumba inabidi upate mtoto anaejitambua haswa ndio atatoboa. Private kidogo mazingira yanambeba mtoto hata kama mzito anaweza akapata chochote. Mtaani huku watoto wa fom one wanakula ganja mda wa vipindi. Sometime wanatak kupigana na walimu kabisa tena barabarani. Ni ngumu huyu mwanafunzi kupata ufaulu mzuri
wazazi wanarole kubwa ya kuplay kwenye malezi ya watoto hata akienda private akirudi home kama mzazi sio mfatiliaji atavuta hzo ganja mtaani
 
Ni kweli lakini maarifa anayapata sana kuliko huyu wa mtaani. Ganja ni dawa siunajua, ofkoz waheshimiwa wengi tu wanatumia. Maarifa kwanza, wanaotoboa kutoka kayumba kwenda mbele zaidi ni wachache kuliko wa private uongo?
 
Kwanza ukijua kiingereza itakusaidia sana. Vitabu vingi vyenye maarifa mengi vimeandikwa kwa kiingereza.
Kusoma vitabu ni ugonjwa kwetu si unafahamu mkuu? Au ni ngozi nyeusi na maandishi wana ugomvi??
 
Kingereza bora kinapatikana International schools sio huo uchafu wa the, the,the nyingi dad na mum wa English medium
Huitaji kujua kiingereza cha muingereza wewe ili ufanikishe mambo yako. Mhindi ana kiingereza chake mkenya mnaigeria mchina nk. Unachotakiwa ni kujua unachotakiwa kuongea na sehem gan sahihi pa kuongelea. Mi mara kibao nanunua mizigo viwandan wachina mpaka imebid tujue lugha yao maana hawajui kiingereza kabisa. Akijua ni kiingereza cha kichina hakipo popote.
 
Back
Top Bottom