Kimsingi hapo kale kidogo hasa miaka ya mwishoni mwa 90 na 2000 kuendelea,jambo hili lilikuwa na maana sana,maana ajira na mifumo ya maisha ilikuwa rasmi kwa sehemu kubwa.
Kwa Sasa kupeleka mtoto shule hizo hakutafsiri mafanikio ama uhakika wa maisha kwa mtoto husika tena,maisha yamebadilika.haya maigizo ya msomi mwanafunzi anakodi boda boda wakiwa njiani qakipiga story na boda boda anashangaa kusikia boda nayeye kamaliza kozi kama yake tena kwa ufaulu wa juu na ni miaka kadhaa haelewi hatma yake[emoji24]
Kwa Hali ilivyo kwa Sasa kama una nafasi na hela ya uhakika ni afadhali uwekeze zaidi katika assets,halafu kwenye elimu iwe kawaida tu kumpa mtoto utayari na Dunia ya kileo.