Ni kweli ila maarifa mengi yamefichwa kwenye vitabu mkuu. Kuna watu wamezaliwa wana akili nyingi sana ila sio wasemaji. Ila wanaandika vitabu mawazo yao. Sasa ukiwa mpenz wa kusoma vitabu sana utajua vitu vingi sana.Kusoma vitabu ni ugonjwa kwetu si unafahamu mkuu? Au ni ngozi nyeusi na maandishi wana ugomvi??
Ni kweli kabisa kwenye lugha hapo. Ndio maana wafanyabiashara wengi hawana elimu kubwa kivile lakini wanatoboa tu kwa basics za kawaida kabisaHuitaji kujua kiingereza cha muingereza wewe ili ufanikishe mambo yako. Mhindi ana kiingereza chake mkenya mnaigeria mchina nk. Unachotakiwa ni kujua unachotakiwa kuongea na sehem gan sahihi pa kuongelea. Mi mara kibao nanunua mizigo viwandan wachina mpaka imebid tujue lugha yao maana hawajui kiingereza kabisa. Akijua ni kiingereza cha kichina hakipo popote.
Mmh shida ni wazazi kuspend hela ndefu wakat mwisho wa siku kazi hamna bora hzo hela umuwekeze huyo mtotoNi kweli lakini maarifa anayapata sana kuliko huyu wa mtaani. Ganja ni dawa siunajua, ofkoz waheshimiwa wengi tu wanatumia. Maarifa kwanza, wanaotoboa kutoka kayumba kwenda mbele zaidi ni wachache kuliko wa private uongo?
Uvivu wa kusoma vitabu mbaya sana. Kuna kitabu niko nasoma tu kwa kuongeza maarifa, miaka kadhaa nyuma nilifanyia mtihani lakini matokeo yalikua hafifu sana. Sasa leo nipo chapta kadhaa mbele najiuliza nilipataje matokeo mabovu vile kitu kirahisi hivi asee.........uvivu wa kusomaNi kweli ila maarifa mengi yamefichwa kwenye vitabu mkuu. Kuna watu wamezaliwa wana akili nyingi sana ila sio wasemaji. Ila wanaandika vitabu mawazo yao. Sasa ukiwa mpenz wa kusoma vitabu sana utajua vitu vingi sana.
Tutawapeleka sana,pesa ni zetuKuna huu mkumbo tulionao watu weusi wa kuigana igana mambo hata yasiyo na maana.
Hapa nitazungumzia huu mtindo walionao wazazi wengi kupeleka watoto wao English medium kwa minajiri kwamba wakapate elimu bora.
Inshort hakuna faida yoyote ya kumpeleka mtoto English medium kwa elimu ya bongo anayesoma English medium na anaesoma Changamkeni wote wanakula makapi na uchafu wa mfumo wa elimu ya hapa Tz.
Utofauti mdogo pekee uliopo wa anaesoma English medium na Changamkeni ni kukajua kakiingereza ka hovyo ka kuombea maji na kuita dad na mum basi.
Ila viwango vya ujinga na upumbavu vilivyo athiriwa na mfumo takataka wa elimu ya Tanzania wote vipo sawa baina ya anaesoma English medium na anaesoma Changamkeni.
Wengi tumepita huko mkuu, shida sio kusoma kayumba ujue. Mzazi nae ana nafasi kama unavosema, kuspend kwa sasa huwezi kwepa mana vizuri gharama. Hiyo uwekezaji lazima umfundishe pia kitu ambacho wazazi wengi pia hawafanyi. Ni mbaya sana, succession plan hakuna.....wengi wameachiwa mali nyingi tu lakini wamezifuja na kupoteza zoteMmh shida ni wazazi kuspend hela ndefu wakat mwisho wa siku kazi hamna bora hzo hela umuwekeze huyo mtoto
Mtoto kama anajitambua atatoboa tu mbona wapo wa gvt wengi wametoboa
Acha kudharau bodabodaWe peleka wako kidumu na mfagio,amalize la7 hajui kusoma,kuandika Wala kuhesabu
Afu umnunulie boda aanze kujiajiri🤣
Hapana mtu aliyeelimika kaelimika kaka. Shule muhim mno aisee. Pale kkoo walikuwepo wazazi waliowaachia watoto wao manyumba lakin zote zimeuzwa kaka.Mmh shida ni wazazi kuspend hela ndefu wakat mwisho wa siku kazi hamna bora hzo hela umuwekeze huyo mtoto
Mtoto kama anajitambua atatoboa tu mbona wapo wa gvt wengi wametoboa
Mkuu nimekuelewa vizuri japo watu wanajibu kimihemkoKuna huu mkumbo tulionao watu weusi wa kuigana igana mambo hata yasiyo na maana.
Hapa nitazungumzia huu mtindo walionao wazazi wengi kupeleka watoto wao English medium kwa minajiri kwamba wakapate elimu bora.
Inshort hakuna faida yoyote ya kumpeleka mtoto English medium kwa elimu ya bongo anayesoma English medium na anaesoma Changamkeni wote wanakula makapi na uchafu wa mfumo wa elimu ya hapa Tz.
Utofauti mdogo pekee uliopo wa anaesoma English medium na Changamkeni ni kukajua kakiingereza ka hovyo ka kuombea maji na kuita dad na mum basi.
Ila viwango vya ujinga na upumbavu vilivyo athiriwa na mfumo takataka wa elimu ya Tanzania wote vipo sawa baina ya anaesoma English medium na anaesoma Changamkeni.
Nimefatilia convo hizi u a de among of intelligent person......Hapana mtu aliyeelimika kaelimika kaka. Shule muhim mno aisee. Pale kkoo walikuwepo wazazi waliowaachia watoto wao manyumba lakin zote zimeuzwa kaka.
Mapema school bus zinatusubrii mkuu[emoji1787]January ndio hiyo, tuanze kuandaa ada mapema 😀
Umesomeka vyema wewe umenipataMkuu nimekuelewa vizuri japo watu wanajibu kimihemko
Hoja ya msingi ni kwamba mfumo wetu wa elimu ni mbovu sana
Hivyo elimu inayotolewa katika shule za English na Swahili medium zote zimebase katika kukariri vitu visivyo na application katika maisha
Kibaya zaidi ajira kwa sasa ni ngumu, hivyo hata kama mtu atasoma English medium hatatoka na kitu ambacho kitamjengea uwezo wa kujiajiri au kupambana na harakati za mtaani
NB: Mada hii haiwahusu wale wazee wa connection
Pia yote kwa yote English medium itabaki kuwa English medium
Nadhani mtoa mada ulitakiwa kuelezea udhaifu wa mfumo wa elimu wa Tanzania bila kuhusisha English medium
TUTAFUTE PESA WAJUBA, HATA KAMA HAMNA AJIRA ILA MTOTO WAKO APATE RAHA KATIKA KUSOMA
SIO KUSOMA APATE SHIDA, AKIMALIZA CHUO APATE SHIDA MTAANI, SIO POA
Thanks bro. Nimegundua hii dunia wala huitaji mafuta wala gesi ili kuendelea aisee. Unachotakiwa ni upeleke watu wako shule tu kama Israel. Unawekeza kwenye brain displin na sheria na exposure basi. Kila kitu kinanyooka mkuu.Nimefatilia convo hizi u a de among of intelligent person......
Nmetoka kumwambia jamaa mmja apo juu mzaz ukiamua na ukielewa dunia ya leo bas una haja ya kumpambania mwanao elimu
Kusoma shule standard English medium/private anapata kujua lugha vzr, ujasri wa kujieleza, smartness n.k
Watu wamekariri ety ajira..... Sawa ajira hazipo km mzaz lzm umwandae mtoto wako pia ktk Hilo ...... Leo mwanangu akasome gender dvpt..... Akat Kuna BUSNESS ADMINSTRATION, ECONOMY anaeza kuwa competent na expert mzurii kweny industry ya biashara
Hizi shule zinatufanya tusisherehekee sikukuu vizuri, kama una vichwa vitano hapo ndio changamoto zaidi.Mapema school bus zinatusubrii mkuu[emoji1787]
Ndo hv kk..... Km anatak mtt akae kushikilia urith badala ya kuuendeleza aibu.....Thanks bro. Nimegundua hii dunia wala huitaji mafuta wala gesi ili kuendelea aisee. Unachotakiwa ni upeleke watu wako shule tu kama Israel. Unawekeza kwenye brain displin na sheria na exposure basi. Kila kitu kinanyooka mkuu.
Rafiki ako sii anasema mpelk elimu bure aseeh [emoji16].....Hizi shule zinatufanya tusisherehekee sikukuu vizuri, kama una vichwa vitano hapo ndio changamoto zaidi.
Suluhisho ni kuwapeleka changanyikeni tu.
Ili kupunguza msongo wa mawazo inabidi tuendane na ushauri wakeRafiki ako sii anasema mpelk elimu bure aseeh [emoji16].....