Mkuu nimekuelewa vizuri japo watu wanajibu kimihemko
Hoja ya msingi ni kwamba mfumo wetu wa elimu ni mbovu sana
Hivyo elimu inayotolewa katika shule za English na Swahili medium zote zimebase katika kukariri vitu visivyo na application katika maisha
Kibaya zaidi ajira kwa sasa ni ngumu, hivyo hata kama mtu atasoma English medium hatatoka na kitu ambacho kitamjengea uwezo wa kujiajiri au kupambana na harakati za mtaani
NB: Mada hii haiwahusu wale wazee wa connection
Pia yote kwa yote English medium itabaki kuwa English medium
Nadhani mtoa mada ulitakiwa kuelezea udhaifu wa mfumo wa elimu wa Tanzania bila kuhusisha English medium
TUTAFUTE PESA WAJUBA, HATA KAMA HAMNA AJIRA ILA MTOTO WAKO APATE RAHA KATIKA KUSOMA
SIO KUSOMA APATE SHIDA, AKIMALIZA CHUO APATE SHIDA MTAANI, SIO POA