Iwafikie na machawa wa LumumbaLucas Mwashambwa upo hapo? Inakuhusu hii.
Inasikitisha sana.Vijana masikini wanapambana ili watoto wa viongozi wawe Mawaziri!
Kamepewa baskeli huko hakajalala kwa raha aiseeLucas msambwanda.
najiuliza hivi watoto wa suphian watakuwaje kama baba yao ndie yule??? Kuna mstari mwembamba sana baina ya uchawa na ushogaHuu ndiyo ukweli,hakuna kiongozi au watoto wa Viongozi ambao ni machawa
Na ukitegemea wameshawekewa nafasi nyeti za uongozi kuanzia Urais,Uwaziri,Ubunge,na nafasi zingine zenye mishahara mizuri
Lakini wewe Chawa huna chochote kile cha kuja kukipata katika inchi hii
na unapozidi kushabikia na uchawa wako ndivyo unavyozidi kukipoteza hata kizazi chako hakitakuja kushika nafasi yoyote ile hata kama ukawasomesha vipi