Hakuna furaha kwenye uuaji, damu ya binadamu ina roho

Kumuona akipeta na mali na magari mazuri haimanishi ana furaha.

Sikiliza ushuhuda wa watu waliookoaka( confess) kutoka kwenye matukio kama hayo watakwambia ukweli wa hali halisi
Hao ni baadhi tu wengine hawana habari na wanaendelea kuua. Haya masuala ya damu ya marehemu itakufuata sijui karma kuna watu hakuna cha damu ya marehemu au karma. Wanaua na wanaendelea kuua kiasi kwamba akishaua wala hata hawazii tena.
Juzi nilikuwa ninaangalia iDX kuna mwanamama alikuwa anaua watu kwa kuwapa sumu kwa zaidi ya miaka 20, alimuua baba yake, akamuua babu yake, mume wake wa kwanza, jirani alikuja kukamatwa alipotaka kumuua mume wake wa pili. Na alikuwa ana watoto anaishi normal life kabisa hata rafiki zake wa karibu hawakuamini
 
Umewasahau wazinzi,nao wakimaliza lazima roho iwaume hata kama wametumia mipira
 
Na akili yake ilikua sawa huyo mama???
 
😅😅hao washakuwa mashetani kamili. Hawana pahali Mbunguni kwa Baba. Hawana tena fursa ya Neema ya Kristo.
 
Ila hali yake kiakili ni kama hayupo sawa akikumbuka ule ukatili aliyomfanyie yule mzee.Au unamaanisha anapeta kivipi??
Yule mama ana roho ngumu huenda hata si mara ya kwanza kupanga mauaji ya mtu. Na yule sijui gavana wa county gani yule alimuua girl friend wake baada ya kugundua ana mimba na hataki kuitos na anataka kutangaza kernye vyombo vya habari. Ila afrika ukiwa na pesa you just get away eith murder
 
Na kesi MAHAKAMANI zilikuaje mkuu??
 
Je Magufuli alijisikiaje baada ya kuwaua akina Ben Saanane na Azory Gwanda?

Halafu sijui baada kufeli kumuua Tundu Lissu alijionaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…