Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
- Thread starter
- #81
Kwa kificho waga wanajutiaUnauwawa na hakuna anaejutia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kificho waga wanajutiaUnauwawa na hakuna anaejutia.
Yeye alifungwa maana ushahidi ulikuwa waziwazi alikuwa anawawekea sumu fulani naona wazungu wanapenda kuitumia bila kufanya kipimo cha kutest element zilizo mwilini hsptal hawawezi jua.Duuh na mali anatumia???Wanawake wana roho ngumu
Hatia ya kufanya uzinzi.Na ndio maana na lodge kila mtu natoka kivyake???Tofauti na mlivyokuja mkuuNafsi inajihesabia Hatia
😅😅😅😅Hatia ya kufanya uzinzi.Na ndio maana na lodge kila mtu natoka kivyake???Tofauti na mlivyokuja mkuu
Na akili yake walimpima??Yeye alifungwa maana ushahidi ulikuwa waziwazi alikuwa anawawekea sumu fulani naona wazungu wanapenda kuitumia bila kufanya kipimo cha kutest element zilizo mwilini hsptal hawawezi jua.
Sasa ufala wake mumewe wa pili akiwa hsptal bado akawa anampelekea chakula chenye sumu na kuna siku akawapa keki manesi walipoila manesi wote waliugua.
Halafu daktari akaja kumtazama mgonjwa mikono mwili una tabia ya kudeposite sumu kwenye ncha za kucha zinakuwa nyeupe ndo akampma akagundua amekuwa poisoned ila hawakumwambia mkewe wakawa kila akiletewa chakula level ya sumu inaongezeka wakajua kuna mtu anamlisha sumu ndo wakainvolve polisi wakazuia asiwe anatembelewa.
Baadaye walifukua maiti ya mumewe wa zamani, baba yake nao wakakuta walikuwa na hiyo sumu.
True kaka sikudanganyi😅😅😅😅
Yah ila na yeye mkewe anamiliki baadhi ya mali. Yule mama sijui hata kwanini yuko nje maana alidanganya kuwa mmewe kasafiri wakat maiti iko kwenye septic ila kwakuwa ndugu wa mumewe walikuwa na shaka ndio walihimiza polisi kufanya uchunguzi wakagundua hakuna rekodi inayoonyesha kuwa alipanda ndege, ndo kuchunguza wakaja kukuta maiti kwenye septic nyumbani kwake anapoishi na mkeweKwahiyo mpaka leo dadake na wale watoto wawili ndio wamiliki????Hapo kidogo haki imetendeka
Unataka kusema she was insane, yule mama ni yuko normal kiasi kwamba kila mtu alishangaa. She was living a normal life. Serial killers wengi wanakuwa ni watu wanaoaminika sana kwenye jamiiNa akili yake walimpima??
Duuh na bado MAHAKAMANI akachomoka.Kweli kenya legal system ina udhaifuYah ila na yeye mkewe anamiliki baadhi ya mali. Yule mama sijui hata kwanini yuko nje maana alidanganya kuwa mmewe kasafiri wakat maiti iko kwenye septic ila kwakuwa ndugu wa mumewe walikuwa na shaka ndio walihimiza polisi kufanya uchunguzi wakagundua hakuna rekodi inayoonyesha kuwa alipanda ndege, ndo kuchunguza wakaja kukuta maiti kwenye septic nyumbani kwake anapoishi na mkewe
Mmmh huko sasa unatusimanga wana CCMMbona CCM wanatuua kila siku na bado wako na furaha?
Sio kwamba alikua na hitlafu kidogo kichwaniUnataka kusema she was insane, yule mama ni yuko normal kiasi kwamba kila mtu alishangaa. She was living a normal life. Serial killers wengi wanakuwa ni watu wanaoaminika sana kwenye jamii
Kama sijakuelewa Hivi mkuu.Umenichanganya kidogoKaish kongo na M23 ndo utajuwa kuuwa ni kitu simple na chenye furaha, kuuwa bila sababu lazima ujione mwenye hatia na utateseka sana, ila kuuwa kwa sababu wala hautojuitia iko kitendo, refer wamekuja watu wameuwa familia yako yote kinyama nawe ndo umesalimika na uashawajuwa wauwaji na unaweza kuwamudu ivi unafikir utashindwa kuuwa, tuzidi kuomba amani ila hakuna mtu asiweza kuuwa binadamu mwenzie
Mbona hakuwaua watoto wake?Sio kwamba alikua na hitlafu kidogo kichwani
Hapa sasa nakuelewa ila nikuulize kitu.Unataka kusema kuna watu wanafurahia kuua??Mbona hakuwaua watoto wake?
Ya yule gavana ndo kabisa ilikuwa wazi waziDuuh na bado MAHAKAMANI akachomoka.Kweli kenya legal system ina udhaifu
Niliona ile CCTV ya jamaa aliemuua A.K.A duuh its matter of seconds tayari A.K.A alikua marehemu.Kuua mtu ni kazi nyepesi sanaaaa ndio maana ni muhim kujiepusha na kila aina na chuki hasira na ugomvi..kaa navyo mbali kabisaa...
Kumtoa mtu roh wa sio kaz ndio maana wengine wanajishtukia tu tayar kashaua na anaanza ku feel guilt ..