Hakuna furaha kwenye uuaji, damu ya binadamu ina roho

Duuh na mali anatumia???Wanawake wana roho ngumu
Yeye alifungwa maana ushahidi ulikuwa waziwazi alikuwa anawawekea sumu fulani naona wazungu wanapenda kuitumia bila kufanya kipimo cha kutest element zilizo mwilini hsptal hawawezi jua.
Sasa ufala wake mumewe wa pili akiwa hsptal bado akawa anampelekea chakula chenye sumu na kuna siku akawapa keki manesi walipoila manesi wote waliugua.
Halafu daktari akaja kumtazama mgonjwa mikono mwili una tabia ya kudeposite sumu kwenye ncha za kucha zinakuwa nyeupe ndo akampma akagundua amekuwa poisoned ila hawakumwambia mkewe wakawa kila akiletewa chakula level ya sumu inaongezeka wakajua kuna mtu anamlisha sumu ndo wakainvolve polisi wakazuia asiwe anatembelewa.
Baadaye walifukua maiti ya mumewe wa zamani, baba yake nao wakakuta walikuwa na hiyo sumu.
 
Na akili yake walimpima??
 
Kwahiyo mpaka leo dadake na wale watoto wawili ndio wamiliki????Hapo kidogo haki imetendeka
Yah ila na yeye mkewe anamiliki baadhi ya mali. Yule mama sijui hata kwanini yuko nje maana alidanganya kuwa mmewe kasafiri wakat maiti iko kwenye septic ila kwakuwa ndugu wa mumewe walikuwa na shaka ndio walihimiza polisi kufanya uchunguzi wakagundua hakuna rekodi inayoonyesha kuwa alipanda ndege, ndo kuchunguza wakaja kukuta maiti kwenye septic nyumbani kwake anapoishi na mkewe
 
Duuh na bado MAHAKAMANI akachomoka.Kweli kenya legal system ina udhaifu
 
Kaish kongo na M23 ndo utajuwa kuuwa ni kitu simple na chenye furaha, kuuwa bila sababu lazima ujione mwenye hatia na utateseka sana, ila kuuwa kwa sababu wala hautojuitia iko kitendo, refer wamekuja watu wameuwa familia yako yote kinyama nawe ndo umesalimika na uashawajuwa wauwaji na unaweza kuwamudu ivi unafikir utashindwa kuuwa, tuzidi kuomba amani ila hakuna mtu asiweza kuuwa binadamu mwenzie
 
Unataka kusema she was insane, yule mama ni yuko normal kiasi kwamba kila mtu alishangaa. She was living a normal life. Serial killers wengi wanakuwa ni watu wanaoaminika sana kwenye jamii
Sio kwamba alikua na hitlafu kidogo kichwani
 
Kaish kongo na M23 ndo utajuwa kuuwa ni kitu simple na chenye furaha, kuuwa bila sababu lazima ujione mwenye hatia na utateseka sana, ila kuuwa kwa sababu wala hautojuitia iko kitendo, refer wamekuja watu wameuwa familia yako yote kinyama nawe ndo umesalimika na uashawajuwa wauwaji na unaweza kuwamudu ivi unafikir utashindwa kuuwa, tuzidi kuomba amani ila hakuna mtu asiweza kuuwa binadamu mwenzie
Kama sijakuelewa Hivi mkuu.Umenichanganya kidogo
 
Pole sana mkuuu..umeua kwa makusudi au bahati mbaya.Nenda kaombe toba kisha uwajibikie makosa yako angalau utapata nafuu..
 
Kuua mtu ni kazi nyepesi sanaaaa ndio maana ni muhim kujiepusha na kila aina na chuki hasira na ugomvi..kaa navyo mbali kabisaa...

Kumtoa mtu roh wa sio kaz ndio maana wengine wanajishtukia tu tayar kashaua na anaanza ku feel guilt ..
 
Niliona ile CCTV ya jamaa aliemuua A.K.A duuh its matter of seconds tayari A.K.A alikua marehemu.
 
Back
Top Bottom