Hakuna furaha kwenye uuaji, damu ya binadamu ina roho

Hapa tunalengwa Sana akina sisi ila Kuna Hawa dada zetu wanao-shangaa Bibi zao kuwa na watoto kumi Huku wao wametoa mimba Hadi 8 ktk umri wa U25 na Bado hajazaa.
Ubongo ukiwa Altered unafanya lolote bila kujali Mana no room for reasoning kwa muda Huo.
 
Ila baada ya tukio unaanza kujitafakari.Abortion nayo ni uuaji wa chini chini.Hivi dada zetu hawajihisi hatia kufanya abortion??
 
Na kwenye siasa bado yumo??
Yah yumo tu. Sema si Afrika tu kuna mdada fulani dalili zote zinaonyesha aliuawa na senator wa Marekani enzi za Bush lakini ushahidi ulipindishwa akafungwa mhamiaji haramu ila na yeye alikuja kuachiwa baada ya sauti za aliyekywa shahidi mkubwa kwenye ile kesi ambaye naye alikuwa mfungwa kuvuja akijitapa kuwa alimsingizia yule kijana
 
Ila baada ya tukio unaanza kujitafakari.Abortion nayo ni uuaji wa chini chini.Hivi dada zetu hawajihisi hatia kufanya abortion??
Dada zetu kumfyagia mtu asiye na namba ya NIDA kwao sio less Kaka.

Wauaji Wanaofikiria Ni hawa ambao Wana Id Moja na haijavunjika kufikia hatua ya kusahau wanachokifanya hata Kama ni cha kuumiza mtu
 
Rudia kusoma mkuu
 
Hapa nakupoteza kiroho safi kabisa wala siwezi kufeel guility.
 
Na jamaa walimlipa fidia au???Na yule seneta akakamatwa????Afrika tuna namna yetu upo sahii kaka
 
Dada zetu kumfyagia mtu asiye na namba ya NIDA kwao sio less Kaka.

Wanaofikiria Ni haoa ambao Wana Id Moja na haijavunjika kufikia hatua ya kusahau wanachokifanya hata Kama nincha kuumiza mtu
Dada zetu ni makatili basi
 
Na jamaa walimlipa fidia au???Na yule seneta akakamatwa????Afrika tuna namna yetu upo sahii kaka
Hapana walimdeport kumrudisha kwao. Senator hakuwahi kushitakiwa kabisa na polisi wanadai sio suspect ila private investigator na dereva wa zamani wa senator na yule kijana akiyekuwa deported wanaamini aliyemuua yule mrembo ni senator.
Senator inaelekea alimuua kuficha uhusiano wao maana alikuwa binti wa kiaka 21 wakati senator ana umri mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…