Jiwe alikuwa ni zaidi ya shetani kwa taifa hiliKashasahau kabisaaa, na Jiwe aliwanyoosha huyu na Makamba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sahivi wanateswa na kivuli chake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiwe alikuwa ni zaidi ya shetani kwa taifa hiliKashasahau kabisaaa, na Jiwe aliwanyoosha huyu na Makamba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sahivi wanateswa na kivuli chake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nawee alikunyoosha eeeeh? Lazima upagawee.Jiwe alikuwa ni zaidi ya shetani kwa taifa hili
Magufuli alitunga lini sheria? Upunguani utawaisha lini na siasa zenu za chuki hadi kwa mtu asiyekuwepo madarakani? Magufuli aliingia akatunga sheria zake ambazo alisema kila ajaye lazma azifuate?Nape ni waziri kwa sasa. Anaongoza wizar kwa kufuata sheria. Sheria kandamizi za Magufuli mpk leo hazijabadiloshwa. Mnataka Nape afanyeje ktk mazingira kama haya?
Wa kulaumiwa hapa ni Samia.
Itakuwa wewe ulikuwa zaidi ya mhalifu ndo maana ukaingia kwenye mikono ya zaidi ya shetaniJiwe alikuwa ni zaidi ya shetani kwa taifa hili
We jamaa unaandikaga warthog sanaMswada hauanzishwi na waziri ama wizara bila ya ridhaa ya mwenye nchi (rais).
Usitegemee waziri wa katiba na sheria aamue tu kupeleka mswada wa marekebisho ya katiba bila ya kupewa rukhusa na rais.
Au waziri wa ulinzi afanye mabadiliko ya sheria ya PGO bila ya kuridhiwa na rais.
Kwahiyo ndugu yangu, sheria hubadilishwa baada ya Baraza la mawaziri kuketi na kuridhia chini ya mwenyekiti ambaye ni rais wa nchi.
Huwezi ukawa na akili timamu ukashangilia msiba wa binadamu mwenzio. Mi nadhani afya ya akili huna, akili timamu haiwezi kushangilia kifo.Mbona msiba ulishangiliwa karibu na Watanzania wote wenye akili timamu. Waliofiwa ni Sukuma gang na watu kama wewe. Period
Hizi zote Ni takataka zinatembelea mbeleko za baba zaoNape na Makamba wana laana ya kushangilia msiba
Kwa kauli zako kuna watu wanatamani msiba wako hasa huko mtaani kwako.Mbona msiba ulishangiliwa karibu na Watanzania wote wenye akili timamu. Waliofiwa ni Sukuma gang na watu kama wewe. Period
Nape ni debe tupuNimepitia maa nyingi account ya Twitter ya Nape Nnauye.Ki ukweli anatakiwa ajue nafasi aliyo nayo na ikiwezekana apunguze jazba.Nchi ina watu wengi na wa tabia tofauti na akitaka kujibu kila kitu ataharibu!!
Hakuna shida na hilo, uzuri au tafuti yangu na bhana yule mimi siyo muuaji, mwizi wala muongo. Pia sijawahi watumia watu wanyonge kama wewe kwa kujinufaisha mwenyeweKwa kauli zako kuna watu wanatamani msiba wako hasa huko mtaani kwako.
Sijawahi ingia kwenye mikono ya huyo shetani ila baadhi ya Watanzania wenzangu walikipata cha moto. Ref Mh. Lissu, Azori na wengine wengiItakuwa wewe ulikuwa zaidi ya mhalifu ndo maana ukaingia kwenye mikono ya zaidi ya shetani
Ukikuta mtu kam wewe anasema siyo muongo basi akili hazifanyi kazi ipasavyo. Kama wewe siyo muongo (hujawahi kuwa muongo) basi ni taahira hujui usemalo.Hakuna shida na hilo, uzuri au tafuti yangu na bhana yule mimi siyo muuaji, mwizi wala muongo. Pia sijawahi watumia watu wanyonge kama wewe kwa kujinufaisha mwenyewe
Wengine wanajiingiza tu ili wapate umaarufu. Huenda lissu mlimtungua ninyi ili mpate pakuongelea. Una ushahidi gani wa kuwa mtendaji ni rais? Kwa nini alirudi kubattle nae kwenye uraisi ilihali bado mkuu rungu alikuwa nalo la kumpoteza?Sijawahi ingia kwenye mikono ya huyo shetani ila baadhi ya Watanzania wenzangu walikipata cha moto. Ref Mh. Lissu, Azori na wengine wengi
Hivi una akili kweli wewe? Nisije kuwa naongea na watu kama CrimeaUkikuta mtu kam wewe anasema siyo muongo basi akili hazifanyi kazi ipasavyo. Kama wewe siyo muongo (hujawahi kuwa muongo) basi ni taahira hujui usemalo.
Mimi asingeweza ninyoosha maana hakuna sehemu mimi na yeye tungekutana. Nazungumzia wale walipata yake moja kwa moja kama Mh. Lissu na wengine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nawee alikunyoosha eeeeh? Lazima upagawee.
Wengine wanajiingiza tu ili wapate umaarufu. Huenda lissu mlimtungua ninyi ili mpate pakuongelea. Una ushahidi gani wa kuwa mtendaji ni rais? Kwa nini alirudi kubattle nae kwenye uraisi ilihali bado mkuu rungu alikuwa nalo la kumpotezaUkiwa
Ukiwa na Mungu hakuna lolote litakalo kushinda, ndiyo maana hata huyo shetani wako alivyotaka kumuua alishindwa. Ila maombi ya Watanzania kwa muumba wao yalijibiwa na Jiwe likaangushwa tena kwa Corona.Wengine wanajiingiza tu ili wapate umaarufu. Huenda lissu mlimtungua ninyi ili mpate pakuongelea. Una ushahidi gani wa kuwa mtendaji ni rais? Kwa nini alirudi kubattle nae kwenye uraisi ilihali bado mkuu rungu alikuwa nalo la kumpoteza?
Mi naona hicho kifungo wakiondoa,, isiwe kosa kusema uongo mtandaoni, watupe uhuru wa kuongea bila mipakaMswada hauanzishwi na waziri ama wizara bila ya ridhaa ya mwenye nchi (rais).
Usitegemee waziri wa katiba na sheria aamue tu kupeleka mswada wa marekebisho ya katiba bila ya kupewa rukhusa na rais.
Au waziri wa ulinzi afanye mabadiliko ya sheria ya PGO bila ya kuridhiwa na rais.
Kwahiyo ndugu yangu, sheria hubadilishwa baada ya Baraza la mawaziri kuketi na kuridhia chini ya mwenyekiti ambaye ni rais wa nchi.
Imani ni fumbo. Azory aliyekufa hakuwa na mungu ila Lissu aliyekuwa na Mungu alipona 😂😂 punguani wewe. Wazuri wengi walishaenda tena wakiwa bado wanahitajika japo si kwa kila mtu bali walioona kwa upeo wao kuwa walistahili kuwepo. Karume, sokoine n.k leo kwa Magu ndo iwe maombi ya wewe yeye kufariki.Uki
Ukiwa na Mungu hakuna lolote litakalo kushinda, ndiyo maana hata huyo shetani wako alivyotaka kumuua alishindwa. Ila maombi ya Watanzania kwa muumba wao yalijibiwa na Jiwe likaangushwa tena kwa Corona.
Kwahiyo kumbe unajua huyo jiwe alitunga sheria mbovu eeh!!? Lkn unahoji kwann aliyemrithi hazifuti? Nami naziepekeza lawama zqngu kwa huyu aliyepo, kwamba kwann hazifuti??Magufuli aliingia akatunga sheria zake ambazo alisema kila ajaye lazma azifuate?