Hakuna haja ya kumsakama Nape juu ya kukamatwa Mwaipaya. CHADEMA tambueni kuwa hakuna jinai pasipo na sheria

Hakuna haja ya kumsakama Nape juu ya kukamatwa Mwaipaya. CHADEMA tambueni kuwa hakuna jinai pasipo na sheria

Kashasahau kabisaaa, na Jiwe aliwanyoosha huyu na Makamba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sahivi wanateswa na kivuli chake.
Jiwe alikuwa ni zaidi ya shetani kwa taifa hili
 
Nape ni waziri kwa sasa. Anaongoza wizar kwa kufuata sheria. Sheria kandamizi za Magufuli mpk leo hazijabadiloshwa. Mnataka Nape afanyeje ktk mazingira kama haya?

Wa kulaumiwa hapa ni Samia.
Magufuli alitunga lini sheria? Upunguani utawaisha lini na siasa zenu za chuki hadi kwa mtu asiyekuwepo madarakani? Magufuli aliingia akatunga sheria zake ambazo alisema kila ajaye lazma azifuate?
 
Mswada hauanzishwi na waziri ama wizara bila ya ridhaa ya mwenye nchi (rais).

Usitegemee waziri wa katiba na sheria aamue tu kupeleka mswada wa marekebisho ya katiba bila ya kupewa rukhusa na rais.

Au waziri wa ulinzi afanye mabadiliko ya sheria ya PGO bila ya kuridhiwa na rais.

Kwahiyo ndugu yangu, sheria hubadilishwa baada ya Baraza la mawaziri kuketi na kuridhia chini ya mwenyekiti ambaye ni rais wa nchi.
We jamaa unaandikaga warthog sana
 
Mbona msiba ulishangiliwa karibu na Watanzania wote wenye akili timamu. Waliofiwa ni Sukuma gang na watu kama wewe. Period
Huwezi ukawa na akili timamu ukashangilia msiba wa binadamu mwenzio. Mi nadhani afya ya akili huna, akili timamu haiwezi kushangilia kifo.
 
Mbona msiba ulishangiliwa karibu na Watanzania wote wenye akili timamu. Waliofiwa ni Sukuma gang na watu kama wewe. Period
Kwa kauli zako kuna watu wanatamani msiba wako hasa huko mtaani kwako.
 
Nimepitia maa nyingi account ya Twitter ya Nape Nnauye.Ki ukweli anatakiwa ajue nafasi aliyo nayo na ikiwezekana apunguze jazba.Nchi ina watu wengi na wa tabia tofauti na akitaka kujibu kila kitu ataharibu!!
Nape ni debe tupu
 
Kwa kauli zako kuna watu wanatamani msiba wako hasa huko mtaani kwako.
Hakuna shida na hilo, uzuri au tafuti yangu na bhana yule mimi siyo muuaji, mwizi wala muongo. Pia sijawahi watumia watu wanyonge kama wewe kwa kujinufaisha mwenyewe
 
Itakuwa wewe ulikuwa zaidi ya mhalifu ndo maana ukaingia kwenye mikono ya zaidi ya shetani
Sijawahi ingia kwenye mikono ya huyo shetani ila baadhi ya Watanzania wenzangu walikipata cha moto. Ref Mh. Lissu, Azori na wengine wengi
 
Hakuna shida na hilo, uzuri au tafuti yangu na bhana yule mimi siyo muuaji, mwizi wala muongo. Pia sijawahi watumia watu wanyonge kama wewe kwa kujinufaisha mwenyewe
Ukikuta mtu kam wewe anasema siyo muongo basi akili hazifanyi kazi ipasavyo. Kama wewe siyo muongo (hujawahi kuwa muongo) basi ni taahira hujui usemalo.
 
Sijawahi ingia kwenye mikono ya huyo shetani ila baadhi ya Watanzania wenzangu walikipata cha moto. Ref Mh. Lissu, Azori na wengine wengi
Wengine wanajiingiza tu ili wapate umaarufu. Huenda lissu mlimtungua ninyi ili mpate pakuongelea. Una ushahidi gani wa kuwa mtendaji ni rais? Kwa nini alirudi kubattle nae kwenye uraisi ilihali bado mkuu rungu alikuwa nalo la kumpoteza?
 
Ukikuta mtu kam wewe anasema siyo muongo basi akili hazifanyi kazi ipasavyo. Kama wewe siyo muongo (hujawahi kuwa muongo) basi ni taahira hujui usemalo.
Hivi una akili kweli wewe? Nisije kuwa naongea na watu kama Crimea
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nawee alikunyoosha eeeeh? Lazima upagawee.
Mimi asingeweza ninyoosha maana hakuna sehemu mimi na yeye tungekutana. Nazungumzia wale walipata yake moja kwa moja kama Mh. Lissu na wengine
 
Uki
Wengine wanajiingiza tu ili wapate umaarufu. Huenda lissu mlimtungua ninyi ili mpate pakuongelea. Una ushahidi gani wa kuwa mtendaji ni rais? Kwa nini alirudi kubattle nae kwenye uraisi ilihali bado mkuu rungu alikuwa nalo la kumpotezaUkiwa

Wengine wanajiingiza tu ili wapate umaarufu. Huenda lissu mlimtungua ninyi ili mpate pakuongelea. Una ushahidi gani wa kuwa mtendaji ni rais? Kwa nini alirudi kubattle nae kwenye uraisi ilihali bado mkuu rungu alikuwa nalo la kumpoteza?
Ukiwa na Mungu hakuna lolote litakalo kushinda, ndiyo maana hata huyo shetani wako alivyotaka kumuua alishindwa. Ila maombi ya Watanzania kwa muumba wao yalijibiwa na Jiwe likaangushwa tena kwa Corona.
 
Mswada hauanzishwi na waziri ama wizara bila ya ridhaa ya mwenye nchi (rais).

Usitegemee waziri wa katiba na sheria aamue tu kupeleka mswada wa marekebisho ya katiba bila ya kupewa rukhusa na rais.

Au waziri wa ulinzi afanye mabadiliko ya sheria ya PGO bila ya kuridhiwa na rais.

Kwahiyo ndugu yangu, sheria hubadilishwa baada ya Baraza la mawaziri kuketi na kuridhia chini ya mwenyekiti ambaye ni rais wa nchi.
Mi naona hicho kifungo wakiondoa,, isiwe kosa kusema uongo mtandaoni, watupe uhuru wa kuongea bila mipaka
 
Uki

Ukiwa na Mungu hakuna lolote litakalo kushinda, ndiyo maana hata huyo shetani wako alivyotaka kumuua alishindwa. Ila maombi ya Watanzania kwa muumba wao yalijibiwa na Jiwe likaangushwa tena kwa Corona.
Imani ni fumbo. Azory aliyekufa hakuwa na mungu ila Lissu aliyekuwa na Mungu alipona 😂😂 punguani wewe. Wazuri wengi walishaenda tena wakiwa bado wanahitajika japo si kwa kila mtu bali walioona kwa upeo wao kuwa walistahili kuwepo. Karume, sokoine n.k leo kwa Magu ndo iwe maombi ya wewe yeye kufariki.
 
Magufuli aliingia akatunga sheria zake ambazo alisema kila ajaye lazma azifuate?
Kwahiyo kumbe unajua huyo jiwe alitunga sheria mbovu eeh!!? Lkn unahoji kwann aliyemrithi hazifuti? Nami naziepekeza lawama zqngu kwa huyu aliyepo, kwamba kwann hazifuti??
 
Back
Top Bottom