Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 1,148
- 2,815
Pole mkuu, ndio walimwengu haoKwenye maisha kuna mambo ambayo mtu hawezi kuyapanga "Nature takes its course" hauwezi kupanga uzaliwe Taifa gani , Mkoa gani , Rangi gani , Kabila gani , familia ipi au hata Dini gani . Hakuna kitu kibaya kama kumukumu mtu kwa mambo ambayo hakupanga yatokee kwenye maisha yake.
Hivi na hao nao huwa wanahisi hawakupanga? πππNadhani humaanishi kutetea ushoga
Umeenda mbali sana sikufika kwa haoNadhani humaanishi kutetea ushoga
Hhhhhh umenifurahisha. Pole kwa lipiPole mkuu, ndio walimwengu hao
Eehh ! Ulitumia science ganiMbona mimi nilipanga nizaliwe Tanzania ikawa?
Japo umestaafu usangoma, lakini ni dhahiri waungwana hawajaastafu ndani yako. Bado una jicho la kirohoπ€£π€£π€£Nadhani humaanishi kutetea ushoga
Nadhan alitaka kuelekea hukoNadhani humaanishi kutetea ushoga
Umejaa fikra potofu mbona hio mada inamaana sana ukiisoma kwa kuielewaNadhan alitaka kuelekea huko
Hakika mkuu hivi vitu tuache kuhukumu kabisaKwenye maisha kuna mambo ambayo mtu hawezi kuyapanga "Nature takes its course" hauwezi kupanga uzaliwe Taifa gani , Mkoa gani , Rangi gani , Kabila gani , familia ipi au hata Dini gani . Hakuna kitu kibaya kama kumukumu mtu kwa mambo ambayo hakupanga yatokee kwenye maisha yake.
Sahihi kabisa , kwenye yale ya Naturally si vyema kuhukumiana , yale ambayo yapo katika uwezo wetu wenyewe wa kuamua na kupanga hapo kuna uhalali wa kukosoanaMambo mengi huja kwa yenyewe (naturally),, Mengine tunajipa wenyewe kama vile,kuvuta sigara, kunywa pombe badala ya maji na Maziwa,minyanduo isiyo rasmi,mema au mbaya ni Wewe tuu kusimamia upande,uutakao.
Kweli Mkuu!Sahihi kabisa , kwenye yale ya Naturally si vyema kuhukumiana , yale ambayo yapo katika uwezo wetu wenyewe wa kuamua na kupanga hapo kuna uhalali wa kukosoana
Ndio utetezi wao siku hiziHivi na hao nao huwa wanahisi hawakupanga? πππ
Hatari sanaNdio utetezi wao siku hizi
Siwalaumu kwakuwa ni mpango wa siri wa kueneza ushoga na usagaji na mchezo mzima huanzia kwenye mimba.. Hizi zinazoitwa chanjo ni hatari sana.. Then hivi vyakula walavyo vya kisasa wakati wa makuziHatari sana
Hapo kwenye janjo tunaweza kupaepuka vipi sasa mkuu? Maana afadhali ya vyakula tunaweza kurudi kwenye uasili wetu kidogo... Shetani kweli yupo zake kazini aiseeSiwalaumu kwakuwa ni mpango wa siri wa kueneza ushoga na usagaji na mchezo mzima huanzia kwenye mimba.. Hizi zinazoitwa chanjo ni hatari sana.. Then hivi vyakula walavyo vya kisasa wakati wa makuzi
Wachache nimpango wa munguHivi na hao nao huwa wanahisi hawakupanga? πππ