Hakuna jambo baya kama kumuhukumu mtu kwa mambo asiyoweza kuyapanga

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2018
Posts
1,148
Reaction score
2,815
Kwenye maisha kuna mambo ambayo mtu hawezi kuyapanga "Nature takes its course" hauwezi kupanga uzaliwe Taifa gani , Mkoa gani , Rangi gani , Kabila gani , familia ipi au hata Dini gani . Hakuna kitu kibaya kama kumukumu mtu kwa mambo ambayo hakupanga yatokee kwenye maisha yake.
 
Hakika mkuu hivi vitu tuache kuhukumu kabisa
 
Mambo mengi huja kwa yenyewe (naturally),, Mengine tunajipa wenyewe kama vile,kuvuta sigara, kunywa pombe badala ya maji na Maziwa,minyanduo isiyo rasmi,mema au mbaya ni Wewe tuu kusimamia upande,uutakao.
Sahihi kabisa , kwenye yale ya Naturally si vyema kuhukumiana , yale ambayo yapo katika uwezo wetu wenyewe wa kuamua na kupanga hapo kuna uhalali wa kukosoana
 
Hatari sana
Siwalaumu kwakuwa ni mpango wa siri wa kueneza ushoga na usagaji na mchezo mzima huanzia kwenye mimba.. Hizi zinazoitwa chanjo ni hatari sana.. Then hivi vyakula walavyo vya kisasa wakati wa makuzi
 
Hapo kwenye janjo tunaweza kupaepuka vipi sasa mkuu? Maana afadhali ya vyakula tunaweza kurudi kwenye uasili wetu kidogo... Shetani kweli yupo zake kazini aisee
 
Back
Top Bottom