Tell em 😅 girl.A typo is not a measure of intelligence..
Wakati wa Bwana
Mara katekwa, mara mitumba, now kukosa kazi daagalikuwa anatamani awe mkubwa, anajiona ukubwa wenyewe kwa macho yake unavyo mpeleka mputa mputa
A typo is not a measure of intelligence..
Hahah kwa hiyo umejuaje kama jamaa ni Ngosha?Sasa ulichokificha hapo ni nini? Wakati umeweka wazi Details zako? Tena official, si ungekuja kupost na I'd yako tu.
Duuuh kalii hii.
Joseph bwana sasa kaja na anonymous halafu jina hajafuta hivi mwamba wetu tumuiteje huyu ndio maana labda uhamiaji wakamuacha sio kwa jambo km hili alitakiwa afiche jina yeye kalianika hewani kwa hio hapo kuna anonymous gani wakati ushajulikana wewe ndio ulieleta hii kitu humu na full name sio fake ID si ungeandika na ID yako tu ya Joseph M. YOHANA halafu safipole jozeeee
Wanaiita "Mtandao" hili ni dude kubwa yaan kuna mtu tulikua tunaongea akanieleza mambo mengi sana kuhusu hio kitu nikaishia kua mpenzi msikilizajiBwana YoHana hii nchi ina wenyewe!!!! Kama ni mtoto wa mkulima angalia mbanga zingine za kukupatia ugali .....
Ajira za siku hizi zinatolewa na vimemo na maelekezo !
Bwana Yohana hakuna namna tunaweza kufanya ukawa mchungaji?
Yes I know it happens sometimes when someone is in hurry or not keen.Do you know what a typographical error is?
How do you know this is a typo?
How does one not proofread the heading of a thread?
Angefichaje hapo mkuu maana ni mfumoJoseph bwana sasa kaja na anonymous halafu jina hajafuta hivi mwamba wetu tumuiteje huyu ndio maana labda uhamiaji wakamuacha sio kwa jambo km hili alitakiwa afiche jina yeye kalianika hewani kwa hio hapo kuna anonymous gani wakati ushajulikana wewe ndio ulieleta hii kitu humu na full name sio fake ID si ungeandika na ID yako tu ya Joseph M. YOHANA halafu safi
Labda "interview " ilikuendea vibaya. Huenda ulipoitwa ulikaa kabla ya kuambiwa kukaa.
Na kwa hali hiyo tayari ashajidisqualify kuwa afisa wa uhamiaji maana hawana tofauti na TISSWanaiita "Mtandao" hili ni dude kubwa yaan kuna mtu tulikua tunaongea akanieleza mambo mengi sana kuhusu hio kitu nikaishia kua mpenzi msikilizaji
Hii ndo ID Yako original?Labda "interview " ilikuendea vibaya. Huenda ulipoitwa ulikaa kabla ya kuambiwa kukaa.
hapa napingana na wewe mimi nimfuatiliaji mzuri sana tena kiundani..kama ni asilimia kina Peter Na Rosemary 70% Hafidh na Mwajuma 30% tena mikoa inayoongoza kwa bara ni Dar,Arusha,Kilimanjoro,Mwanza,Mbeya,Dodoma,Morogoro,Rukwa,Ruvuma, Kagera,Tanga na Pwani Hapo nadhani kuna vipanga..mikoa sijui kama nikweli kuna vilaza..Kigoma,Songwe,Tabora,Katavi,Njombe,Lindi na Mtwara kimbebe kipo hapo, huu ni uchunguzi usio rasmi...Zanzibar wanaotoka Unguja wanaongoza.sijafatilia ila nasikia tu makobaz ndio mnaitwa kwa makundi makundi! mimi nimeacha kufatilia sana nishachoka kabisa! hali sio hali, aptitude tests zilitaka kuniua hii miezi miwili!
Editing tu hata hio kapiga screenshot then katuma humu sasa kabla ya kutuma kwenye hio app ya screenshot ina sehemu ya edit unaficha hapo unapakia humu yeye kapiga tu screenshot hajaedit chochote au la kuna mtu kamtumia hio picha yeye kaja kulalamika humu bila kufanya editing kuzuia jina lake lisionekane kabla au vinginevyo basi angekuja na jina lake km lilivyoAngefichaje hapo mkuu maana ni mfumo
Hivi lile PDF likitoka hua wanasemaa huyu tumempangia kazi katoka Mkoa fulani au kuna namna unafika mpaka jikoni kwa wapishi?hapa napingana na wewe mimi nimfuatiliaji mzuri sana tena kiundani..kama ni asilimia kina Peter Na Rosemary 70% Hafidh na Mwajuma 30% tena mikoa inayoongoza kwa bara ni Dar,Arusha,Kilimanjoro,Mwanza,Mbeya,Dodoma,Morogoro,Rukwa,Ruvuma, Kagera,Tanga na Pwani Hapo nadhani kuna vipanga..mikoa sijui kama nikweli kuna vilaza..Kigoma,Songwe,Tabora,Katavi,Njombe,Lindi na Mtwara kimbebe kipo hapo, huu ni uchunguzi usio rasmi...Zanzibar wanaotoka Unguja wanaongoza.
Alikuwa na hasiraEditing tu hata hio kapiga screenshot then katuma humu sasa kabla ya kutuma kwenye hio app ya screenshot ina sehemu ya edit unaficha hapo unapakia humu yeye kapiga tu screenshot hajaedit chochote au la kuna mtu kamtumia hio picha yeye kaja kulalamika humu bila kufanya editing kuzuia jina lake lisionekane kabla au vinginevyo basi angekuja na jina lake km lilivyo
data mbona ukiamua kuzifatilia hata wewe unaweza? Ni uchunguzi usio rasmi tu..kama unabisha ingia kazini na wewe.Hivi lile PDF likitoka hua wanasemaa huyu tumempangia kazi katoka Mkoa fulani au kuna namna unafika mpaka jikoni kwa wapishi?