Kuna kazi kupata mpaka uwe na cheti cha jktKwani kuwa na jkt Kuna husiana nini na kupata kazi mkuu, umekosa tulia mwana, inauma but kubali until next time.
Tusubiri mwakani kubali pia competition ni kubwa
Mwakani NIDA na MIGRATION watatoa tena, mi natamani nipate NIDA all in all MUNGU atutangulie.
POLE SANA
Mostly ni ma assistant!Ma lecturer wenu wanahitaji ma lecturer.
Tanzania pia kuna tatizo hawa walimu na wasaidizi wao kuwakosoa ni vigumu hata pale mwanafunzi anapokuwa sawa.Mostly ni ma assistant!
Chuo gani icho, ni Bachelor siyo BarchelorNilipofika chuo nilikiwa naandika bachelor kwenye assignment zangu, nakuta lecture kakata kaandika kwa kalama barchelor, nikaenda kusoma chuo kingine tena nikakuta same! Japo kwenye vyeti hawaandiki hivi! Sasa hapo tatizo liko kote!
Chuo gani icho, ni Bachelor siyo BarchelorNilipofika chuo nilikiwa naandika bachelor kwenye assignment zangu, nakuta lecture kakata kaandika kwa kalama barchelor, nikaenda kusoma chuo kingine tena nikakuta same! Japo kwenye vyeti hawaandiki hivi! Sasa hapo tatizo liko kote!
Siyo juzi, na mwaka Jana na Mimi nimehitimu mwaka Jana nilikuwa pindi zinatoka sikuwa nimepata CHETI, walitoa 25 mwezi wa 10 hiviKuna kazi kupata mpaka uwe na cheti cha jkt
Nida wametoa juzi nafasi 50 ulienda kwenye interview?
Sema nataka nianze kujitolea na niwe chawa wa mkurugenzi😃😃🙌Hakuna namna, sijulikani popote na yoyote connection yangu ni namna ntavyoweza kuzungumza na watu wanaonizunguka.Kuna kazi kupata mpaka uwe na cheti cha jkt
Nida wametoa juzi nafasi 50 ulienda kwenye interview?
Yani haiwezekani kabisa! Utasoma chuo miaka mi5 usipokuwa mnyonge!Tanzania pia kuna tatizo hawa walimu na wasaidizi wao kuwakosoa ni vigumu hata pale mwanafunzi anapokuwa sawa.
chukua data hzo.Kufuatilia vipi yaan nianze kuangalia majina ya wanaopangiwa kazi wanatoka mikoa ipi? Ndio nimekuuliza upo jikoni kwa mpishi ndio amekupa info hizo?
Oh pole! Endelea kucheza humo humo watatoa tena!Siyo juzi, na mwaka Jana na Mimi nimehitimu mwaka Jana nilikuwa pindi zinatoka sikuwa nimepata CHETI, walitoa 25 mwezi wa 10 hivi
Mimi CHETI nimekipata wa 12-25
Relax, hata sisi tulipitia hayo yote! Endelea kuomba tu pita na kule kwenye uzi huwezi kukosa chochote!Sema nataka nianze kujitolea na niwe chawa wa mkurugenzi😃😃🙌Hakuna namna, sijulikani popote na yoyote connection yangu ni namna ntavyoweza kuzungumza na watu wanaonizunguka.
Hiyo degree ndiyo imekuangusha, umesomea wapi hiyo degree? Acheni kuokoteza videgree vya ajabu×2
Nmesubiri ulete chchte sioni tena best, kama tangazo litakuwa linahusu au kurelate na fani yangu, nitag kabisa rafikiRelax, hata sisi tulipitia hayo yote! Endelea kuomba tu pita na kule kwenye uzi huwezi kukosa chochote!
Ko unanishauri nibadili uraia ili nipate😃😃Watoto wa kipemba wamekula Sana ajira uhamiaji kuanzia 2022
katika watu kumi Saba au nane nikutokea Zanzibar
Ukisubiri kazi kwa style hiyo utasanda! Angalia chochote universal apply acha kusubiri fani yako ikufuate ulipo!Nmesubiri ulete chchte sioni tena best, kama tangazo litakuwa linahusu au kurelate na fani yangu, nitag kabisa rafiki
Ni wapi uliandikiwa kwenye cheti chako kwamba utafanya kazi uhamiaji?