ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 21,002
- 77,708
Kwenye test wanauliza maswali yaleyale ya darasani?sijafatilia ila nasikia tu makobaz ndio mnaitwa kwa makundi makundi! mimi nimeacha kufatilia sana nishachoka kabisa! hali sio hali, aptitude tests zilitaka kuniua hii miezi miwili!