Hakuna jambo lililoniuma mwaka huu kama kutochaguliwa Uhamiaji ukizingatia nina Barchelor of Arts in Law Enforcement na JKT Certificate ninayo

Hakuna jambo lililoniuma mwaka huu kama kutochaguliwa Uhamiaji ukizingatia nina Barchelor of Arts in Law Enforcement na JKT Certificate ninayo

Ndugu yangu Joseph kweli umechafukwa mpaka umekuja na I'd ya kificho ila ukasahau kuziba jina lako 😂
Pole sana ndugu
 
Pole sana mkuu.
si tuliambiwa kuwa majeshi yetu hayapendi sana watu waliosoma?

lakini nikushauri tu haya mambo ya ajira siyo yakusikitisha sana, pengine kuna mahali pakubwa zaidi unapostahili, pukuta mavumbi move on, patakuja tu. Nafasi yaklo iko mahali mkuu, nzuri itakayoendana na elimu yako. DONT GIVE UP!!
 
Umeshindwa kuficha jina hapo???

Pia pole sana , kamba yako imekua fupi unatakiwa kufahamu saa hizi wanajipimia kadiri ya urefu wa kamba yako.
 
Back
Top Bottom