Kukamatwa kwa Mbowe na kusambaratika kwa chama chake, imekuwa pigo kubwa kwa wanaharakati koko ambao waliishi kwa kutegemea mfuko wake.
Bavicha wengi walienda msalani kutokana na vijiela vya bwana mkubwa. Ilikuwa ni rahisi watu kuuza heshima na utu wao kwa sababu ya njaa zao.
Wako wengi hapa JF lkn kutokana na sheria za kimtandao siwezi kuwataja, ila najua wenyewe watajitaja au kujionesha kupitia comments zao hapa JF. Ndio maana toka akamatwe wengi wamepotea hapa jukwaan maana hawana mtu wa kuwalipia bando za kuja kutukana hapa JF.