jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,603
- 3,776
Umeongea utoko mtupuNimesikiliza hotuba ya Mnyika kwa wanahabari yaani inaonyesha tayari wameshamtosa Mwenyekiti wao na hawana maaamuzi tena hapo ndiyo kila mtu anakufa na mzigo wake nawapa pole sana Wanachadema wote na niwaombe tu wafanye siasa za kistaarabu kuliko kuingiza na mambo ya ugaidi ndani yake wajifunze kwa CCM siasa safi watakuja kufikia malengo yao
Wakwanza Jr mshanaKukamatwa kwa Mbowe na kusambaratika kwa chama chake, imekuwa pigo kubwa kwa wanaharakati koko ambao waliishi kwa kutegemea mfuko wake.
Bavicha wengi walienda msalani kutokana na vijiela vya bwana mkubwa. Ilikuwa ni rahisi watu kuuza heshima na utu wao kwa sababu ya njaa zao.
Wako wengi hapa JF lkn kutokana na sheria za kimtandao siwezi kuwataja, ila najua wenyewe watajitaja au kujionesha kupitia comments zao hapa JF. Ndio maana toka akamatwe wengi wamepotea hapa jukwaan maana hawana mtu wa kuwalipia bando za kuja kutukana hapa JF.
Magaidi wa ccm kina makonda, msukuma, kihonhosi, kheti james, sabaya, wanamdhihaki gaidi wa kuchonga wa chadema,Nimesikiliza hotuba ya Mnyika kwa wanahabari yaani inaonyesha tayari wameshamtosa Mwenyekiti wao na hawana maaamuzi tena hapo ndiyo kila mtu anakufa na mzigo wake nawapa pole sana Wanachadema wote na niwaombe tu wafanye siasa za kistaarabu kuliko kuingiza na mambo ya ugaidi ndani yake wajifunze kwa CCM siasa safi watakuja kufikia malengo yao
Nimesikiliza hotuba ya Mnyika kwa wanahabari yaani inaonyesha tayari wameshamtosa Mwenyekiti wao na hawana maaamuzi tena hapo ndiyo kila mtu anakufa na mzigo wake nawapa pole sana Wanachadema wote na niwaombe tu wafanye siasa za kistaarabu kuliko kuingiza na mambo ya ugaidi ndani yake wajifunze kwa CCM siasa safi watakuja kufikia malengo yao