Acha ujinga. Unadhani wamasai ni wale waliopo eneo la NCA peke yake? Ungefanya kwanza Home Work yako vizuri kabla ya kuleta ujinga hapa.Jambo rafiki,
Katika maraisi waliowahi kupita Tansania hakuna kama Samia. Sisi wamasai tunampenda kuliko makabila yote.
Kwansa tumefurahi sana anavyoongoza kwa haki na demokrasia.
Pili,tunafurahia kututoa maporini huko ngorongoro ambako hakukuwa na Huduma za muhimu kama maji,umeme,mabarabara,mashule,mahospitali nk.
Raisi ametuleta mjini na kutupa maeneo ya buree kabisaa.
Sasaivi tunaishi kisasa na hatujitengi tena na makabila mengine.
Mama aendelee kushikilia hapohapo
Mungu ibariki Tanzania
Mungu mbariki Samia
Acha ubaguzi wa Kijinsia.Acheneni na huyo mama hakuna kitakacho dumu milele,just a matter of time...mimi naamini mwanamke akitawala ni laana au adhabu katika taifa husika
Unajua kuandika na kusoma nilifikiri ni typing error kumbe ni kiazi sana ww lais instead of Rais,nyie ndo mnaochafua Jukwaa hiliJambo lafiki,
Katika malaisi waliowahi kupita Tansania hakuna kama Laisi Samia. Sisi wamasai tunampenda kuliko makabila yote.
Kwansa, tumefulahi sana anavyoongosa kwa haki na demokrasia.
Pili, tunafulahia kututoa mapolini huko Ngorongoro ambako hakukuwa na Huduma sa muhimu kama maji, umeme, mabarabara, mashule, mahospitali nk.
Laisi ametuleta mjini na kutupa maeneo ya bulee kabisaa.
Sasaivi tunaishi kisasa na hatujitengi tena na makabila mengine.
Mama aendelese kushikilia hapohapo.
Mungu ibariki Tansania
Mungu mbariki Samia
Wamasai ni waoga sana mbele ya bunduki na wamejaa taama ya zawadi kutoka kwa wazungu ndio maana ni vigeugeu sana. Hebu akajaribu kufurusha wenyeji wa Busokelo, Tunduma, Sirari, Masasi, Simiyu, Iringa ili ajifunze mwananchi asiye na silaha akikasirika kwa kupokonywa haki yake huwa na nguvu kiasi ganiJambo lafiki,
Katika malaisi waliowahi kupita Tansania hakuna kama Laisi Samia. Sisi wamasai tunampenda kuliko makabila yote.
Kwansa, tumefulahi sana anavyoongosa kwa haki na demokrasia.
Pili, tunafulahia kututoa mapolini huko Ngorongoro ambako hakukuwa na Huduma sa muhimu kama maji, umeme, mabarabara, mashule, mahospitali nk.
Laisi ametuleta mjini na kutupa maeneo ya bulee kabisaa.
Sasaivi tunaishi kisasa na hatujitengi tena na makabila mengine.
Mama aendelese kushikilia hapohapo.
Mungu ibariki Tansania
Mungu mbariki Samia
Masai wa mchongo umetoka wapi hukoJambo lafiki,