Hakuna kabila linalompenda Rais Samia kama Wamasai

Mcqueenen

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
6,843
Reaction score
11,702
Jambo lafiki,

Katika malaisi waliowahi kupita Tansania hakuna kama Laisi Samia. Sisi wamasai tunampenda kuliko makabila yote.

Kwansa, tumefulahi sana anavyoongosa kwa haki na demokrasia.

Pili, tunafulahia kututoa mapolini huko Ngorongoro ambako hakukuwa na Huduma sa muhimu kama maji, umeme, mabarabara, mashule, mahospitali nk.

Laisi ametuleta mjini na kutupa maeneo ya bulee kabisaa.

Sasaivi tunaishi kisasa na hatujitengi tena na makabila mengine.

Mama aendelese kushikilia hapohapo.

Mungu ibariki Tansania
Mungu mbariki Samia
 
35 bilioni za kuwahamisha Wamasai zimepigwa halafu unawawekea mabango feki.
 
Jambo rafiki,
Katika maraisi waliowahi kupita Tansania hakuna kama Samia. Sisi wamasai tunampenda kuliko makabila yote.
Kwansa tumefurahi sana anavyoongoza kwa haki na demokrasia.
Pili,tunafurahia kututoa maporini huko ngorongoro ambako hakukuwa na Huduma za muhimu kama maji,umeme,mabarabara,mashule,mahospitali nk.
Raisi ametuleta mjini na kutupa maeneo ya buree kabisaa.

Sasaivi tunaishi kisasa na hatujitengi tena na makabila mengine.
Mama aendelee kushikilia hapohapo
Mungu ibariki Tanzania
Mungu mbariki Samia
Acha ujinga. Unadhani wamasai ni wale waliopo eneo la NCA peke yake? Ungefanya kwanza Home Work yako vizuri kabla ya kuleta ujinga hapa.
 
Jambo lafiki,

Katika malaisi waliowahi kupita Tansania hakuna kama Laisi Samia. Sisi wamasai tunampenda kuliko makabila yote.

Kwansa, tumefulahi sana anavyoongosa kwa haki na demokrasia.

Pili, tunafulahia kututoa mapolini huko Ngorongoro ambako hakukuwa na Huduma sa muhimu kama maji, umeme, mabarabara, mashule, mahospitali nk.

Laisi ametuleta mjini na kutupa maeneo ya bulee kabisaa.

Sasaivi tunaishi kisasa na hatujitengi tena na makabila mengine.

Mama aendelese kushikilia hapohapo.

Mungu ibariki Tansania
Mungu mbariki Samia
Unajua kuandika na kusoma nilifikiri ni typing error kumbe ni kiazi sana ww lais instead of Rais,nyie ndo mnaochafua Jukwaa hili
 
Ungeuza Ng'ombe wako kadhaa ungeshindwa kwenda popote unapotaka mpaka usubiri kuhamishwa kule wanapotaka na sio unapotaka ?

Ingawa najua unatania ila hii kasumba ya kupongezana mtu anapoharibu ni mbaya sana ambayo inapelekea pale anapofanya kazi yake watu waone kama ni Hisani
 
Hizo ni propaganda kama za wale Mamluki wakina Kitenge kwenda kupiga picha za pundamilia wakichungwa na ng'ombe kule Ngorongoro to justify kuhamishwa kwa wamasai!! Hakuna masai anaeafiki kuhama kwa hiari yake toka kwenye ancestral compound yao , hiyo note ni propaganda ya serikali ya Samia ili kuwafurahisha wajomba zake waarabu!!
 
Jambo lafiki,

Katika malaisi waliowahi kupita Tansania hakuna kama Laisi Samia. Sisi wamasai tunampenda kuliko makabila yote.

Kwansa, tumefulahi sana anavyoongosa kwa haki na demokrasia.

Pili, tunafulahia kututoa mapolini huko Ngorongoro ambako hakukuwa na Huduma sa muhimu kama maji, umeme, mabarabara, mashule, mahospitali nk.

Laisi ametuleta mjini na kutupa maeneo ya bulee kabisaa.

Sasaivi tunaishi kisasa na hatujitengi tena na makabila mengine.

Mama aendelese kushikilia hapohapo.

Mungu ibariki Tansania
Mungu mbariki Samia
Wamasai ni waoga sana mbele ya bunduki na wamejaa taama ya zawadi kutoka kwa wazungu ndio maana ni vigeugeu sana. Hebu akajaribu kufurusha wenyeji wa Busokelo, Tunduma, Sirari, Masasi, Simiyu, Iringa ili ajifunze mwananchi asiye na silaha akikasirika kwa kupokonywa haki yake huwa na nguvu kiasi gani
 
eti laisi, kwansa hiii ni shida chawa gani hujui hata kuandika kwa fasaha.
 
Jambo lafiki,

Katika malaisi waliowahi kupita Tansania hakuna kama Laisi Samia. Sisi wamasai tunampenda kuliko makabila yote.

Kwansa, tumefulahi sana anavyoongosa kwa haki na demokrasia.

Pili, tunafulahia kututoa mapolini huko Ngorongoro ambako hakukuwa na Huduma sa muhimu kama maji, umeme, mabarabara, mashule, mahospitali nk.

Laisi ametuleta mjini na kutupa maeneo ya bulee kabisaa.

Sasaivi tunaishi kisasa na hatujitengi tena na makabila mengine.

Mama aendelese kushikilia hapohapo.

Mungu ibariki Tansania
Mungu mbariki Samia
Masai wa mchongo umetoka wapi huko

Sent from my TECNO BF7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom