Kifo ni somo kwa walio baki sio kwa marehemu.Kila mara mtu anapofariki Waswahili huwa hawakosi hii misemo,
1. Maisha ni fumbo,
2. Tumeumbiwa kifo,
3. Kifo ni kitendawili
4. Tunatembea na kifo
5. Mbele yake nyuma yetu( hii hata huwa sielewei inamaanisha nini)
Mtu anapokufa unatakiwa kusikitikia marehemu na waliobaki, sio kujisikitikia wewe mwenyewe na kuanza kujipa matumaini ya kifo chako.
utakufajeKila mara mtu anapofariki Waswahili huwa hawakosi hii misemo,
1. Maisha ni fumbo,
2. Tumeumbiwa kifo,
3. Kifo ni kitendawili
4. Tunatembea na kifo
5. Mbele yake nyuma yetu( hii hata huwa sielewei inamaanisha nini)
Mtu anapokufa unatakiwa kusikitikia marehemu na waliobaki, sio kujisikitikia wewe mwenyewe na kuanza kujipa matumaini ya kifo chako.
nenda komred wa ccmKila mara mtu anapofariki Waswahili huwa hawakosi hii misemo,