Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Kapimwe mkojoNamaanisha hata Mungu anashuhudia!
Niwe wazi, hata kifo cha baba yangu sikuumia moyo kwa kiwango kama ilivyokuwa kwa Hayati Magufuli!
R.I.P JPM.
R.I.P BABA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kapimwe mkojoNamaanisha hata Mungu anashuhudia!
Niwe wazi, hata kifo cha baba yangu sikuumia moyo kwa kiwango kama ilivyokuwa kwa Hayati Magufuli!
R.I.P JPM.
R.I.P BABA.
Ufisadi ni zamu kwa zamu kwa Serikali za Afrika. Mbona JPM pia alikuwa fisadi tena kushinda waliomtangulia? Au na wewe ni mmoja wa wazembe wanaoamini kuwa Magufuli alikuwa mzalendo? Wake up dudeKipindi cha uhai na alipo kufa sikuumia wala sikufurahi ila nilishangaa sana na kuwa shuhuda kuona rais anafia madarakani,ila baada ya kifo chake na kuona jinsi serikali imegeuka kuwa ya porojo na wizi na ufisadi hakika kila nikimkumbuka jpm nalia sana moyoni.
Ufisadi ni zamu kwa zamu kwa Serikali za Afrika. Mbona JPM pia alikuwa fisadi tena kushinda waliomtangulia? Au na wewe ni mmoja wa wazembe wanaoamini kuwa Magufuli alikuwa mzalendo? Wake up dude
Namaanisha hata Mungu anashuhudia!
Niwe wazi, hata kifo cha baba yangu sikuumia moyo kwa kiwango kama ilivyokuwa kwa Hayati Magufuli!
R.I.P JPM.
R.I.P BABA.
Ni mawazo yako na una haki kuyasimamia. Ila kwa taarifa yako UFISADI wa JPM ni mkubwa kuliko ufisadi wa marais wote waliomtangulia ukiwekwa kwa pamoja. Nikukumbushe tu ripoti ya CAG ya 2017-18 kulikuwa na Tsh 2.4 Trillion unaccounted. Prof Assad alipohoji akamsitishia mkataba.Hakuna mahali nimesema jpm alikua mzalendo,ila kwa yale machache aliyoyafanya na kuyaanzisha katika taifa hili inatosha sana kutambua jpm alikua ni rais aliyeipenda sana nchi yake na wananchi hasa katika suala la maendeleo jumuishi.
Huwezi linganisha na upotolo wa serikali ya 2,4 na hii ya 6 zimejaa wizi,ufisadi,unafiki na uzandiki.
Jpm hakuwa mkamilifu ili alikua mchapakazi na alisimamia alichokiamini.
😀😀😀Ukiangalia watu wengi unaowasikia walihuzunishwa sna ni watu ambao hawana muelekeo wa maisha, watu wenye wivu na chuki kwa maendeleo ya wenzao. Sasa mtajinyonga kwasababu mpaka 2030 mtateseka sana
Hapo tuko pamoja, ila yule nduli, wala hata sikuhisi ktu.Sikushangai sana mimi kifo kilicho niumiza ni cha muammal gadafi
Ni mawazo yako na una haki kuyasimamia. Ila kwa taarifa yako UFISADI wa JPM ni mkubwa kuliko ufisadi wa marais wote waliomtangulia ukiwekwa kwa pamoja. Nikukumbushe tu ripoti ya CAG ya 2017-18 kulikuwa na Tsh 2.4 Trillion unaccounted. Prof Assad alipohoji akamsitishia mkataba.
Utabisha kwa kuwa wewe ni brainwashed na propaganda alizowajaza nyie wajinga
who knows labda mama yake alimwambia sio baba yake na mama yake alikuwa hamjui baba yake halisi, nduli alikuwa na michepuko ya kutosha, inawezekana huyu ni mmoja wao.Maandiko kama haya ndo huwa yananifanya niamini kweli wanawake wanaishi kwa hisia zaidi ya uhalisia wa mambo yanavyopaswa kuwa.
Wanaume yatupasa kuishi kwa akili nyingi sanaaa na hawa viumbe.
Unaumia kuliko kifo cha Mtu aliyeshiriki na mama yako kukuleta duniani??
Afya ya akili yako haiko vizuri yaani mtu baki uumie kuliko baba yako. Kapimwe utibiweNamaanisha hata Mungu anashuhudia!
Niwe wazi, hata kifo cha baba yangu sikuumia moyo kwa kiwango kama ilivyokuwa kwa Hayati Magufuli!
R.I.P JPM.
R.I.P BABA.
Wanyonge gani kama aliwanyima watumishi wa umma stahiki zao za kisheria wakati naye alikuwa mwalimu. Mtu akipata mataji hulia mbwata.Jpm alibeba sauti za wanyonge, kauli zake zilibeba mamlaka.
Walimuua wakatoa maneno ya kejeli eti kafa kwa Covid-19.
Wakenda mbali wakasema wazuri hawafi!
Allah amenyakua mmojawapo! Jina lake lihimidiwe.
Bullshit!
[emoji23][emoji23][emoji23] kweli aiseewho knows labda mama yake alimwambia sio baba yake na mama yake alikuwa hamjui baba yake halisi, nduli alikuwa na michepuko ya kutosha, inawezekana huyu ni mmoja wao.