Hakuna kifo, maisha ni milele

Hakuna kifo, maisha ni milele

Kong Chi

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2021
Posts
1,137
Reaction score
1,586
Wanasema we are made of atoms 100%, na atoms are forever and you can't destroy it, sasa kifo kinatoka wapi kama kila kitu from galaxies mpaka miili yetu yote na kila kitu kinachotuzunguka ni atoms 100% ? naanza kuamini life is forever ( maybe in different forms after you "die")
 
Okay, but atoms are not alive either. They are non living things ila sisi tunaishi.
 
Wanasema we are made of atoms 100%, na atoms are forever and you can't destroy it, sasa kifo kinatoka wapi kama kila kitu from galaxies mpaka miili yetu yote na kila kitu kinachotuzunguka ni atoms 100% ? naanza kuamini life is forever ( maybe in different forms after you "die")
Mh.....
 
Hakuna namna ya kuthibitisha hili maana ukifa unaacha kumbukumbu zako zote kwenye ubongo unaooza ardhini. Sasa hata kama unazaliwa upya utazaliwa na ubongo mpya ulio empty unaohitaji ujazwe kumbukumbu mpya ambazo hazina uhusiano na kumbukumbu za zamani.

Swali ni kwamba wewe ni nani? Wewe ni mjumuisho wa kila kitu ulichonacho mpaka ubongo wako au wewe ni kitu kingine kabisa nje ya ubongo na mwili ulio nao? Kama Jibu litahusisha kuwa wewe ni pamoja na ubongo basi kifo kipo.
 
Hakuna kifo ni mafundisho toka kwenye mahekalu ya freemason. Shetani anasema hakika hamtakufa
Mwil unakufa Ila nafsi yako kma haifi tuanzie apo , kwanza unafahamu dini zote zimetengenezwa na hao secret society ( Freemason)?
 
Nafsi haifi uenda sehemu mbili kulingana na matendo yako kuzimu au paradiso.Dini ni mpango wa mwanadamu kumtafuta Mungu,dini halikupeleki mbinguni,true freemason wameanzisha 93% ya dini zote duniani Ili watu wamuabudu shetani kupitia Mungu
 
Back
Top Bottom