Hakuna kifo, maisha ni milele

Hakuna kifo, maisha ni milele

Nafsi haifi uenda sehemu mbili kulingana na matendo yako kuzimu au paradiso.Dini ni mpango wa mwanadamu kumtafuta Mungu,dini halikupeleki mbinguni,true freemason wameanzisha 93% ya dini zote duniani Ili watu wamuabudu shetani kupitia Mungu
Unafikir shetani Ni mbaya Kama ulivyo aminishwa? Sku ukijua shetan na Mungu wanasaidiana ili ww ukamilike utakataa?
 
Mtoa mada BABU wa BABU yako kwa sasa yupp wapi? Au ndo ime transform energy to another form?
 
Una change kutoka form ya mwili una kua kwenye soul hii kitu unaweza experience mwenyewe kwenye high level of meditation
Hizo roho ndo zimefika mwisho au inabadilika tena?
 
Hizo roho ndo zimefika mwisho au inabadilika tena?
Zinabadilika in seven times tunasema binadamu ili akamilike anakua kwenye seven state hii kitu unaweza jua peke yako bila kuambiwa
 
Zinabadilika in seven times tunasema binadamu ili akamilike anakua kwenye seven state hii kitu unaweza jua peke yako bila kuambiwa
Ukifa unakuwa roho....baada ya hapo?
 
Zinabadilika in seven times tunasema binadamu ili akamilike anakua kwenye seven state hii kitu unaweza jua peke yako bila kuambiwa
Ndo maana Kuna wengine wnateka kwa damu hzo second form baada ya kufa kwa njia ya matambiko ili ziweze kuwasaidia mambo flan coz hyo form inakua na nguvu Zaid kuliko form ya physical body , kila form inazidiana viwango ukifika form ya saba unakua umerudi from original ambapo kunakua na energy kubwa iliyotengeneza energy zote , apo energy zote zinakutana , kwenye dini wameweka mfumo wa Mungu ili akili yako ambayo ipo inform of physical ielewe zaid
 
Baada ya apo utakua manifest Tena in physics form ili kucomplete cycle of creation, nafikiri nikisema cycle unaelewa
 
Kufa ni idea tu, ila nadhani kihualisia tunapoteza consciousness zetu tu kitu kinachotufanya tusiwe tena na uelewa wa vitu vya nje.
 
Unafikir shetani Ni mbaya Kama ulivyo aminishwa? Sku ukijua shetan na Mungu wanasaidiana ili ww ukamilike utakataa?
Mbona at the end Mungu atamdestroy shetani.
Shetani ajawahi mpenda mwanadamu,hana fadhila,anakutumia kisha anakuua
 
Wanasema we are made of atoms 100%, na atoms are forever and you can't destroy it, sasa kifo kinatoka wapi kama kila kitu from galaxies mpaka miili yetu yote na kila kitu kinachotuzunguka ni atoms 100% ? naanza kuamini life is forever ( maybe in different forms after you "die")
Spirit au roho yako na yenyewe ni atom? Unapata theory moja from a material world unataka kuja ku iapply kwenye spritual world unafikiri itafanya kazi...
 
Wewe ni Nani ?, Who are You ?

Huo mkono, mguu au (Kama wanaweza kuondoa hio miguu na mikono na bado ukabaki kama wewe basi huenda wewe sio miguu wala mikono)

Nadhani wewe ni fikra zako na inteligensia yako au lack of..., kwahio kama kweli tukiweza kuamisha fikra zetu, feelings na state of being kutoka kwenye one body to another au hata kuziweka kwenye usb drive till further download..., then and only then we will live until the Sun Fuel is finished and the Earth Collapse hapo we will have no space to occupy so we will vanish

Unless tupate another universe
 
Wanasema we are made of atoms 100%, na atoms are forever and you can't destroy it, sasa kifo kinatoka wapi kama kila kitu from galaxies mpaka miili yetu yote na kila kitu kinachotuzunguka ni atoms 100% ? naanza kuamini life is forever ( maybe in different forms after you "die")
Kufa ni neno linalomaanisha kusitisha kuwepo katika hali ya sasa. Kwa mfano mtu anakufa; mmea unakufa; gari linakufa. Huwezi ukasema mti haujafa kwa kuwa tu kuna mbao zilizotokana na mti huo; au kuna mkaa uliotokana na kuchomwa kwa mti huo.
Kidini tunaamini roho ya mtu inadumu milele. Tunajua ni mwili tu ndio unakufa. Tunatambua na tunasema mtu fulani amekufa, tukimaanisha mwili umetengana na roho, na tunaenda kuuzika mwili huo. Papo hapo tunafanya maombezi kwa kuwa tunasadiki amebadili tu umbo lake kwa kuachanishwa mwili na roho. Hatufanyi ibaada sawia ya kuzika mnyama, au mmea, au mashine kwa kuwa kitu hicho hakiendelei kuwepo katika namna ya awali baada ya kufa huko, sawasawa na roho ya mtu inavyoendelea kuishi.
 
nafikiriaga ivi kusingekuwa na kifo kungekuwa na dini kwel, maana wale ndugu zangu wa mwamedi dah, wanaiishi dini sabab ya uoga wa kifo tuu, sizani ata nyumba za ibada zingekuwepo
 
Back
Top Bottom