Hakuna kifo, maisha ni milele

Hakuna kifo, maisha ni milele

Wanasema we are made of atoms 100%, na atoms are forever and you can't destroy it, sasa kifo kinatoka wapi kama kila kitu from galaxies mpaka miili yetu yote na kila kitu kinachotuzunguka ni atoms 100% ? naanza kuamini life is forever ( maybe in different forms after you "die")
Life and death are The realm of eternity!
 
izo dhahania mi uwa sizielewagi kabisa. mara Mungu na shetani wapo sehem moja na wanazungumza fresh tu, na wanatambishiana kuwa leo nimewapata wafuasi kadhaa mara kakosa wafuasi wachache,
Go read the Bible huku ukimuomba Mungu anayezungumziwa kwenye Bible, yaani Mungu aliyeziumba mbingu na nchi akueleweshe nini unasoma. hizo ambiguities zote zitaondoka. namna nyingine ni kuisoma hiyo Bible huku ukiuliza kwa wanaosoma kuhusu ambiguities na ukiwa na spirit ya kujifunza. utafahamu mengi
 
Wanasema we are made of atoms 100%, na atoms are forever and you can't destroy it, sasa kifo kinatoka wapi kama kila kitu from galaxies mpaka miili yetu yote na kila kitu kinachotuzunguka ni atoms 100% ? naanza kuamini life is forever ( maybe in different forms after you "die")
We undergo transformation.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Na pengine hakuna milele maisha ni kifo tuu..[emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827]
 
Wewe ni Nani ?, Who are You ?

Huo mkono, mguu au (Kama wanaweza kuondoa hio miguu na mikono na bado ukabaki kama wewe basi huenda wewe sio miguu wala mikono)

Nadhani wewe ni fikra zako na inteligensia yako au lack of..., kwahio kama kweli tukiweza kuamisha fikra zetu, feelings na state of being kutoka kwenye one body to another au hata kuziweka kwenye usb drive till further download..., then and only then we will live until the Sun Fuel is finished and the Earth Collapse hapo we will have no space to occupy so we will vanish

Unless tupate another universe
Kwa hiyo earth na sun ndio only components za hii universe?!!

Hebu kasome hizo desa zako kwanza.
 
Wanasema we are made of atoms 100%, na atoms are forever and you can't destroy it, sasa kifo kinatoka wapi kama kila kitu from galaxies mpaka miili yetu yote na kila kitu kinachotuzunguka ni atoms 100% ? naanza kuamini life is forever ( maybe in different forms after you "die")
subiri ile siku unatolewa roho ndo utajua kua hamna au kifo kipo
 
Hii nchi inabidi watilie mkazo Sana kwenye elimu....especially mikoa waliokaa waarabu sana
 
Mbona at the end Mungu atamdestroy shetani.
Shetani ajawahi mpenda mwanadamu,hana fadhila,anakutumia kisha anakuua
Unauhakika kwamba at the end mungu ata mdestroy shetan? Kasome ufunuo wa yohana alafu uje hapa?
 
Back
Top Bottom