Hakuna kifo, maisha ni milele

Mathanzua atakubali kuchoma chanjo kabla ya kukubali hili.
Mwil unakufa Ila nafsi yako kma haifi tuanzie apo , kwanza unafahamu dini zote zimetengenezwa na hao secret society ( Freemason)?
 
Mbona at the end Mungu atamdestroy shetani.
Shetani ajawahi mpenda mwanadamu,hana fadhila,anakutumia kisha anakuua
izo dhahania mi uwa sizielewagi kabisa. mara Mungu na shetani wapo sehem moja na wanazungumza fresh tu, na wanatambishiana kuwa leo nimewapata wafuasi kadhaa mara kakosa wafuasi wachache,
 
Kiumbe kilichoasi kinachoshawishi watu kutenda mabaya
Umefundishwa hivyo tu Ila sio uhalisia hakuna kitu kibaya dunian vyote vipo ili kukamilisha maana ya maisha , ubaya na uzuri hukamilisha maana ya maisha
 
izo dhahania mi uwa sizielewagi kabisa. mara Mungu na shetani wapo sehem moja na wanazungumza fresh tu, na wanatambishiana kuwa leo nimewapata wafuasi kadhaa mara kakosa wafuasi wachache,
Haya ni mafundisho ya freemason kitengo cha dini,Mungu afungamani na uovu
 
Umefundishwa hivyo tu Ila sio uhalisia hakuna kitu kibaya dunian vyote vipo ili kukamilisha maana ya maisha , ubaya na uzuri hukamilisha maana ya maisha
Kabla ya shetani ubaya aukuwepo duniani
 
Umefundishwa hivyo tu Ila sio uhalisia hakuna kitu kibaya dunian vyote vipo ili kukamilisha maana ya maisha , ubaya na uzuri hukamilisha maana ya maisha
Wakati naandika hapa sikuwa nimesoma thread zote , so nimerudia ulichosema hapo juu.
 
Mwanzao 2:7 inasema "Bwana Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi hai"

Zaburi 146:3-4
3 Msiwatumainie wakuu, Wala binadamu ambaye hakuna wokovu kwake 4 Pumzi yake hutoka, huurudia udongo wake, Siku hiyo mawazo yake yapotea.
 
illusion wakati mtu anakata moto mbele yetu tunaona na tunaenda kuzika na anaoza mpaka anaisha
Kifo ni neno tu ambalo tumelifanya limekuwa na vibration kuubwaaa, kiasi kwamba watu wengi wanaliogopoa. Ila halina uhalisia, ni illusion.

Hakuna kufa.
 
illusion wakati mtu anakata moto mbele yetu tunaona na tunaenda kuzika na anaoza mpaka anaisha
Ulishawahi kwenda kwenye mazingaumbwe?

Pale mambo huwa yanafanyika kama kweli na kuna watu huamini kinachofanyika kwasababu ufahamu wao umeishia kwenye kile wanacho kiona, ila anaefanya mazingaumbe anajua namna anavyo cheza na ufahamu wenu.

Huyu mfanya mazingaumbwe anaweza akakufanyia hizo processes zote kuanzia mtu kufa mpaka akaoza na kuisha ndani ya huo muda mfupi mnao muangalia. Ila in actual sense mlicho kiona sio uhalisia wenyewe ni illusion...?

Kwahiyo ujumbe uliokuwa kwenye post yangu ni kuwa, ile dhana ya kifo kwa kiumbe anaeitwa binadamu haipo...kwasababu binadamu ni roho(kwa lugha nyepesi). Utakacho kifanya kama binadamu baada ya huo mwili wako kushindwa kuhili changamoto za hii dimession tuliyopo ni roho yako ita uacha huo mwili/vazi la hii dunia. So hicho sio kifo, kulingana na tafsiri ya kifo 'wanayo' wakaririsha watu. Leo wewe ukivua shati lako baada ya kuisha na ukaamua kuachana nayo hauwezi ukasema shati langu limekufa...

Sijui kama umenielewa mkuu? Yule unaedhani amekufa na kuoza mpaka akaisha sie yeye, kwasababu yeye hajafa.
 
 
Zaidi ya 99% ya miili yetu ni Oxygen, Carbon and Hydrogen, basically human body is a walking oxygen and Hydrogen atoms, na kwa definition yetu kifo ni when we cease to exist, lakini 100% ya kinachotufanya sisi tuwe binadamu ( atoms) will exist forever and no one can destroy it, naanza kuamini we will exist forever (maybe in a different form), ila human we are still dumb about our universe na hatujui chochote zaidi ya speculations na sina uhakika kama tutakuja kujua maybe 'second life' lakini sio hii tuliyopo sasa
 
Lakini life sio mwili tuu is about consciousnesses too,nimejaribu kuangalia what makes a human being conscious lakini majibu ni no one knows, mpaka sasa hakuna any scientist or maelezo ya kueleweka kujibu hilo swali it is a complete mystery. ingawaje wengine wanaamini inatoka kwenye ubongo lakini hakuna proof yeyote ya hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…