Hakuna kinachotuumiza kichwa kama kazi anayoifanya Irene Uwoya

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Kiukweli hakuna kitu kinachotuumiza kichwa kama chanzo cha mapato cha Irene Uwoya.

Nimejaribu kupeleleza sana haswa kwa watu wa karibu wa Irene Uwoya nipate kujua anafanya kazi gani lakini nimeambulia patupu.

Si mimi tu watu wengi sana tumekuws tukijiuliza mara kwa mara hivi huyu Mama Krish anafanya kazi gani?? Mbona kila siku mambo yake yanazidi kumnyookea na anazidi kutapanya pesa hovyo , imefika pahala hata shabiki akimuimba pesa kiutani utani haoni shida kumtumia laki 5 ,sita kawaida sana yani.

Kuna kipindi alikuwa na mchezo wa kuuliza viswali vidogo vidogo ukipatia anakualika mkapate chakula cha pamoja na hakuachi hivi hivi lazima akupe chochote kitu.Sasa
je swali linabaki pale pale huyu Irene anakazi gani mbona anazidi kutoboa kila kukicha???

Kuna kipindi nilidhani pub yake ndio kila kitu lakini nimekuja kugundua hategemei pub kuendesha maisha yake bali ana kazi nyingine nzuri tu, lakini najiuliza tena mbona kila muda yupo mtandaoni tu hiyo kazi anafanya muda gani?? Daaah, mnaojua mtujuze tafadhari.

20181224_195751.jpeg
 
View attachment 976305
Yaani kwa akili hizi eti tukwambie part ilikuwaje bora wasivyo kujibu dada zangu Mzigua na madem b
 
Huo muda unaupataga wap wa kumchunguza mtot wa KKE tena mrembo,na sio mrembo tu Bali ni star hapa bongo?
 
Back
Top Bottom