Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Kiukweli hakuna kitu kinachotuumiza kichwa kama chanzo cha mapato cha Irene Uwoya.
Nimejaribu kupeleleza sana haswa kwa watu wa karibu wa Irene Uwoya nipate kujua anafanya kazi gani lakini nimeambulia patupu.
Si mimi tu watu wengi sana tumekuws tukijiuliza mara kwa mara hivi huyu Mama Krish anafanya kazi gani?? Mbona kila siku mambo yake yanazidi kumnyookea na anazidi kutapanya pesa hovyo , imefika pahala hata shabiki akimuimba pesa kiutani utani haoni shida kumtumia laki 5 ,sita kawaida sana yani.
Kuna kipindi alikuwa na mchezo wa kuuliza viswali vidogo vidogo ukipatia anakualika mkapate chakula cha pamoja na hakuachi hivi hivi lazima akupe chochote kitu.Sasa
je swali linabaki pale pale huyu Irene anakazi gani mbona anazidi kutoboa kila kukicha???
Kuna kipindi nilidhani pub yake ndio kila kitu lakini nimekuja kugundua hategemei pub kuendesha maisha yake bali ana kazi nyingine nzuri tu, lakini najiuliza tena mbona kila muda yupo mtandaoni tu hiyo kazi anafanya muda gani?? Daaah, mnaojua mtujuze tafadhari.