Pub kama GerejiKuna kipindi aliifunga ..sjui kama anaendelea nayo
Labda Pub, kuigiza chenga tupu! RIP Kanumba na King Majuto!Ungeeelzea vizuri hizo hela anapata wapi sio kusema ana bahati na pesa .
Kama kweli unamjua utupe vyanzo vyake
Sahili vya mapato ukitoa hio pub na uigizaji
Niliomuona anamwaga hela "anatuza" Ktk 40 ya mtoto wa Zamaradi!
Katika watu wanatuponza kwa STONE TANGAWIZI na huyu dada nae yumo! Jamaa haaamini kabisa kuhusu vyuma kusuguana!
ivi watanzania umbea n kipaji au urithi, yaana we na pumbu zako mbili linakusumbua akil life LA MTU,....Sasa wew ndo mume cjui mkeo atakuaje
au ndo kopo na mfuniko
Ohoooo!!!Dogo Janja naye alitaka kuhoji kama wewe, Asubuhi yake akajikuta uraiani.!
Yani ntasikitika kama ww ni wa kiume! Unashika simu,unawasha data,unafungua jamii forum af unadadisi kuhusu mapata ya mwanamke!!