Hakuna kinachotuumiza kichwa kama kazi anayoifanya Irene Uwoya

Hakuna kinachotuumiza kichwa kama kazi anayoifanya Irene Uwoya

Yani ntasikitika kama ww ni wa kiume! Unashika simu,unawasha data,unafungua jamii forum af unadadisi kuhusu mapata ya mwanamke!!
 
Ila na kujitapa na mihela hiyo kapanga makongo baada ya kudondosha mjengo kama Zamaradi mketema hapo utagundua bongo movie wengi wao ni bongolala
 
Dada wa watu anauza kitumbua chake kwa dola, na pia anakisambaza south Africa, uea, China
 
Umesema ana Pub, umesema tena kumbe ana kazi yake nzuri tuu...

Kwani behind her humjui ni nani? Tuliza akili utamjua... acha kutega watu... au unauliza kijanja ili ujue kama watu wanajua...



Cc: mahondaw
 
Ungeeelzea vizuri hizo hela anapata wapi sio kusema ana bahati na pesa .

Kama kweli unamjua utupe vyanzo vyake
Sahili vya mapato ukitoa hio pub na uigizaji
Labda Pub, kuigiza chenga tupu! RIP Kanumba na King Majuto!
 
Niliomuona anamwaga hela "anatuza" Ktk 40 ya mtoto wa Zamaradi!

Katika watu wanatuponza kwa STONE TANGAWIZI na huyu dada nae yumo! Jamaa haaamini kabisa kuhusu vyuma kusuguana!
 
Hahahaa,...vyuma havijakaza kwa wote mkuu...usidanganyike na hizi propaganda
Niliomuona anamwaga hela "anatuza" Ktk 40 ya mtoto wa Zamaradi!

Katika watu wanatuponza kwa STONE TANGAWIZI na huyu dada nae yumo! Jamaa haaamini kabisa kuhusu vyuma kusuguana!
 
Hv kwa mfano ww na hao wenzio mnaowashwa na irene akishawaaambia au mkishajua anachofanya then mtafanyaje??au itawasaidia nn??
 
Waarabu wanamiliki mzigo ulee.. Kumpa mil 100 haoni kazi..!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom