Hakuna kiongozi hata moja wa CHADEMA anae kubalika Bara na Visiwani

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Unadhani hii inaweza kua imetokana na nini na inaonyesha picha gani kubwa na ya jumla kisiasa humu nchini?

Sifahamu sana ikiwa vyama vingine vya siasa nchini viko katika hali ya kutokubalika kama Chadema ambao ni wazi watakua wasindikizaji tu kwenye kila uchaguzi

Una maoni gani kwenye suala hili?🐒

Mungu ibariki Tanzania
 
Sasa kwanini mnawaogopa kila siku mnawakamata na kuwafungulia kesi za uongo?
Hebu muachieni Lissu tuone Kama usemayo ni kweli..!!
unamaanisha nini mathalani ndugu mdau kwenye hilo?

kwamba hiyo ndio sababu ya kutokubalika kwa kiongozi yeyote yule wa chadema mbele ya waTanzania Bara na Visiwani au?🐒
 
Ila Ukija kuangalia anayo yasema jamaa.yanakaukweli ndani yake...

Watanzania bado tuna dilema sanaa

Hakuna upinzani ambao una nguvu ya kidola kuwatoa hawa jamaa japo kuwa watz tumesha choka ila bado likija swala la kuchagua bado kuna watu huko vijijini wanajua kijani na njano tuu.

Si semi kuwa watz wanawakubali CCM ila Kuna ile identity ambayo watanzania tumerithishana ni sawa na ushabiki wa simba na yanga. Yaani hata timu iwe mbovu kiasi gani bado kuna mpuuzi atasema chama anabalaa au hii simba ni ya kufunga yanga yenye shalulile ndani
 
Sasa unajiandikia tu ili kuthibisha uchawa wako
tuliza mihemko useless jukwaani gentleman ikiwa uko pointless na itapendeza zaidi.

athari za kisaikolojia zinazokusumbua baada ya kufuata mkumbo wa kususa uchaguzi zinakudhalilisha but jitahidi kujizuia plz, taratibu utazoea na kupona kabisa 🐒
 
Kwani Samia anakubalika Tanganyika,

kila siku vikao anafanyia kizimkazi tena anajificha kwenye tent, mwambieni hata Kigoma na Tarime ni Tanzania aende huko.
 
Unadhani hii inaweza kua imetokana na nini na inaonyesha picha gani kubwa na ya jumla kisiasa humu nchini?

Sifahamu sana ikiwa vyama vingine vya siasa nchini viko katika hali ya kutokubalika kama Chadema ambao ni wazi watakua wasindikizaji tu kwenye kila uchaguzi

una maoni gani kwenye suala hili?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Lijizi na lipenda rushwa linapost. Aibu halina. Ukishakuwa mla rushwa ufahamu unapofuka
 
Kwani Samia anakubalika Tanganyika,

kila siku vikao anafanyia kizimkazi tena anajificha kwenye tent, mwambieni hata Kigoma na Tarime ni Tanzania aende huko.
Kwani kazi wewe huwa unafanya uwanja wa Taifa au barabarani?
 
CCM Nzima na wana CCM wanakubarika na kupendwa sana bara na visiwani na ndio maana chama na wanachama wanapata ushirikiano wa kutosha na kuungwa Mkono kila Uchao
unatuthibitiriaje hilo kama wangekuwa wanapendwa wasingekuwa wanaiba kura hata kwenye mikutano usizan ote wanaohuuria wanaikubali hiyo ccm
 
Unadhani hii inaweza kua imetokana na nini na inaonyesha picha gani kubwa na ya jumla kisiasa humu nchini?

Sifahamu sana ikiwa vyama vingine vya siasa nchini viko katika hali ya kutokubalika kama Chadema ambao ni wazi watakua wasindikizaji tu kwenye kila uchaguzi

una maoni gani kwenye suala hili?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Sisi wananchi hao ndio tunawakubali sana.

Muungano ndio haukubaliki bara na visiwani. Muungano unalindwa kwa mtutu wa bunduki
 
Unadhani hii inaweza kua imetokana na nini na inaonyesha picha gani kubwa na ya jumla kisiasa humu nchini?

Sifahamu sana ikiwa vyama vingine vya siasa nchini viko katika hali ya kutokubalika kama Chadema ambao ni wazi watakua wasindikizaji tu kwenye kila uchaguzi

una maoni gani kwenye suala hili?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Sometimes inakulazimu upost tu ili mradi uingize pesa ya siku!
 
Unadhani hii inaweza kua imetokana na nini na inaonyesha picha gani kubwa na ya jumla kisiasa humu nchini?

Sifahamu sana ikiwa vyama vingine vya siasa nchini viko katika hali ya kutokubalika kama Chadema ambao ni wazi watakua wasindikizaji tu kwenye kila uchaguzi

una maoni gani kwenye suala hili?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Hivi kuna viongozi wa ccm waokubalika Tanganyika na Zanzibar?
Alafu nani wanaamua kukubalika kwa wengine? Ni ccm, wananchi au polisi?
 
Back
Top Bottom