Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
Ni mataahira hapo bungeni yameekana wote zero brain..!!Wanawaita Magaidi Tena wanataka Maridhiano na Magaidi!
Ni mataahira hapo bungeni yameekana wote zero brain..!!Wanawaita Magaidi Tena wanataka Maridhiano na Magaidi!
Hivi wewe unapata hata muda wa kunya?pwagu na pwaguzi mnapigana kamba kinyonge mno aise 🐒
ndugu mdau wa jf,Hivi wewe unapata hata muda wa kunya?
Muda wote upo kutetea pumba humu kisa buku saba inakupa presha..!!
Tafuta kazi uchawa sio ajira ya kudumu..!!
Lucas.......njoo huku ndugu yako anachukua nafasi yako ya kufyatua mabandiko..... 😀Unadhani hii inaweza kua imetokana na nini na inaonyesha picha gani kubwa na ya jumla kisiasa humu nchini?
Sifahamu sana ikiwa vyama vingine vya siasa nchini viko katika hali ya kutokubalika kama Chadema ambao ni wazi watakua wasindikizaji tu kwenye kila uchaguzi
una maoni gani kwenye suala hili?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Muhimu ujumbe wangu umeusoma fanyia kazi..!!ndugu mdau wa jf,
kwani unanifuatilia sana jukwaani mpaka ukose muda wa kufanya hiyo nonsense huko washroom? Surely?
huna kazi yoyote? Pambana bana acha uvivu, ajira kibao ziko shambani saizi za kuvuna.
halafu msiwe mnakuja jukwaani mkiwa na njaa,sawa? mwambie na huyo mliekua mnapotoshana nae 🐒
Yaani ntafanya kazi za wananchi kwa uaminifu na kwa bidii na maarifa sana ndugu mdau,Muhimu ujumbe wangu umeusoma fanyia kazi..!!
CHADEMA hawajitambui kabisaYes,
hakuna anaeweza kua kiongozi wa Tanzania bila kuungwa mkono na pande zote za Tanzania, kwa kiwango cha asilimia iliyoelezwa kwenye katiba.
hawa majamaa hawaelewi mambo haya aise
Unadhani hii inaweza kua imetokana na nini na inaonyesha picha gani kubwa na ya jumla kisiasa humu nchini?
Sifahamu sana ikiwa vyama vingine vya siasa nchini viko katika hali ya kutokubalika kama Chadema ambao ni wazi watakua wasindikizaji tu kwenye kila uchaguzi
una maoni gani kwenye suala hili?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
As usal Ramli chonganishiUnadhani hii inaweza kua imetokana na nini na inaonyesha picha gani kubwa na ya jumla kisiasa humu nchini?
Sifahamu sana ikiwa vyama vingine vya siasa nchini viko katika hali ya kutokubalika kama Chadema ambao ni wazi watakua wasindikizaji tu kwenye kila uchaguzi
una maoni gani kwenye suala hili?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Tunaendelea kuona uonevu wa aina yake katika kipindi hikihii si artwork tu na sanaa ya uandishi gentleman? mbona mambo yako wazi sana aise 🐒
hakuna muhalifu aliewahi kuonewa katika nchi hii gentleman. Wote wanaosota korokoroni ni sawa tu kulingana na makosa yao, hakuna haja ya artwork za kutafuta kiki au public sympathy 🐒Tunaendelea kuona uonevu wa aina yake katika kipindi hiki
USichokijua ni kwamba kila post ya chuki unayopandisha, ndo unawaongezea wafuasi hao CHADEMA.Unadhani hii inaweza kua imetokana na nini na inaonyesha picha gani kubwa na ya jumla kisiasa humu nchini?
Sifahamu sana ikiwa vyama vingine vya siasa nchini viko katika hali ya kutokubalika kama Chadema ambao ni wazi watakua wasindikizaji tu kwenye kila uchaguzi
una maoni gani kwenye suala hili?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Gentleman,USichokijua ni kwamba kila post ya chuki unayopandisha, ndo unawaongezea wafuasi hao CHADEMA.
Kuwa mpole na mwenye busara
OKGentleman,
hao si ndio wana hati miliki ya mihemko useless, kutukana na kuporomosha matusi nonsense jukwaani ama?🐒
Kwa namna hii ,itokee bahati mbaya mtoto kavunja chupa ya chai,hasira zote za kwenye Uzi zinamaliziwa kwa mtotohuyo akichafukwa anakua na ile mihemko inayoambatana na kuweweseka.
yaani anakua kama kupandisha mori vile 🐒