Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
- Thread starter
- #21
hiyo porojo yako andikia uzi mahususi jukwaani na itapendeza zaidi. Kwasasa ni muhimu zaidi kujikita kwenye hoja mahususi mezani gentleman šHivi kuna viongozi wa ccm waokubalika Tanganyika na Zanzibar?
Alafu nani wanaamua kukubalika kwa wengine? Ni ccm, wananchi au polisi?