Hakuna kiongozi hata moja wa CHADEMA anae kubalika Bara na Visiwani

Hakuna kiongozi hata moja wa CHADEMA anae kubalika Bara na Visiwani

Unadhani hii inaweza kua imetokana na nini na inaonyesha picha gani kubwa na ya jumla kisiasa humu nchini?

Sifahamu sana ikiwa vyama vingine vya siasa nchini viko katika hali ya kutokubalika kama Chadema ambao ni wazi watakua wasindikizaji tu kwenye kila uchaguzi

una maoni gani kwenye suala hili?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Hii imesababishwa na ukweli kuwa CCM wote elimu zao ni mbali mbali, wanakosa upeo hata wa kuelewa mantiki ya uongozi wa nhi!
 
Back
Top Bottom