unamaanisha nini mathalani ndugu mdau kwenye hilo?Sasa kwanini mnawaogopa kila siku mnawakamata na kuwafungulia kesi za uongo?
Hebu muachieni Lissu tuone Kama usemayo ni kweli..!!
tuliza mihemko useless jukwaani gentleman ikiwa uko pointless na itapendeza zaidi.Sasa unajiandikia tu ili kuthibisha uchawa wako
CCM Nzima na wana CCM wanakubarika na kupendwa sana bara na visiwani na ndio maana chama na wanachama wanapata ushirikiano wa kutosha na kuungwa Mkono kila UchaoTutajie na chama tawala anayekubalika bara na visiwani
Zanzibar ni Sehemu ya Tanzania. Na hiyo yote ni katika kuonyesha umoja na mshikamano tulionaoKwani Samia anakubalika Tanganyika,
kila siku vikao anafanyia kizimkazi tena anajificha kwenye tent, mwambieni hata Kigoma na Tarime ni Tanzania aende huko.
Lijizi na lipenda rushwa linapost. Aibu halina. Ukishakuwa mla rushwa ufahamu unapofukaUnadhani hii inaweza kua imetokana na nini na inaonyesha picha gani kubwa na ya jumla kisiasa humu nchini?
Sifahamu sana ikiwa vyama vingine vya siasa nchini viko katika hali ya kutokubalika kama Chadema ambao ni wazi watakua wasindikizaji tu kwenye kila uchaguzi
una maoni gani kwenye suala hili?π
Mungu Ibariki Tanzania
Kwani kazi wewe huwa unafanya uwanja wa Taifa au barabarani?Kwani Samia anakubalika Tanganyika,
kila siku vikao anafanyia kizimkazi tena anajificha kwenye tent, mwambieni hata Kigoma na Tarime ni Tanzania aende huko.
unatuthibitiriaje hilo kama wangekuwa wanapendwa wasingekuwa wanaiba kura hata kwenye mikutano usizan ote wanaohuuria wanaikubali hiyo ccmCCM Nzima na wana CCM wanakubarika na kupendwa sana bara na visiwani na ndio maana chama na wanachama wanapata ushirikiano wa kutosha na kuungwa Mkono kila Uchao
Sisi wananchi hao ndio tunawakubali sana.Unadhani hii inaweza kua imetokana na nini na inaonyesha picha gani kubwa na ya jumla kisiasa humu nchini?
Sifahamu sana ikiwa vyama vingine vya siasa nchini viko katika hali ya kutokubalika kama Chadema ambao ni wazi watakua wasindikizaji tu kwenye kila uchaguzi
una maoni gani kwenye suala hili?π
Mungu Ibariki Tanzania
Sometimes inakulazimu upost tu ili mradi uingize pesa ya siku!Unadhani hii inaweza kua imetokana na nini na inaonyesha picha gani kubwa na ya jumla kisiasa humu nchini?
Sifahamu sana ikiwa vyama vingine vya siasa nchini viko katika hali ya kutokubalika kama Chadema ambao ni wazi watakua wasindikizaji tu kwenye kila uchaguzi
una maoni gani kwenye suala hili?π
Mungu Ibariki Tanzania
Hivi kuna viongozi wa ccm waokubalika Tanganyika na Zanzibar?Unadhani hii inaweza kua imetokana na nini na inaonyesha picha gani kubwa na ya jumla kisiasa humu nchini?