hiyo porojo yako andikia uzi mahususi jukwaani na itapendeza zaidi. Kwasasa ni muhimu zaidi kujikita kwenye hoja mahususi mezani gentleman πHivi kuna viongozi wa ccm waokubalika Tanganyika na Zanzibar?
Alafu nani wanaamua kukubalika kwa wengine? Ni ccm, wananchi au polisi?
Na chadema ilishakufa wakati wa magufuli. Serikali na cccm wanapambana na mzimu wa chadema. Natamani ingekuwa haijakufa sababu kwenye ulimwengu wa roho mzimu una nguvu kuliko walio haiUnadhani hii inaweza kua imetokana na nini na inaonyesha picha gani kubwa na ya jumla kisiasa humu nchini?
Sifahamu sana ikiwa vyama vingine vya siasa nchini viko katika hali ya kutokubalika kama Chadema ambao ni wazi watakua wasindikizaji tu kwenye kila uchaguzi
una maoni gani kwenye suala hili?π
Mungu Ibariki Tanzania
Sawa,nipigie kifua tuu,subiria katiba mpya, mchana kweupe mboga mboga chalii!Unadhani hii inaweza kua imetokana na nini na inaonyesha picha gani kubwa na ya jumla kisiasa humu nchini?
Sifahamu sana ikiwa vyama vingine vya siasa nchini viko katika hali ya kutokubalika kama Chadema ambao ni wazi watakua wasindikizaji tu kwenye kila uchaguzi
una maoni gani kwenye suala hili?π
Mungu Ibariki Tanzania
ni muhimu sana kujikita kwenye hoja mahususi mezani gentleman bila porojo zingine na itapendeza zaidi πNa chadema ilishakufa wakati wa magufuli. Serikali na cccm wanapambana na mzimu wa chadema. Natamani ingekuwa haijakufa sababu kwenye ulimwengu wa roho mzimu una nguvu kuliko walio hai
Wanawaita Magaidi Tena wanataka Maridhiano na Magaidi!Sasa kwanini mnawaogopa kila siku mnawakamata na kuwafungulia kesi za uongo?
Hebu muachieni Lissu tuone Kama usemayo ni kweli..!!
Buku 7 πSometimes inakulazimu upost tu ili mradi uingize pesa ya siku!
Umekurupuka hujafanya utafiti. No research no right to speakUnadhani hii inaweza kua imetokana na nini na inaonyesha picha gani kubwa na ya jumla kisiasa humu nchini?
Sifahamu sana ikiwa vyama vingine vya siasa nchini viko katika hali ya kutokubalika kama Chadema ambao ni wazi watakua wasindikizaji tu kwenye kila uchaguzi
una maoni gani kwenye suala hili?π
Mungu Ibariki Tanzania
Kama wangekuwa wanakubalika,wangemuweka wa kusinzia makamu mwenyekiti,tangu Nina miaka 10,na Sasa 56!Mzee ndio makamu mwenyekiti wa mboga,huoni Vijana hawaitaki mboga mboga.Hivi kuna viongozi wa ccm waokubalika Tanganyika na Zanzibar?
Alafu nani wanaamua kukubalika kwa wengine? Ni ccm, wananchi au polisi?
sasa gentleman ikiwa unao utafiti dhidi ya hoja mahususi mezani, si uweke hapa jukwaani kuniprove wrong, kuliko kujipiga kifua na kumbwelambwela pointless tupu na kujifurahisha jukwaani?πUmekurupuka hujafanya utafiti. No research no right to speak
Hoja ya chama kilichokufa? Ebu tuzungumzie ccm iliyo haini muhimu sana kujikita kwenye hoja mahususi mezani gentleman bila porojo zingine na itapendeza zaidi π
umeeleza vizuri sana gentleman,Ila Ukija kuangalia anayo yasema jamaa.yanakaukweli ndani yake...
Watanzania bado tuna dilema sanaa
Hakuna upinzani ambao una nguvu ya kidola kuwatoa hawa jamaa japo kuwa watz tumesha choka ila bado likija swala la kuchagua bado kuna watu huko vijijini wanajua kijani na njano tuu.
Si semi kuwa watz wanawakubali CCM ila Kuna ile identity ambayo watanzania tumerithishana ni sawa na ushabiki wa simba na yanga. Yaani hata timu iwe mbovu kiasi gani bado kuna mpuuzi atasema chama anabalaa au hii simba ni ya kufunga yanga yenye shalulile ndani
Unadhani hii inaweza kua imetokana na nini na inaonyesha picha gani kubwa na ya jumla kisiasa humu nchini?
Sifahamu sana ikiwa vyama vingine vya siasa nchini viko katika hali ya kutokubalika kama Chadema ambao ni wazi watakua wasindikizaji tu kwenye kila uchaguzi
una maoni gani kwenye suala hili?
gentleman,Mkuu,CCM haijawahi kushinda Uchaguzi Zanzibar,kwa Sasa hata Tanganyika CCM haikubaliki hata kidogo,unaproject matatizo ya CCM kwa wengine,Tanganyika imeamka toka usingizini.CCM hakuna anayekubalika Zanzibar na Tanganyika,usifanye projection ya matatizo yenu kwa wengine
Yes,Umenena ukweli mchungu kabisa na ndio Maana wanakuwa wanajaribu kupandikiza na kueneza maneno ya chuki ,ubaguzi na uzushi
Tuunge tu hapa... hatuna haja ya kujadili minimum isije kututokea. Tujadili chama kubwa lililo haiandikia uzi mahususi jukwaani ingependeza zaidi gentleman π