Hakuna kitu kibaya kama kujihisi umeathirika HIV

Ila nimeshangaa sana response ya watu wa mikoani hawaogopi kabisa kupima, hasa Barmaids na Dada poa
Kupima ni jambo bora sana ingawa linahitaji ujasiri, hapa napofanyia kuna wale jamaa wa kupima kwa hiari huwa wanakuja kupima wafanyakazi, aisee response huwa ni very poor, kuna wale wengine unawahisi watakuwa salama lakini utashangaa hawana ujasiri kabisa mpaka unabaki kujiuliza kulikoni...
 

The same
Niliwah pitia situation kama hiyo mwaka uliopita
Yaan hata uarishe tu unaanza kuogopa
Kifupi unakuwa huna amani wala raha
Kujua afya ni vyema
Ila ile situation ya kusubiri majibu ni zaidi ya situation
 
Aisee kuna manzi nilipiga dry tena niliokota juliana siku zinavoenda namuona nywele zinanyonyoka yani zimebakia nusu kichwa ilinibidi nichukue maamuzi ya kupima na sasa mambo swari kabisa.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app

Bora wewe
Mwenzio nmekazana ku pamp kitobo

Nainua macho hivi naona kopo la arv[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe alisahau kukificha
Nlipoondoka akajua nmeona akanpotezea mazima
Hatak msg wala calls akijua nmejua
Nkawa namtafuta ili kama kum campan asijue nmejua
 
Kama yuko kwa dozi kukuambukiza ni ngumu
 
Daa hii noma, ulikuwa unatumia kinga, au ulikuwa unaenda kavu kavu??

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Pole sana boy,niliwai kubwa na huo mkasa nilishindwa hata kula kwa tabia zangu za kubadili pisi kila mara kitaa watu wakaanza kusambaza habari kuwa nimewakaa du nakuja kuzisikia nilichoka mwili na roho kibaya zaidi pisi zikaanza kunikwepa na wangine kunichana kwamba tarifa zilizopo kitaa nina chai basi bhana kupima nikawa siwezi nabaki kuulizia zile pisi nilizo zipitia kama zimesha kufa sometimes nilikuwa nazipigia sim na kuwaliza kama wanaumwa hata malaria kama vile doctor anavyo hoji mgonjwa ila siendi direct

Basi bhana siku moja niko zangu ofisini kwangu anakuja dada ananiambia eti Kuna pisi imepimwa na amekutwa POSITIVE kwenye kituo flani na katika mahojiano amenitaja mimi kuwa nipo kwenye list yake huyo Afisa akanishauri nipime ili wanipe msaada sikutaka kabisa alinichanganya zaidi nikajiona sina changu tena duniani

Ila muda ukapita miezi ikakatika nilikuja kupata pisi flani Hivi nikaamua kama vipi niivute iwe ndo wife,kwenye harakati za Ndoa pisi ikasema hatufanyi jambo hadi tupime kwa kuwa muda ulikwenda niliamua kwenda kupima mwenye chocho najikuta mtu safi sina hatia yani NEGATIVE basi tabasamu langu lilikuja na kujiona salama,
Nimeamua kutulia sitaki tena ujinga
 
Kuna mdau humu bolivia
Leo anakwenda kucheck na kupima
Ngoma, hebu na wewe fanya hivyo

Ova
 
Alooo Ukimwi unatafuna watu balaa....kwenye vifo 10 hospital, 9 ni AIDS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…