Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Basi sawaIvi kwanini uhatarishe afya yako kisa kitu ambacho hata Masaa 5 hayafiki? Aiseee
Nimecheka eti naiishi kama digi digi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi sawaIvi kwanini uhatarishe afya yako kisa kitu ambacho hata Masaa 5 hayafiki? Aiseee
Nimecheka eti naiishi kama digi digi
Asee hongera mkuu wengi hawana ujasiri huoMimi Mingu alinijalia moyo mgumu linapokuha suala kupima. Yani siwezi kuishi kwa mashaka yani nikiwa na mashaka tu faster naenda kupima
Hao ni hatari sana asee kutokana na ajali zinazotokea wakiwa mchezoni.Ujinganwa hii kitu, yule umdhaniaye kumbe site. Barmaids na Baadhi ya Dada poa wengi wako vizuri tu kwa sababu wako makini (sio wote though)
Wakati wa kuzini ubongo hutolewa kichwani na kuhamishiwa kwenye kichwa cha chini, ndio maana biblia inasema azinie hana akili.Ivi kwanini uhatarishe afya yako kisa kitu ambacho hata Masaa 5 hayafiki? Aiseee
Nimecheka eti naiishi kama digi digi
Kupima ni jambo bora sana ingawa linahitaji ujasiri, hapa napofanyia kuna wale jamaa wa kupima kwa hiari huwa wanakuja kupima wafanyakazi, aisee response huwa ni very poor, kuna wale wengine unawahisi watakuwa salama lakini utashangaa hawana ujasiri kabisa mpaka unabaki kujiuliza kulikoni...Ila nimeshangaa sana response ya watu wa mikoani hawaogopi kabisa kupima, hasa Barmaids na Dada poa
Mkuu pole sana, ila ni vizuri ukaenda kupima kujuwa afya yako.
Mimi niliwahi kutembea na wanawake wanaoishi na VVU bila kujuwa kwa muda tofauti.
1--Mmoja nilikuta vidonge vya VVU kwenye mkoba wake,
Mara tu baada ya kumaliza tendo.
Nilitumia kinga lakini ilipasuka wakati nakojowa.
2-- huyu wa pili niliuza mechi kwa makusudi ili nifaidi mautamu.
Mtoto wa chuo cha magogoni,,alikuwa mtamu kama usingizi wa alfajiri.
Na sikutembea nae Mara moja.
Nilikuwa nae zaidi ya mwezi kimahusiano,,pika pakua kwangu.
Kukojowa nakojolea ndani.
Baadae kuna msela wangu mmoja akanisanua kwamba huyo demu unayepiga kishaua wawili na hapo anatumia vidonge vya VVU.
Mama !!mama!!mama!!
Aisee nilifadhaika Sana.
Nikapiga chini.
Lakini nilijipa moyo kwamba hapa duniani hakuna mlinzi wa dunia,
Wote tutakufa tu.
Niliendelea kujipa moyo huku naoogopa kupima..
Nikisikia matangazo ya VVU ,,moyo wangu unaumia sana.
Niliendelea Kutumia kinga kwa wanawake wengine kama vile sijapata maambukizi yeyote.
Baada ya kuoa,,
mke wangu alipopata ujauzito ikalazimika tupimwe.
Mm niliogopa kupima nikasingizia nimesafiri.
Mke wangu alipopima majibu yalikuja NEGATIVE.
Nilibahatika kwenda ulaya nikapima ukimwi bado kwangu ni NEGATIVE.
Hapa nilipo nipo Saudia,,
nimepimwa vipimo vyote vya damu na mwili mzima..
tena kwenye hospital kubwa inayoaminika na kampuni.
Tena damu imetolewa mikono miwili kulia na kushoto,
Nimepimwa kifua,,damu tena blood analysis.
Still majibu ni NEGATIVE,,. Sina ugonjwa wowote.
Nipo mzigoni kwenye mawimbi ya bahari naelea.
Watu wengi wanaishi kwa hofu ya kuambukizwa VVU kwa macho.
Baadae kuanza kwenda hovyo na wanawake bila kinga kwa kujuwa wameathirika.
Kumbe huko wanapokwenda ndy wanauvaa ugonjwa ambapo mwanzo walikuwa salama.
Tusikimbilie kujihisi wagonjwa bila kupima ..
Namshukuru Mungu kwa kunilinda...
Aisee kuna manzi nilipiga dry tena niliokota juliana siku zinavoenda namuona nywele zinanyonyoka yani zimebakia nusu kichwa ilinibidi nichukue maamuzi ya kupima na sasa mambo swari kabisa.
Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Kama yuko kwa dozi kukuambukiza ni ngumuBora wewe
Mwenzio nmekazana ku pamp kitobo
Nainua macho hivi naona kopo la arv[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe alisahau kukificha
Nlipoondoka akajua nmeona akanpotezea mazima
Hatak msg wala calls akijua nmejua
Nkawa namtafuta ili kama kum campan asijue nmejua
Daa hii noma, ulikuwa unatumia kinga, au ulikuwa unaenda kavu kavu??Bora wewe
Mwenzio nmekazana ku pamp kitobo
Nainua macho hivi naona kopo la arv[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe alisahau kukificha
Nlipoondoka akajua nmeona akanpotezea mazima
Hatak msg wala calls akijua nmejua
Nkawa namtafuta ili kama kum campan asijue nmejua
Pole sana boy,niliwai kubwa na huo mkasa nilishindwa hata kula kwa tabia zangu za kubadili pisi kila mara kitaa watu wakaanza kusambaza habari kuwa nimewakaa du nakuja kuzisikia nilichoka mwili na roho kibaya zaidi pisi zikaanza kunikwepa na wangine kunichana kwamba tarifa zilizopo kitaa nina chai basi bhana kupima nikawa siwezi nabaki kuulizia zile pisi nilizo zipitia kama zimesha kufa sometimes nilikuwa nazipigia sim na kuwaliza kama wanaumwa hata malaria kama vile doctor anavyo hoji mgonjwa ila siendi directNajua sii mimi pekee ambaye nimeshakutana na hii hali ni wengi imewakuta sema tu unakuta tunaugulia kimya kimya.
Mwaka wa tatu huu nimekuwa nikiishi kama digidigi yaani hata nikipata malaria kidogo naanza kufikiria michezo michafu niliokuwa naicheza huko nyuma ,nasema au ndio dalili za HIV zimesha anza kujitokeza.
Unajua kuna watu huwa wanajiona exemptional kwenye mambo fulani fulani, ikiwemo na kupata HIV, yaani mtu anaamini HIV ipo kwaajili ya watu wengine,,so hata akifanya michezo hatarishi hawezi kubali kwenda kupima kwa kuhofia
majibu atakayo pata.
Wengi wa kundi hilo unakuta ni vijana miaka 18-30 ,unakuta wanakuwa na ugumu wa kupokea matokeo maana katika umri huo unakuta wanacho cha kupoteza. Wengi unakuta hawajaoa/kuolewa, wengine wako chuo, wengine bado wako kwa wazazi wao.
Unakuta mtu hospital hawezi kwenda sababu ya hofu, unakuta amejichimbia youtube au google kusoma symptoms za HIV siku akipata kuugua kidogo hofu inazidi kuongezeka.
Hapa naandika simple tu lakini hii hali ikikupata utaishi kwa shida sana, vijana walioko hatarini ni wale wapenda bata, night club, chuo maana wanakutana na watu wa aina tofauti tofauti.
Kuna matukio ambayo nilikuwa nayafanya kimazoea ambayo mpaka kesho najuta...Kuna siku nilitoka na manzi club mida ya saa 9 usiku tukapitia guest nikamtuma muhudu cndom akasema zimeisha uvumilivu ukanishinda nikapiga kavu.
Kuna ile uko bize unapump punde unahisi condom imepasuka na ikipasuka maana utamu unakolea unaendelea kukata miuno hii ni hatari sana.
Pia kuna ile mtu amekunywa pombe kali kama konyagi halafu kwenye gemu anavaa condom anapump wee wazungu hawaji anaamua kuvua au kupasua kwa makusudi amalize mapema alale hii nayo ni hatari.
Pia kuna wale pisi kali yaani ukimtathiminisha unasema bora nifee hii napiga kavu. Utakuja kulia na kusaga meno...
Hitimisho kama unaona huna kifua cha kupokea hilo janga play safe ndugu usije ishi kama nungu nungu kwa hofu na mashaka.
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Kuna limama lishangazi nalipiga kavu aisee sijui limewaka
Hii ni kweli mkuu. Kuna mmoja nilimuokota bar nikamwambia tupime kirahisi tu akakubali, kumpima yupo negative nikapiga kavu.Ila nimeshangaa sana response ya watu wa mikoani hawaogopi kabisa kupima, hasa Barmaids na Dada poa